Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
IRT wako moto wanaripoti mpaka vipande vya makombora vinaporuka.
Aljazeera wapo live Tehran,sioni mashambulizi,ripota anaripoti live,ila screen juu kulia,haifa inawaka na watu wanagombea milango kukimbiaMbona unaripoti hatari za upande mmoja???
Huna habari kuwa Tehran inashambuliwa???
Balance habari
Nawapataje?IRT wako moto wanaripoti mpaka vipande vya makombora vinaporuka.
Vyombo vyote dunia vimeelekeza macho Telaviv Haifa na Amman jordan jinsi makombora ya Iran yanakuja huko sasa nitafocus vipi kwa upande wa Tehran ambapo hakuna madhara makubwa?Mbona unaripoti hatari za upande mmoja???
Huna habari kuwa Tehran inashambuliwa???
Balance habari
Na ukitoka jua suruali ipo mkononi 🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba ukiingia Tehran subiri kupakwa mafuta tu,hakuna kutoka
Israel yeye kama yeye ameshachemka.Israel analilia marekani aingilie
Habari umeipata wapi hii kaka?Dakika 11 zilizopita
Sunday 15 June
00:10 Israeli intelligence has confirmed that another wave of Iranian missiles is expected to target Israel as the night progresses.
TV footage showed a series of massive explosions at unidentified installations in the port of Haifa as the Israeli Iron Dome air defense system failed to intercept some Iranian missiles.
Some military analysts said Iran has used hypersonic missiles in the attack on Israel on Saturday night.
😂😂😂😂😂😂😂 we jamaaa unazingua.Nimekula ugoro mkali wa kimasai sasa naona tv kama imepinda.