SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

šŸ˜‚šŸ˜‚ vita inapropaganda hii nchii ambayo mpakaa mkuu wa majeshi, mshauri mkuu wa kiongozi mkuu wa nchi mkuu wa islamic state scientist mahili wa nyuklia na base za sili za nyuklia vinauliwa simple namna ilee inawezaje kua na advanced weapon ambazo akuna nchi imewai kuziona just tumia kufikilia kikawaida tu apoo mkuu
Yaani mkuu Hawa jamaa sijui akili zao zipoje? Wanajifariji ujinga na ajabu hadi mishipa inawasimama Hulu wakijua kabisa wadangaya nafsi zaošŸ˜‚
 
Wewe upo
Hao wana uawa ni watendaji, wanakwenda kazini na kurudi, hao wanasayansi wanakwenda kazini jioni wanarudi nyumbani, hivyo mossad wanawafuatilia, lakini access ya kuingia huko kwenye vinu vya nuclear si rahisi, kuna ulinzi mkali..

Usifikiri mossad kuua wanasayansi basi wana access rahisi kuingia kwenye vinu vya urutubishaji.. Iran sehemu wanapotunza silaha na vinu vyanuclear kuna ulinzi mkali na checkpoint za kufa mtu.. naposema ulinzi ni naungumzia pamoja na ulizni wa kiteknolojia..
Wewe upo wapi kwa sasa
šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚
 
šŸ˜‚šŸ˜‚ vita inapropaganda hii nchii ambayo mpakaa mkuu wa majeshi, mshauri mkuu wa kiongozi mkuu wa nchi mkuu wa islamic state scientist mahili wa nyuklia na base za sili za nyuklia vinauliwa simple namna ilee inawezaje kua na advanced weapon ambazo akuna nchi imewai kuziona just tumia kufikilia kikawaida tu apoo mkuu
Kwanini lisiwezekane?
Mbona una ufinyu kwenye upembuzi mkuu!?
Hao makamanda wanauliwa kwa mashambulizi ya kuvizia na ni jambo ambalo linawezekana.
Kuua kwa kuvizia kupitia mashushushu na kushambulia kwa silaha ni mambo mawili tofauti.
Shida unajadili mambo yalo kuzidi uelewa
 
Kobazi nimerudi hawa tunawatandika mchana jioni mchana..
Walichezea sharbu za Thimba ngoja
 
Vita inaisha kama Irani aki stand down sababu vita hii haina manufaa makubwa kwao tofauti na Israel.
Israel wanataka vita hii iendelee zaidi ili kumaliza nguvu za Irani kabla hawajafanikiwa kuzalisha bomu la atomic.
Kwa hiyo hizo akili za kujua hayo uwe nazo wewe unaekaa homboza ila wairan wenyewe hawalijui ilo si ndio?
 
Hao wana uawa ni watendaji, wanakwenda kazini na kurudi, hao wanasayansi wanakwenda kazini jioni wanarudi nyumbani, hivyo mossad wanawafuatilia, lakini access ya kuingia huko kwenye vinu vya nuclear si rahisi, kuna ulinzi mkali..

Usifikiri mossad kuua wanasayansi basi wana access rahisi kuingia kwenye vinu vya urutubishaji.. Iran sehemu wanapotunza silaha na vinu vyanuclear kuna ulinzi mkali na checkpoint za kufa mtu.. naposema ulinzi ni naungumzia pamoja na ulizni wa kiteknolojia..
kwani wanaoingia ni mosaad au hao hao wanaofanyakazi kwenye hizo nucler site? au huelewi maana ya kuweka mapandikizi?
 
Kwanini lisiwezekane?
Mbona una ufinyu kwenye upembuzi mkuu!?
Hao makamanda wanauliwa kwa mashambulizi ya kuvizia na ni jambo ambalo linawezekana.
Kuua kwa kuvizia kupitia mashushushu na kushambulia kwa silaha ni mambo mawili tofauti.
Shida unajadili mambo yalo kuzidi uelewa
kwa nini na wao iran wasilipize kwa kuvizia kuua makamanda wa israel kama inawezekana?
 
Wadau hamjamboni nyote, taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, 22 minutes ago
Iran criticizes European response to Israeli strikes

Iran’s Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei on Monday urged European countries to focus on halting Israeli attacks, calling their response insufficient and politically inconsistent.

He added that Germany, France, and the United Kingdom ā€œshould have clearly condemnedā€ Israel’s attacks, especially those on "Iran’s peaceful nuclear infrastructure
 
Back
Top Bottom