SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Inavyoonekana Iran hajawekeza sana kwenye ndege vita.

Anajua adui anayedili nae yuko vizuri kwenye AD akisema apeleke ndege au helicopter zikashambulie atakula hasara.

Yeye kawekeza sana kwenye drones na makombora ya masafa marefu anajua akiyatumia yatakuwa effective kuliko kupeleka ndege vita.
 
Mgogoro kati ya Iran na Israel umechukua sura mpya ya hatari mwezi huu wa Juni 2025, ukibeba historia ya chuki ya muda mrefu, mashambulizi ya maneno, na sasa mashambulizi ya moja kwa moja.

Chanzo chake ni cha muda mrefu, lakini hali ya sasa imechochewa na mfululizo wa matukio makubwa yaliyoanza rasmi kufumuka upya mnamo Aprili 13, 2024, wakati Iran ilirusha makombora na ndege zisizo na rubani zaidi ya 300 dhidi ya Israel ikiwa ni mara ya kwanza kwa Iran kuishambulia Israel moja kwa moja kutoka ardhi yake. Israel ilijibu kwa shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya miundombinu ya kijeshi ya Iran katika mji wa Isfahan, ikieleza kuwa ni kulinda mamlaka yake na kuzuia mashambulizi ya baadaye.

Mwezi huu, tarehe 9 Juni 2025, shambulizi kubwa la anga lilitokea karibu na mji wa Kermanshah, magharibi mwa Iran, likielekezwa kwenye kituo cha kijeshi cha Kikosi cha Quds cha Jeshi la Mapinduzi la Iran (IRGC). Katika shambulizi hilo, maafisa waandamizi watano wa IRGC waliuawa, akiwemo Kamanda wa operesheni za nje Brigedia Jenerali Hassan Rahimi. Ingawa Israel haijathibitisha rasmi kuhusika, vyombo vya habari vya kimataifa na wachambuzi wa usalama wamehusisha Israel moja kwa moja na shambulizi hilo, wakilitaja kuwa moja ya mashambulizi ya "kisasa, cha kimkakati na chenye athari kubwa zaidi" kufanywa dhidi ya Iran mwaka huu.

Baada ya tukio hilo, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, alitoa kauli kali tarehe 10 Juni 2025, akisema:

“Damu ya mashujaa wetu haitamwagika bure. Wale waliovamia enzi yetu watajuta. Israel itakabiliana na jibu la wazi, lisilo na onyo, na litakaloandikwa katika historia ya mashariki ya kati.”

Hadi sasa, Iran inaendelea kujiandaa kwa kile inachokiita “jibu la kimkakati”, huku mashirika ya Iran kama Hizbullah, wanamgambo wa Iraq, na vikundi vya Syria vikionekana kuongeza ujasiri wa mashambulizi dhidi ya Israel na washirika wake. Nayo Israel inaendelea kufanya mashambulizi ya kijeshi nchini Syria na kuimarisha mfumo wake wa ulinzi wa angani kwa kuungwa mkono na Marekani.

Kwa mujibu wa wachambuzi wa usalama wa Mashariki ya Kati, hatma ya mgogoro huu inabaki kuwa tete sana. Ikiwa mashambulizi kama haya yataendelea, kuna uwezekano wa kuingia katika vita ya wazi baina ya Iran na Israel, ambavyo vinaweza kuvuruga usalama wa kanda nzima na hata kuvuta mataifa makubwa kama Marekani, Urusi, na Saudi Arabia katika mzozo huo.
 
Waziri wa ulinzi ametoa pendekezo ktk kikao cha baraza la mawaziri kuomba f35 mwamba wa anga aliyeivuruga iran alale.siku moja kutoa uchovu badala yake aamshwe

Ballistic missiles Yeriko generation 11 and 111

Ila benjamini amesema itaangamiza raia wengi wasiokuwa na hatia ndani ya iran

Yeriko 11 and 111 inaweza kufika kila kona ya iran na kuchombua km kadhaa chini

Benjamini aache huruma buana
 
Kuna mtu nilimwambia Israel ashukuru sana yuko mbali na Irani.

Angekua karibu na Iran kama alivyo karibu na Syria lebanon au Misri angepasuka sana.

Mana zile shaheed drones zisingekuwa zinatembea umbali mrefu ni mwendo wa kuzimimina tu.

Ashukuru yupo mbali na Iran hiyo inamuokoa kidogo.
Umesema kweli kabisa mkuu.

Fikiria umbali wa zaidi ya kilometers 2000 lakini bado drones zinafika na ku hit target.

This time ni mwendo wa kuwasha kiberiti miji yote ya Israel bila huruma.

"Tutaushambulia utawala wa Kizayuni pasipo huruma hata kidogo". Kauli ya Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei.
 
Si ndio maana yake wamepiga majengo ya raia tu, miundombinu je?

Kuna censorship kubwa sana ya taarifa kutoka Israel juu ya damage iliyofanywa na missiles za Iran. Kuna mkakati makhsusi unafanywa polepole na media ili kuonyesha ulimwengu civilian sites ili kubadili public opinion ya dunia kuwa ni Iran aliyechokozwa na kwamba Israel imeua raia wengi wa Iran hivi sasa kuliko Iran ilivyoua raia wa Israel

Baadhi ya targets ambazo Iran kapiga Israel ni

1. Head Quarters ya wizarabya Ulinzi wa Israel
2. Haifa Port
3. Viwanja vya ndege za kijeshi
 
Waziri wa ulinzi ametoa pendekezo ktk kikao cha baraza la mawaziri kuomba f35 mwamba wa anga aliyeivuruga iran alale.siku moja kutoa uchovu badala yake aamshwe

Ballistic missiles Yeriko generation 11 and 111

Ila benjamini amesema itaangamiza raia wengi wasiokuwa na hatia ndani ya iran

Yeriko 11 and 111 inaweza kufika kila kona ya iran na kuchombua km kadhaa chini

Benjamini aache huruma buana

Hayatollah bado hajulikani amejificha wapi. Na hizi nazo zitaenda endeshwa na mademu? Israel wana dharau sana wanawapa ndege mademu waende wakawapige iran na midevu yao.
 
Usiku wa leo umethibitisha tena kuwa Israel Air Defense System si lolote si chochote.

Iron Dome na THAAD zimetepeta badala ya kuintercept missiles za Iran ndio kwanza Iron Dome na THAAD zinaachia njia vinu vishuke

Hizi missiles za Iran zimepewa jina Shahed Haj Qassem with a range of 1000 miles

Hapa Marekani na washirika wake wakajipange tena kuja na mifumo itakayoweza kuzuia hypersonic missiles za Iran

Iran iendelee na hii consistency Wayahudi lazima wakae.

Myahudi asipewe muda wa kuvuta pumzi iwe ni vinu juu ya vinu

​

If you can't beat them join them
 
Nilikuwa namdharau sana mashuka ila kwa vyuma vilivyoshuka jana ,kwa mbali naanza kukubali Miajemi ni mijitu yenye akili pia.
Hao jamaa hata ukisoma historia ya dini sio wanyonge kabisa.

Ni watabe sana wa vita.

Kwenye vita vya Khandak Salman al farsi(muirani)alimpa mbinu mtume ya kuchimba mahandaki kwa ajiri ya kujilinda na makureishi mbinu amabyo mtume na waislamu hawakuitambua kabla.

Kwahiyo waajemi ni watu wa vita pia akili zipo sio kama warabu.
 
Hayatollah bado hajulikani amejificha wapi. Na hizi nazo zitaenda endeshwa na mademu? Israel wana dharau sana wanawapa ndege mademu waende wakawapige iran na midevu yao.
Kwani mademu wamewakosea nn wakristo kuna aibu gani ndeg kuendeshwa na mwanamke au kwenu kwenye dini mwanamke ninkuukalia tu mnaexperined za mama zenu
 
Wakati Pakistani ukisema Iko tayari kulipuka KWA Nyuklia Israel kama Iran itapigwa KWA Nyuklia, ndege zake za kijasusi zimeonekana mipakania zikikusanya taarifa za Iran KWA ajili ya kuwapa US na Israel. Unafiki ni suala la kidunia
 
Inavyoonekana Iran hajawekeza sana kwenye ndege vita.

Anajua adui anayedili nae yuko vizuri kwenye AD akisema apeleke ndege au helicopter zikashambulie atakula hasara.

Yeye kawekeza sana kwenye drones na makombora ya masafa marefu anajua akiyatumia yatakuwa effective kuliko kupeleka ndege vita.
Ndege vita Iran anazo ila anazitumia katika anga lipi? Maana wengi wanaomzunguka Iran ni washirika wa Israel na US, US ana kambi za kijeshi ndani ya za Kiarabu, hizo kambi kazi yake kubwa kuilinda ISRAEL dhidi ya mashambulizi. Hiki ndicho kinafanya Iran ashindwe kutumia ndege vita, ila isingekuwa na majirani zake wangemruhusu ndege zake zipite basi angeweza kuzitumia.

1749964469826.jpeg
 
Back
Top Bottom