SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hadi Sasa hata Iran ikifutwa KWA HIKI ilichokifanya imethinitisha Bado duniani hakuna nchi ambayo haipigiki ikiwemo US. Wavumbuzi wa ADS wakarudi darasani kubuni upya
 
Leo usiku ,sio lazima udake una dakaje hii sasa

 

Chuma zina speed
 
Huwa naanza na Wamagharibi wenyewe coz ukiona wenyewe wanaripoti hivi, ujue hali ni tete na hakuna haja ya kuficha tena!

Search and rescue under way as new Iranian rocket barrage hits Israel​


Monday 16 June 2025 03:58, UK


Iran launches fresh air strikes on Israel​

Dozens taken to Israeli hospitals following Iranian strikes

Several injured in Haifa following Iranian strikes, Israeli media reports



Death toll mounts in Israel


Nyongeza:

​

NOW - Iranian missile strikes the Gezer gas power plant, Israel.​

​

15 June 2025​


​

At least four sites hit in central Israel: Report​

Fires seen at Haifa power plant after Iranian attack​


 
Duuuuh where is Iron dome?
Huenda wairan wameichezea mifumo ya Israel

View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1933983267390382527?t=WG8lswepZU0LDr5SKTautg&s=19

Makombora yakirushwa mengi kwa wakati mmoja iron dome haiwezi ku intercept yote...machache lazima yapenye!
% kubwa yanafanikiwa kuwa intercepted, sasa jiulize bila iron dome na ule mfumo david nn sijui hali ingekuwaje huko Israel?!

Kingine nimeona kwenye hii vita Israel wako na target zaidi kuliko Iran...hata jana jpili wameua tena ma generali wa3 wa jeshi la Iran na afisa m1 mkubwa wa intelijesia.
 
Kwa moto alio pelekewa Israel sidhani kama atarudia tena kuichokoza Iran

Marekani inatamani kuisaidia Israel lakini kwa huu moto marekani inabaki kuwa kimya

Screenshot_20250616-063900.jpg
 
Moja:. Waneacha makusudi kama ile al aksa flood ili wapate uhalali wa kuifuta na kuipindua kabisa Serikali ya Iran KWA msaada wa marafiki zake kama wanavyojipa uhalali wa kuichakaza Gaza kama wanavyotaka.

aU
Mbili: Uwezo mkubwa wanaojipa ni propaganda za magharibi maana dunia inalishwa taarifa za upande mmoja. Israel hawana uwezo wa kupambana na taifa kubwa, sio tu Israel hata US. Air defence systems ziliandaliwa KWA ajili ya magaidi na prix wa Iran ila sio Iran wenyewe
 
Mbona hamna amshaamsha au bado muda? Nimenunua gomba ya afutatu eti
Mm nimelala natetemeka nikazima na WiFi nisione Israel tunavyo shenyentwa kumbe mmeua vizee vilivyo shindwa kuingia kwenye bunker

Israel kaondoka na kichwa cha chief spy master wa Iran yaani mpaka mkuu wa intelligence Agency anakua Fala fala

Ndio shida ya kuweka watu wasio na weledi kwenye kazi unamuweka Mtu kuongoza Agency Kwa kigezo cha kukalili quran takatifu kweli???? Iran ilikua inajifanya mafia apo middle East but now ni zuchu

Mpaka muda huu Israel ndio ana funguo za kuendeleza vita au visimame
 
Makombora yakirushwa mengi kwa wakati mmoja iron dome haiwezi ku intercept yote...machache lazima yapenye!
% kubwa yanafanikiwa kuwa intercepted, sasa jiulize bila iron dome na ule mfumo david nn sijui hali ingekuwaje huko Israel?!

Kingine nimeona kwenye hii vita Israel wako na target zaidi kuliko Iran...hata jana jpili wameua tena ma generali wa3 wa jeshi la Iran na afisa m1 mkubwa wa intelijesia.
Iran anarusha Tu vimondo Kwa sandakarawe mwenye likimpata ata jiju

Iran chief spy master kaliwa kichwa kizembe mpaka unajiuliza hivi hawa ni Iran au maana ata wa Houth kidogo ni wabishi wanatusumbua sana kupata target 🎯
 
Vituo vya kusafisha mafuta na baadhi ya mifumo ya ulinzi vya Israel vimepigwa kwenye shambulizi la alfajiri hii la Iran hii vita ni ngumu tofauti na watu wanavyo dhani na vinaweza dumu kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom