Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,063
- 12,171
Iran amesema ataongeza mashambulizi kadri muda unavyozidi kwenda.
Kipigo cha usiku wa kuamkia leo kimeua mayahudi 5 na majeruhi kibao.
Al Jazeera wapo live wanaonesha uharibifu wa miundombinu ya Israel baada ya mashambulizi ya Iran.
Angalau sasa Israel ameanza kuonja uchungu wa raia wake kulengwa na kuuawa kama anavyofanya kwa watu wa Gaza.