We jamaa mnafiki,ushabadilikaSo unafanya speculation hahahaha
Alipo andika Tu Iran inatumia hypersonic missile nikajua tayali tusha Anza danganyana apaNetanyahu mbona yupo Tel Aviv na hata jana alifanya ziara kuwatembelea waathirika, mwambie atupe location ya ayatolah kuna 10 ya vocha
Tupe loction ya Netanyahu..Netanyahu mbona yupo Tel Aviv na hata jana alifanya ziara kuwatembelea waathirika, mwambie atupe location ya ayatolah kuna 10 ya vocha
Kosa la nchi za NATO ni kuchokoza nchi za urussi na china ...Iran nyuma yake yupo mrusi na china kamwe NATO awawezi kushinda vita labda watumie njia ya fitina za kisiasa za kufanikisha mafarakano ya wairan wao kwa wao na kuipindua serikali.Moja:. Waneacha makusudi kama ile al aksa flood ili wapate uhalali wa kuifuta na kuipindua kabisa Serikali ya Iran KWA msaada wa marafiki zake kama wanavyojipa uhalali wa kuichakaza Gaza kama wanavyotaka.
aU
Mbili: Uwezo mkubwa wanaojipa ni propaganda za magharibi maana dunia inalishwa taarifa za upande mmoja. Israel hawana uwezo wa kupambana na taifa kubwa, sio tu Israel hata US. Air defence systems ziliandaliwa KWA ajili ya magaidi na prix wa Iran ila sio Iran wenyewe
Hii ndio dunia. Wayahudi ndio wamiliki wa social media na media kubwa duniani moja KWA moja au kinyumenyume. Hapa tusitarajie kipya zaidi ya kuona za Iran ikichakazwa. Hata zilizoachiwa ziliachiwa kimkakati ili wao wakianza mojakwa moja au KWA kufanyiwa na NATO tusishangae.Hata threads wanafunga akaunti zinazotoa taarifa zinazoonesha Israel kubondwa
Russia siiamini labda china. Mossad wanaweza kufyeka viongozi wake wote akiwemo Putin . Hawa jamaa wamebobea kwenye assassinationsKosa la nchi za NATO ni kuchokoza nchi za urussi na china ...ioani nnyuma yake yupo mrusi na china kamwe nato awawezi kushinda vita labda watumie njia ya fitina za kisiasa za kufanikisha mafarakano ya wairan wao kwa wao na kuipindua serikali.
HahahaWe jamaa mnafiki,ushabadilika
Google Fattah-1 ni kitu gani halafu ulete majibu..Alipo andika Tu Iran inatumia hypersonic missile nikajua tayali tusha Anza danganyana apa
Amka mkuu, utajikojolea..Hakuna picha labda kichwa cha Ayatoulah maana hadi tuuangushe ule utawala ndio tutatulia
Russia ina aminika zaidi ya china uwajui warusi kwenye mauaji sema awajataka tu kutumia hiyo mbinu zaidiRussia siiamini labda china. Mossad wanaweza kufyeka viongozi wake wote akiwemo Putin . Hawa jamaa wamebobea kwenye assassinations
Anaua makamanda wazee ambao hawaogopi kukaa ofisiniReports in Iran: At least 5 "key personnel" in the Revolutionary Guards were killed in the Israeli attack on the Khorramabad missile site.
Sasa hasira yako na kutukana matusi ndo itasaidia Israel isichakazwe na Iran?Nime uliza swali kwa mdau yule we bibie tayari Usha lowa uko nyuma mm sio mfimbaji tafuta bwana mwengine wa kumpitisha uko topeni
Wachambuzi wengi tu duniani wanachambua vita hadi YouTube wengine wazungu wanaponda Israel...Hata humu ukijifanya unatuma updates zinazoumiza mioyo ya wayahudi unaweza kupotezwa. Jamaa huwa hawana mchezo na mtu yeyote popote duniani.
Mitandao wa X imeanza kufanya censorship ya contents za pro Iran and Iranian accounts zinazotoa update zinazofavour Iran. Hawa ni Israel ila kukifanya hivi KWA US matokeo yake ni mara nua zaidi.
Carrier ni vyuma vinavyoelea, easy Target, USA ilibidi aingie makubaliano na houthi,wanaenda ongeza nguvu ya kudungua makombora ya IranView attachment 3370992
The USS Nimitz (CVN-68) and its strike group are now moving toward the Middle East, joining the USS Carl Vinson and the UK’s HMS Prince of Wales.
If confirmed, that places three powerful aircraft carriers within striking distance of Iran’s shores — a clear signal that the West is preparing for whatever comes next.