Israel yeye kama yeye ameshachemka.
Ukiangalia kiwango cha offensive alichokifanya siku ya kwanza kwa Iran na siku ya pili ni tofauti.
Siku ya pili kwa kiasi kikubwa mashambulizi yalikuwa machache ndani ya Iran, ya hapa na pale ijapokuwa naye anajitahidi kupiga sehemu za kimkakati.
Tafsiri yake ni kwamba, Iran inazidi kuimarika kulinda anga lake zaidi.
Ila kwa upande wa Israel silioni hili! Yeye anakazana kushambulia tu lakini kwenye kujilinda bado ni bwana mdogo.
Kama hali ikiendelea hivi kwa siku 5 mfululizo au wiki Israel pumzi itamkata.
US ataendelea kupiga kwa kuibia hawezi kujiingiza moja kwa moja kwa sababu Russia na Iran wameshasaini mkataba nchi mona ikiingia vitani zote zitaingia vitani.