Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
Huku tukiendelea kufatilia vita hii mbaya yenye madhara kwa pande zote.
Tujikumbushe sababu ya vita hii ni ndege za Israel kuingia ndani ya anga ya Iran na kufanya mamshambulizi na kuuwa viongozi kadhaa wa Iran.
Iran ikajibu mapigo kuanzia siku ya jana june 13 usiku na mpaka sasa mzee Hayatollah kavurugwa ananichapia mtu mpaka huruma.