Nahisi watakoma na shobo zao sasa.
We mwamba sema unainjoi sana haya mambo ya vita naona unafatilia sana mpaka inafikia hatua unaona wanakuchanganya an 🤣🤣🤣🤣🤣IRT wako moto wanaripoti mpaka vipande vya makombora vinaporuka.
Ko kati ya jana na leo siku ipi Israel kudhurika zaidiIsrael yeye kama yeye ameshachemka.
Ukiangalia kiwango cha offensive alichokifanya siku ya kwanza kwa Iran na siku ya pili ni tofauti.
Siku ya pili kwa kiasi kikubwa mashambulizi yalikuwa machache ndani ya Iran, ya hapa na pale ijapokuwa naye anajitahidi kupiga sehemu za kimkakati.
Tafsiri yake ni kwamba, Iran inazidi kuimarika kulinda anga lake zaidi.
Ila kwa upande wa Israel silioni hili! Yeye anakazana kushambulia tu lakini kwenye kujilinda bado ni bwana mdogo.
Kama hali ikiendelea hivi kwa siku 5 mfululizo au wiki Israel pumzi itamkata.
US ataendelea kupiga kwa kuibia hawezi kujiingiza moja kwa moja kwa sababu Russia na Iran wameshasaini mkataba nchi mona ikiingia vitani zote zitaingia vitani.
Hakika hili hakina ubishiNaona Iran naye anapiga miundombinu ya kiuchumi.
Maana hizo sehemu ambazo makombora yametua inasemekana ndio kuna oil refinery plant ya Haifa.
Leo haijaisha,tuliza kinembeKo kati ya jana na leo siku ipi Israel kudhurika zaidi
Wanasema kuwa Israel imeshambulia tena na inasemekana Kuna Kamanda kauawa wa Iran,pia Kuna oil depot imeguswa.Hakika hili hakina ubishi
Nini kinaendelea Tehran nilikuwa mbali na TV
Iran kinaendelea nini kwa mujibu wa al jazeeaMpaka sasa task waliyopewa jana Israel wameifanyia homework nzuri sana yale makombora yanakuwa intercepted barabara
Ila tujipe muda
Wakuu hii ni hali ya kawaida???Haki Iran wameshindikana??Look at this haki Iran sio binadamu wa kawaida duuuuh sio kwa mvua hii😲😲😲😲😲👇🏻👇🏻👇🏻
View: https://x.com/SprinterObserve/status/1933998277717868571?t=Aji3hz6jZGcO6FZNVXSg6A&s=19
Mashambulizi yakiisha ndo tathimini ya madhara ndo hufanyika tusubili kesho.Ko kati ya jana na leo siku ipi Israel kudhurika zaidi
Umesoma meseji niloreply we clitorisLeo haijaisha,tuliza kinembe
Nyie jamaa mafala kweli.😂😂😂Umesoma meseji niloreply we clitoris
Huu usiku wa leo utakua mrefu zaidi uliko ule wa janaWanasema kuwa Israel imeshambulia tena na inasemekana Kuna Kamanda kauawa wa Iran,pia Kuna oil depot imeguswa.
Naona hii vita itakua ngumu sana maana ni tit for tat.