SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nimeona hiyo zaidi ya nzima iliyopita,hilo ni tukio la masaa mawili yaliyopita,tumia threads,x, telegram kufatilia habari instantly
Wala sijakataa but sometimes mahaba hufanya Mtu kua kipofu mama hatuongelea Shelli (gas station ⛽) ya mtaani ya tank moja tunaongelea kituo kikuu cha kusambaza mafuta
 
Wameanza kukimbiana
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-15-01-27-18-834.jpg
    Screenshot_2025-06-15-01-27-18-834.jpg
    241.5 KB · Views: 21
Kuna taarifa huko inasema Trump kawataka wote Israel na Iran wasitishe vita.

Huyu Mzee jana kaongea taarifa nyengine na leo anaongea nyengine.
Trump akili hana, aifikiri hili suala ni mikwara kwamba anawatisha Iran.. Iran ihakikishe kwa gharama yeyote ile Israel inachakaa, waiharibu vibaya iwe fundisho, apigwe haswa kwa gharama yeyote ile, huyu ms3nge kaharibu mashariki ya kati yote kwa tamaa za kipuuzi sana... sasa kagusa pabaya..
 
Wala sijakataa but sometimes mahaba hufanya Mtu kua kipofu mama hatuongelea Shelli (gas station ⛽) ya mtaani ya tank moja tunaongelea kituo kikuu cha kusambaza mafuta
Nani kasema matanki ya sheli!?..yale matanki ya houthi pale hudeida ni ya sheli?
 
Trump akili hana, aifikiri hili suala ni mikwara kwamba anawatisha Iran.. Iran ihakikishe kwa gharama yeyote ile Israel inachakaa, waiharibu vibaya iwe fundisho, apigwe haswa kwa gharama yeyote ile, huyu ms3nge kaharibu mashariki ya kati yote kwa tamaa za kipuuzi sana... sasa kagusa pabaya..
Iran wamesema ngoma bado
 
Inaonekana kuna mivutano ya ndani, nadhani kuna ambao hawakupenda idea ya Nyau kuanza kuishambulia Iran, Neta ni mbishi sana, sasa ngoja apate anachokitaka..
I think kitu ambacho wengi hawajapenda ni Netanyahu kuendeleza mashambulizi Leo

Unapo piga adui kama Iran inatakiwa shambulio 1 la uhakika unasubili akurudishie kila Mtu auchune sasa paka yeye bado hajatosheka

Ana hatarisha zaid maisha ya raia na zaid ni pilot wa fighter jet ambao wanaenda kuvamia uku adui anajua wazi kuna shambulio tofauti na lile shambulio la kwanza lililo wakuta Iran off guard wapo uchi
 
Trump akili hana, aifikiri hili suala ni mikwara kwamba anawatisha Iran.. Iran ihakikishe kwa gharama yeyote ile Israel inachakaa, waiharibu vibaya iwe fundisho, apigwe haswa kwa gharama yeyote ile, huyu ms3nge kaharibu mashariki ya kati yote kwa tamaa za kipuuzi sana... sasa kagusa pabaya..
Iran imeshatoa tamko punde tu, wamesema operation yao inaendelea wala haijasimama.

Nina wasiwasi alfajiri ya leo wanaweza wakawaamsha wa Israel kwa makombora.
 
Back
Top Bottom