SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Trump wa mchambawima huyo
Wewe makende brain unatokea mapori ya mkoa gani?

1749948037967.png
 
Vyombo vya dola vya Israel na jeshi wanazuia waandishi wa habari kuchukua picha katika kambi za jeshi na maeneo ya kimkakati yaliyopigwa, aljazeera wamefukuzwa na sasa wana report wakiwa Jordan, lakini kiukweli hali si nzuri, Israel imepigwa vibaya, mitaa imeharibiwa vibaya.. ni sauti za ambulance na ving'ora vya iron dome..

View: https://www.youtube.com/watch?v=OaN75QsGJvQ
 
Hawa walitakiwa wapatanishwe na heshima itarudi
 
Siamini media zote za ulaya na US zimejibaraguza kwenye hiki kichapo mpaka google na X na wanabania updates...
media za ulaya na US hawana muda wa kupoteza kuandika vitu kama hivyo au unafikiri ni blogs hizo? au manara tv?
 
Iran alishasaini mkataba na Urusi kuwa nchi moja ikivamiwa kivita ni sawa na umemvamia mmoja wao.

Watakuwa wanapiga kwa kuibia kama wanavyofanya sasa hivi ili isionekane waziwazi.

Ionekane kama Israel inapigana kumbe wanapigana wao.
Mkuu hakuna watu wa Hovyo Ambao nao ni zero plus kama Warusi..Tena kama Iran alitegemea msaada toka Urusi ameumia katika hili.Hapo Ayatollah atapambana mwenyewe mpaka watakapomuua.Utabiri Wangu mwisho wa hii ni kumuua ayatollah na kubandika serikali Ya vikaragosi kama Libya walivyofanya.

Urusi ni kubwa jinga zaidi halijitambui Hawa Syria,Yemen,Libya, Iraq na Sasa Iran ni washirika wake je kawalinda?? Wameangushwa mmoja baada ya mwingine sasa Iran atapigwa baadae watapanga kumpa Jina baya Kidyku kule North korea watampiga wakimaliza watapiga Urusi na China. Chukua hii. Hawa ni mashetani wanataka watawale dDunia...

Kama mm ningekua Ayatolah kitendo cha kuamka na Kukuta Mkuu wangu wa majeshi kauwawa Na Top Millitary Generals wote wameuliwa hilo pekee ni Pigo la dharau sana sana kwa nchi ningekimbilia sehemu nikajifie mana lazima watamuua Ayatolah
 
Rubbish
 
Back
Top Bottom