Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
binadamu hawaogopi tena kufa
Asante kuna kitu nimejifunza kuhusu ballistic supersonic na hypersonic zinavyo tofautiana kulingana na spidi ya sautiGoogle Fattah-1 ni kitu gani halafu ulete majibu..
Wakifanikiwa hilo watakiwa wamewadhibiti israel kwa 50%Kinachoendelea sasa Iran, kuna safisha safisha ya mossad agents..
kama Israel anavyopiga ovyo Gaza ? kumbe inaumaa eeh, unaweka millitary assets kwenye makazi ya watu unategemea nininaona utofauti wa upigaji wa Isareal na Iran,Israel anapiga military targets Iran anapiga reidential areas..
Naamini huyu mwambaRussia ina aminika zaidi ya china uwajui warusi kwenye mauaji sema awajataka tu kutumia hiyo mbinu zaidi
Hahaha umejifaliji kizembe Sana mkuu 😁😁😁Anaua makamanda wazee ambao hawaogopi kukaa ofisini
Toka mwanzo anapiga humohumoThe wave of attacks now focuses on:
Islamshahr, Tabriz, Tehran, Bidkaneh, Rey, Shahriyar, Ahvaz, Karaj and Mashhad.
Duu siku mbili tu je ikiwa mwezi si panakua gaza
Umeuona ukweli,alioua wote ni 60+Hahaha umejifaliji kizembe Sana mkuu 😁😁😁
Yah! sasa wameweka nguvu kuanza kusafisha ndani.. kama hawa walikuwa na maabara ndani wanatengeneza vilipuzi, drones n.k, wamekamatwa..Wakifanikiwa hilo watakiwa wamewadhibiti israel kwa 50%
Ni wakati wa Israel nayo kuchanganya targets