SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Semi-confirmed reports indicate that Netanyahu’s residence in Herzliya has been destroyed.
 
Kituo cha kusafisha mafuta cha Haifa kimeharibiwa.

Screenshot_20250615-004546.png
 
Kweli Iran hana nguvu yaani ndege za Israel zinazunguka nchini kutafuta zipige wapi bila hata kuzidungua na zinajaziana mafuta nchini mwako
Kumbe ndivyo hali ilivyo?
Sasa mbona Iran bado anamtandika Israel?
Kama hali ipo hivyo Israel si anatakiwa kumaliza vita!?
Inakuwaje Israel inaungua saa hii, wakati anga la Iran lipo wazi?
 
BREAKING: 🇮🇷 🇮🇱

A senior Iranian security official tells Al Jazeera:

Tehran is preparing for an ongoing confrontation and will ESCALATE its attacks.

This isn’t over.
 
Kumbe ndivyo hali ilivyo?
Sasa mbona Iran bado anamtandika Israel?
Kama hali ipo hivyo Israel si anatakiwa kumaliza vita!?
Inakuwaje Israel inaungua saa hii, wakati anga la Iran lipo wazi?
Watu washatolewa kwenye shelter zao wameambiwa wapige misele ila Iran huko basin lenu la mafuta na vituo vya gesi vinawaka moto
 
Back
Top Bottom