Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,091
- 15,519
Hebrew Channel 12 correspondent urges "Israelis" not to film the rocket impact sites in Haifa.Kumeanza kuchangamka.
Ulichokisema kimetimia vya kutosha.
Hebrew Channel 12 correspondent urges "Israelis" not to film the rocket impact sites in Haifa.Kumeanza kuchangamka.
Kwa upande wa Israel tangu Jana wamekua wakifukuza waandishi wa habari.Hebrew Channel 12 correspondent urges "Israelis" not to film the rocket impact sites in Haifa.
Ulichokisema kimetimia vya kutosha.
Yeah ila naona kama Israel anaji drain.Huu usiku wa leo utakua mrefu zaidi uliko ule wa jana
Kwa maana usiku wa jana tulishuhudia upande mmoja tu ukishambulia leo ni piga nikupige
Izi taarifa nyie kobazi mnazitoa wapi au mna source zenu huko buza kwa LulengeIron dome leo ni kama zimepigwa upofu.Vyuma vya Hayatollah vinakanyaga mpaka sisimizi vinasaga mpaka vumbi.
DUUUUH HII TEKNOLOJIA SIO YA KAWAIDA HII HATA USA HANA kitu kina speed kuliko mwanga na sauti😱😱😱😱😲😲😲😲😲
View: https://x.com/IranObserver0/status/1934000529027600444?t=VUkPm2hbcLLno5OQCT4syw&s=19
Hao wanawaitq insignificantYeah ila naona kama Israel anaji drain.
Anashambulia Tehran na Sanaa kwa wakati mmoja.
Hili litamchosha mapema.
Maana Houthi nao wakiamua kulipa shambulizi sijui itakuaje.
DUUUUH HII TEKNOLOJIA SIO YA KAWAIDA HII HATA USA HANA kitu kina speed kuliko mwanga na sauti😱😱😱😱😲😲😲😲😲
View: https://x.com/IranObserver0/status/1934000529027600444?t=VUkPm2hbcLLno5OQCT4syw&s=19
Duuuh imbombo ngafu🇮🇱🇮🇷 A senior Iranian security official to Al Jazeera:
“Tehran is preparing itself for an ongoing confrontation and will escalate its attacks. Tehran did not start the war, but it will determine the end of this aggression.”
Tulia,kuna wateule feki wanapekuliwa tuone nyeti
Wewe umekazana kuangalia TBC ukweli na uhakika.Izi taarifa nyie kobazi mnazitoa wapi au mna source zenu huko buza kwa Lulenge
Kwa leo tusubiri mpaka asubuhi tutapata taarifa kwa undani maeneo yaliyoshambuliwa tutaweza kufanya tathmini.Ko kati ya jana na leo siku ipi Israel kudhurika zaidi
Nyoa papa hilo mjinga mwenzio aje kulinyonyaKweli Iran hana nguvu yaani ndege za Israel zinazunguka nchini kutafuta zipige wapi bila hata kuzidungua na zinajaziana mafuta nchini mwako
Kweli.Kweli Iran hana nguvu yaani ndege za Israel zinazunguka nchini kutafuta zipige wapi bila hata kuzidungua na zinajaziana mafuta nchini mwako