US ana kitu gani?Ila mkongwe unaamini Iran ataweza kuhimili vishindo vya mashambulizi ya Israel na USA kwa pamoja!?
Hii ishakuwa noma!Kuna dhiki kuu inakuja si mchezo ,put your house in order ,mafuta na kila bidhaa unayoijua vitapanda bei maradufu na itakuwa ni kilio na kusaga meno , hasa hiyo escalation ya vita ikizidi na strait of Hormuz Muajemi akiamua kufunga , bidhaa nyingi duniani zinazalishwa China na South East Asia na zinapita hapo , ni hatari vibaya mno
Nakupata vyema sana mkongwe, ila naona kama China ni waoga sana wa vita labda North Korea sawa, kuhusu Russia...nahisi kisanga chake cha Ukraine kitamfanya ashindwe kushirikiana na Iran kwa ufanisi.US ana kitu gani?
US hii vita anategemea kambi zake za mashariki ya kati, na hizo kambi zote zipo kwenye target makombora ya Iran yanafika, US akiingia ujue Russia na China wanatia timu..
Kumbuka hao allies, mmoja anapoanguka nguvu yao kwa pamoja inashuka.. ndio maana tumeona Iran ikimpa Russia drones ambazo zilibadili vita ya UKraine..
US ataendelea kukaa nyuma, akiingia basi kambi zake zitapigwa zote kwa wakati mmoja na kusambaa... ni kitu ambacho US hatopeda..
Acha upuuzi wewe , Alajjazeera tangu lini wanareport ndani ya Israel wewe Kenge ? ,hayo mashoga yenu mnayoyaabudu si yaliripua studio za Alajjazeera na kuwafukuza reporters wote na kuharibu kituo na mitambo ya kurushia matangazo ?Kama unakaa sehemu umeme wa buku buku tuma namba ya luku tukuwekee wa 10,000 na wewe uone al jazeera wapo live kila kitu kinaonekana
Kilichokuwa kinatokea jana na leo ni vitu viwili tofauti
Wajanja na watu wenye kuona mbali ndio maana walitaka kummaliza...Tatizo la Trump analeta mikwara ya ubabe wa miaka ya 80.
Hajui kama dunia imeshabadilika mikwara ya miaka hiyo haina nguvu kwa dunia ya sasa.
Russia itaingia kati, Russia si nchi dhaifu na haijatumia resources zake zote kupambana na Ukraine..Nakupata vyema sana mkongwe, ila naona kama China ni waoga sana wa vita labda North Korea sawa, kuhusu Russia...nahisi kisanga chake cha Ukraine kitamfanya ashindwe kushirikiana na Iran kwa ufanisi.
Wapo, wana uzi wao wa kuishambulia mahakama ya kimataifa kwa kutoa hati ya kukamatwa Netanyahu!Wazayuni uchwara wa Kyela wamejificha wapi
Mambo ya Musk hayoTwitter wameanza kufunga baadhi ya accounts za Iran inazotoa updates za vita..
Mambo yanazidi kunoga..
Netanyahu mthenge sana!Russia itaingia kati, Russia si nchi dhaifu na haijatumia resources zake zote kupambana na Ukraine..
China hataingia direct lakini atatoa msaada..
Lakini mambo yakionekana kuchanganya na interests zake kuingiliwa, lazima atie timu, kumbuka China ni mteja mkubwa sana wa mafuta na gas wa Iran..
Na masikio yake kama popo...Netanyahu mthenge sana!
Sijui anataka kutupeleka wapi huyu mbwa!?
Wamefutahii hapa muda sio mrefuTwitter wameanza kufunga baadhi ya accounts za Iran inazotoa updates za vita..
Mambo yanazidi kunoga..