SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

In the last 72 hours, Israel launched a preemptive strike against Iran when negotiations between Washington and Tehran were still ongoing.

Iran was caught off-guard. But Iran recovered more quickly from its Pearl Harbor moment than Israel expected.

In less than 18 hours after Israel’s surprise attack, Iran responded firing hundreds of ballistic missiles including hypersonic missiles into central Tel Aviv and across Israel.

Meanwhile, Israel's Iron Dome failed. Israeli intelligence failed. Now Netanyahu is pleading with Washington to intervene with American Military Power to rescue Israel from certain defeat; a defeat Netanyahu crafted with encouragement from Washington.

At the same time, Russia, China, Pakistan and most of the Muslim World are rallying to Iran’s defense.

Supplies, equipment and technical assistance are pouring into Iran.

It’s time for a reality check:

Washington burned through $12 trillion in the Middle East since 2003. Result? 7,000 dead Americans. 50,000 wounded, open borders and 100,000 Americans dying yearly from Fentanyl poisoning.

Today, the United States is $37 trillion in debt, a sum that does not include so-called “agency debt.” 77 million Americans voted for President Trump because he promised to end the overseas conflicts and halt the march to WW3.

Trump’s mandate is unchanged: Secure America’s borders, ports and coastal waters. Deport illegal aliens, crush the criminals r-ping and murdering Americans. Restore the rule of law. But not one more drop of American blood for foreign wars.

One Israeli strike on Kharg Island—where 90% of Iran's oil exports flow—or Bandar Abbas terminals, and Iran closes the Strait of Hormuz. That's 20% of global oil supply.

That means disrupted supply chains and runaway inflation. Gas hits $7/gallon overnight. Every working family crushed. Truckers can't deliver food. Economy crashes. For what? So Israel that started this insane war can drag Americans into a wider regional conflict with the potential for nuclear war?

We have 40,000 troops in UAE, Qatar, across the Persian Gulf. They are sitting ducks. Iranian Shahed-136 Drones cost $20,000 each. American Patriot Missiles cost $4 million per interceptor.

Do the math. We will run through our inventory of missiles and go broke while Americans come home in boxes.

The Middle East is on the brink. Here's what Washington must do to defuse conflict:

1. Ask for an Emergency UN Security Council meeting. Ask for an Immediate ceasefire making it clear that Washington opposes the destruction of Iran, Israel and any other state in the Middle East.

2. Demand that Israel stop the killing of Palestinians in Gaza and withdraw its forces from Gaza and the West Bank.

3. Suspend all military aid to Israel until Israel agrees to remove its troops from Gaza and permit humanitarian assistance to reach the people of Gaza.

4. Propose the commitment of Armed Forces from non-aligned nations to police Gaza and the West Bank. 5. Propose that the United States, Russia, China, India and Brazil convene a peace conference to arbitrate the dispute between Israel, Iran and Israel’s neighbors.

I led American Soldiers under fire into action. I've seen plenty of flag-draped coffins. I don’t want to see any more. Washington’s warmongers had 22 years. They failed. They lied.

They profited while America bled. Time's up.

America First means AMERICA FIRST. Not Israel first. Not Ukraine first. Not NATO first. AMERICA FIRST.
 
Ngoja na sisi tuanze kwanza teketeza kabla hatujaanza bomoa majumba
 
Mkuu hakuna watu wa Hovyo Ambao nao ni zero plus kama Warusi..Tena kama Iran alitegemea msaada toka Urusi ameumia katika hili.Hapo Ayatollah atapambana mwenyewe mpaka watakapomuua.Utabiri Wangu mwisho wa hii ni kumuua ayatollah na kubandika serikali Ya vikaragosi kama Libya walivyofanya.

Urusi ni kubwa jinga zaidi halijitambui Hawa Syria,Yemen,Libya, Iraq na Sasa Iran ni washirika wake je kawalinda?? Wameangushwa mmoja baada ya mwingine sasa Iran atapigwa baadae watapanga kumpa Jina baya Kidyku kule North korea watampiga wakimaliza watapiga Urusi na China. Chukua hii. Hawa ni mashetani wanataka watawale dDunia...

Kama mm ningekua Ayatolah kitendo cha kuamka na Kukuta Mkuu wangu wa majeshi kauwawa Na Top Millitary Generals wote wameuliwa hilo pekee ni Pigo la dharau sana sana kwa nchi ningekimbilia sehemu nikajifie mana lazima watamuua Ayatolah
Ila wabongo bwana😀 kwamba ikimalizika vita vya Iran wanakuja China na Russia?

Niambie ni nchi gani hizi zenye ubavu wakusema tunaenda kumtandika China ama Russia ?

Umeona makobora anayo rusha Iran asiye na Nyuklia hapo Israel sasa Russia wanayo ya kutosha, China ndio usiseme huyu anaweza zalisha zaidi ya makombora 1000 kwa siku kwa kiwanda chake kimoja mind you ni automated factory na China ni manufacturing power house.

Mpuuzi yoyote atakaye jaribu kukifanya hiki anachofanya Israel katika nchi ya Iran na majirani zake kwa China atakuwa amawewatoa kafara watu wake.

Ni kwamba China hapendi vita na hataki vita ila haimaanishi ni mdhaifu ana fahamu katika vita hakuna mshindi bali hasara tu.

Huyo Israel baada ya kuishambulia Iran anapata faida gani zaidi ya yale ya Gaza kutokea kwake na Iran sina hakika kama kamaliza kazi Netanyahu ni kiongozi mjinga sana
 
Huu mgogoro ilipoanzia ni 1948 baada ya Israel kutambuliwa kama taifa na UN Israel imetumia sera za kimabavu kuua na kuchukua ardhi ya Palestina Kila kukicha na kujenga makazi ya watu wake dunia inamuangalia Wapalestina wakijitutumua kulipa kisasi wanaitwa magaidi na majina mengi ili kuhalalisha kuuawa kwao,mpaka hapa juzi UN inasema itambue palestina kama taifa Israel hataki, pagawanywe vipande viwili Israel awe na nchi yake na palestina awe na nchi yake napo hataki Dunia ipo kimya,haiingii akilini mpaka Leo palestina ipoipo ikiitwa mamlaka ya palestina bila kutambulika kama taifa rasmi tunajiuliza tunakwama wapi au sababu Hana nguvu na wanaomsurport ni wengi Kwa kabila na dini ila nguvu hawana walishajaribu wameshindwa kabla wamebaki kama wanafiki ndio maana Leo unaona Saudi Arabia nao wanasema wapo pamoja na Irani baada ya kuona Irani anajitutumua vizuri sana,wapalestina hakuna wa kuwasemea Dunia ya Leo wanauliwa kama wanyama Dunia ipo kimya tu Jana naona kijana wa palestina kabeba maiti ya baba yake katika baiskeli anapishana na watu wanakuangalia tu maana wamefikia zama hakuna kusaidiana hatujapaswa kufika huko kama binadamu,na haya makundi yaliyoibuka na kuwa maadui wa Israel kama Hezbollah!,houth,hamas chuki yao kubwa juu ya Israel ni manyanyaso wanayopata wapalestina katika ardhi yao wakaamua kuanzia uadui na Iran alipoibuka na kusema ataifuta Israel katika ramani ya Dunia sababu ni ubaya wanaofanyiwa wapalestina katika ardhi yao,na hakuna mgogoro katika maisha ya binadamu usioisha kama wa ardhi Iran imeanza kujiimalisha kijeshi muda Kwa makombora ya masafa marefu adui yake ni Israel tu na vibaraka wake Hana uchokozi niheshimu tuheshimiane mpaka anakuwa na vikundi vya kupigana na Israel sababu ni uonevu tu wa Israel Kwa wapalestina ukiangalia Leo katika TV palestina ilivyo na watu watu wake wanavyopata tabu unapatwa na maumivu makali ndani ya nafsi ukijaribu kuuvaa uhusika kama ni wewe,wakristo wanafurahia yahudi anayoyafanya huku muislamu anaumiza,kwenye hili la Imani Muislam haogopi kufa Kwasababu ya Imani yake au haki yake tunaamini Wapalestina wanaodai haki ni halali yao wapewe tukae Kwa amani kuliko haya maisha mmoja ni Bora kuliko mwingine ikifa roho Moja ya muisrael basi ukaue wapalestina wote, ndio haya anaibuka mtu kama Iran na kuamua kununua kesi,tukumbuke Sunni na shia ni njia mbili tofauti kiimani lkn inapotokea changamoto hujaribu kuwa pamoja wakimaliza tofauti zao huendelea za kiimani,tufahamu Uislam si mbaya ila watu wake ndio wabaya tusiishi Kwa kukuchukia Kwa matendo yanayofanywa na wahuni kama Isil,Boko Haram, n.k Israel asihalalishe unyama sababu ya oktoba 7 jibu wapalestina walifanya Yale baada ya kuchoka kuuliwa na kunyang'anywa ardhi yao aache kufanya hivyo na akubali kutambua kama taifa huru Kwa mazungumzo ili maisha yaendelee
 
Yaani huyu mrembo ndio kavirambisha mchanga vile vibabu vyende ndevu kama mahindi?

Screenshot_20250615-061649_1.jpg
 
Back
Top Bottom