Mkuu hakuna watu wa Hovyo Ambao nao ni zero plus kama Warusi..Tena kama Iran alitegemea msaada toka Urusi ameumia katika hili.Hapo Ayatollah atapambana mwenyewe mpaka watakapomuua.Utabiri Wangu mwisho wa hii ni kumuua ayatollah na kubandika serikali Ya vikaragosi kama Libya walivyofanya.
Urusi ni kubwa jinga zaidi halijitambui Hawa Syria,Yemen,Libya, Iraq na Sasa Iran ni washirika wake je kawalinda?? Wameangushwa mmoja baada ya mwingine sasa Iran atapigwa baadae watapanga kumpa Jina baya Kidyku kule North korea watampiga wakimaliza watapiga Urusi na China. Chukua hii. Hawa ni mashetani wanataka watawale dDunia...
Kama mm ningekua Ayatolah kitendo cha kuamka na Kukuta Mkuu wangu wa majeshi kauwawa Na Top Millitary Generals wote wameuliwa hilo pekee ni Pigo la dharau sana sana kwa nchi ningekimbilia sehemu nikajifie mana lazima watamuua Ayatolah