Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Israel anapopoa viongozi na sehemu ya kitambo ya nyuklia pamoja na depot za mafutaKuna moto Iran wanauandaa,balaa!
Israel anapopoa viongozi na sehemu ya kitambo ya nyuklia pamoja na depot za mafutaKuna moto Iran wanauandaa,balaa!
Hapa tunajadili mambo ya kisiasa shehe.Wasema mwisiraeli wa kiroho kutokea pande za kwetu Marenumango huku.
Unaoyaona yanatokea Iran basi Israel mara kumi yake.Tumieni source official yaani watu wanahama na saivi zaidi ya 1100 wamejeruhiwa na vifo zaidi ya 220 halafu unasema wanaishi maisha normal kisa mtu kapost tweeter tena ukute ni mhezibollah anatumia ile pagers yake ambayo haikulipuka kipindi kile
Huu mlipuko ni wa wapi mkuu
Daaah! Hiv hawa walobak wanarekodi ndo hawana pa kukimbilia au ni wanajeshi? Maana mibom inatiririka hvo hawaoni inaweza wafikia wao?
Haifa Israel hiyo qmmmmq, usimchokoze muajemi utaumia wave nyingine inakujaHuu mlipuko ni wa wapi mkuu
Vita sio kupiga piga Tu majengo vita haipiganwi hivyoKwahiyo Iran ni Zuchu ila watu wa Israel wamekimbilia kwenye mahandaki ili kumkwepa Zuchu? Unaamaanisha Israel ni dhaifu kiasi hicho cha kumkimbia zuchu na kujificha chini ya ardhi kama panya?
Hili onyo limenifurahisha sana asubuhi ya leo, haya mambo tumezoea kuyaona Israel wakijigamba ila sasa raia wake nao wamepewa onyo.Na jeshi la Iran limewaambia raia waondoke maeneo muhimu ambayo Iran ameya target kuendelea kuyamiminia mvua ya makombora.
Mnafalijiana kizembe Sana hahahahahaMuajemi ni akili nyingi sana aise.
Halafu yeye wala hahangaiki sijui kutoka kwenye nchi yake kwenda kuhangaika kuinyuka Israel, badala yake anamtandika Israel huku wakiwa wanapiga story na kuina live vyuma vinavyopiga maeneo nyeri.
Sasa teknolojia kama hii unadhani akiamua kukafuta kale kanchi ka mchongo si dakika sifuri tu anasawazisha kifusi.
Yani wewe ndo wakumfundisha Iran vita?Vita sio kupiga piga Tu majengo vita haipiganwi hivyo
Nilikua nategemea military base,
Maeneo ya kimkakati(office kubwa za gavo viwanja vya ndege,bandari viwanda nk)hapo ningejua wanapiga panapo uma
Fighter jet zingekua zinadumguliwa Israel angetetemeka
Ila unapiga apartment ya watu tena wapo kwenye bunker unajisifu????
Vita ni sanaa Iran sio Tu zuchu ni amber luthi
Kuna nini my mkuu mbona unahema kwa hasira hiviHizo taarifa zako zingekua ni Aljazeera au BBC ningekujibu ila kwa kuwa wewe ni kibaraka wa Iran unaleta propaganda za uzandeki....
Eti Iran anajipigia kiulaini...wapi!? Waaapi!?
Hizi taarifa ndo naziona kwako JF ila Aljazeera naona tu Iran inavyokula kichapo...
Mpaka sasa Israel wamekufa watu 10, ila Iran zaidi ya watu 400
Mkuu Israel imedhibiti utoaji taarifa Yani uko limited.Maeneo gani hayo nyeti ambayo Iran imepiga
Iran anarusha Tu vimondo Kwa sandakarawe mwenye likimpata ata jiju
Wenye target hawa hapa wanang'ata Kama dondora pigo moja Mtu ana vimba View attachment 3370903
Sasa Kama chief spy master kaliwa kichwa kizembe hivyo ndio shida ya kuweka watu kwenye sekta nyeti kigezo ni kukalili quran takatifu bora hata wa Houth
Mara nyingi hii mifumo ipo kwa ajili ya kupunguza madhara na siyo kuzuia kabisaMgogoro kati ya Iran na Israel umechukua sura mpya ya hatari mwezi huu wa Juni 2025, ukibeba historia ya chuki ya muda mrefu, mashambulizi ya maneno, na sasa mashambulizi ya moja kwa moja.
Chanzo chake ni cha muda mrefu, lakini hali ya sasa imechochewa na mfululizo wa matukio makubwa yaliyoanza rasmi kufumuka upya mnamo Aprili 13, 2024, wakati Iran ilirusha makombora na ndege zisizo na rubani zaidi ya 300 dhidi ya Israel ikiwa ni mara ya kwanza kwa Iran kuishambulia Israel moja kwa moja kutoka ardhi yake. Israel ilijibu kwa shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya miundombinu ya kijeshi ya Iran katika mji wa Isfahan, ikieleza kuwa ni kulinda mamlaka yake na kuzuia mashambulizi ya baadaye.
Mwezi huu, tarehe 9 Juni 2025, shambulizi kubwa la anga lilitokea karibu na mji wa Kermanshah, magharibi mwa Iran, likielekezwa kwenye kituo cha kijeshi cha Kikosi cha Quds cha Jeshi la Mapinduzi la Iran (IRGC). Katika shambulizi hilo, maafisa waandamizi watano wa IRGC waliuawa, akiwemo Kamanda wa operesheni za nje Brigedia Jenerali Hassan Rahimi. Ingawa Israel haijathibitisha rasmi kuhusika, vyombo vya habari vya kimataifa na wachambuzi wa usalama wamehusisha Israel moja kwa moja na shambulizi hilo, wakilitaja kuwa moja ya mashambulizi ya "kisasa, cha kimkakati na chenye athari kubwa zaidi" kufanywa dhidi ya Iran mwaka huu.
Baada ya tukio hilo, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, alitoa kauli kali tarehe 10 Juni 2025, akisema:
Hadi sasa, Iran inaendelea kujiandaa kwa kile inachokiita “jibu la kimkakati”, huku mashirika ya Iran kama Hizbullah, wanamgambo wa Iraq, na vikundi vya Syria vikionekana kuongeza ujasiri wa mashambulizi dhidi ya Israel na washirika wake. Nayo Israel inaendelea kufanya mashambulizi ya kijeshi nchini Syria na kuimarisha mfumo wake wa ulinzi wa angani kwa kuungwa mkono na Marekani.
Kwa mujibu wa wachambuzi wa usalama wa Mashariki ya Kati, hatma ya mgogoro huu inabaki kuwa tete sana. Ikiwa mashambulizi kama haya yataendelea, kuna uwezekano wa kuingia katika vita ya wazi baina ya Iran na Israel, ambavyo vinaweza kuvuruga usalama wa kanda nzima na hata kuvuta mataifa makubwa kama Marekani, Urusi, na Saudi Arabia katika mzozo huo.
Tunapoongea hadi sasa mkuu ofisi nyingi za kiserikali hapo Israel ndani ya Tel Aviv ni nonfunctional.Vita sio kupiga piga Tu majengo vita haipiganwi hivyo
Nilikua nategemea military base,
Maeneo ya kimkakati(office kubwa za gavo viwanja vya ndege,bandari viwanda nk)hapo ningejua wanapiga panapo uma
Fighter jet zingekua zinadumguliwa Israel angetetemeka
Ila unapiga apartment ya watu tena wapo kwenye bunker unajisifu????
Vita ni sanaa Iran sio Tu zuchu ni amber luthi
Kwamba Israel hana hiyo technology ya long range missile Mzee??Muajemi ni akili nyingi sana aise.
Halafu yeye wala hahangaiki sijui kutoka kwenye nchi yake kwenda kuhangaika kuinyuka Israel, badala yake anamtandika Israel huku wakiwa wanapiga story na kuina live vyuma vinavyopiga maeneo nyeri.
Sasa teknolojia kama hii unadhani akiamua kukafuta kale kanchi ka mchongo si dakika sifuri tu anasawazisha kifusi.
Ubishe ukatae hata hao mabwana zenu wazungu wanasadiki kuwa Middle east missile power iko Iran.Kwamba Israel hana hiyo technology ya long range missile Mzee??