kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Ila we jamaa ni mweupe sana..Matokeo ya shoo sasa.......kafa mtu mmoja ten kikongwe,
Sasa nenda kwa Israel kipondo chake utakuta kauua waajemi kibao na viongoz wa jeshi wakiwemo
Na watoto wa dada zao😂😂😂Ebu tulieni naona kuna mashabiki wa Israel na irani ila vita sio rahisi pia Israel awezi kuanzisha kitu asichokiweza pia iran sio wa kumchukulia poa time will tell
Kwa mapigo haya wakija bongo tumekwisha ndani ya nusu saa
Ndio kwanza jeshi liko busy kuajili form four failure......
Mungu atunusuru tu afu wako confident tukisema tuzipige ata na Rwanda kwisha huu ni moto 🔥 🔥 🔥 🔥 mkaliNa watoto wa dada zao😂😂😂
Trump anataka vita isitishwi naona ameanza kutoa mlioMuajemi kaamua ,show show mpaka kuna kucha
Tatizo Kobaaz mabusha mna uelewa duni sana ishu ni matokeoIla we jamaa ni mweupe sana..
Hivi unafikiri Iran ikitaka kushindana kuua raia patakalika hapo?
Iran inaweza kupiga makombora mawili tu yakateketeza block nzima ya mtaa..
Akianza kulenga makazi mnasema makombora hayana shabaha kupiga kambiza jeshi, akipiga kambi za jeshi mnasema makombora mengi wanaokufa wachache, Iran inaelewa raia ambao hawana hatia hawapo katika hili..
Missile ikishaingia anga la Israel operator kule Iran ni yeye kulipeleka napotaka, nyumba ya Netanyahu imegeuzwa kifusi, kama wana kombora precision ya kupiga nyumba ya rais wa Israel, wanashindwa kupiga makazi ya raia?
Mnaongea vitu visivyo na maana kabisa..
Trump wa mchambawima huyoTrump anataka vita isitishwi naona ameanza kutoa mlio
wewe kichwa pumbu hio elimu gani unayongelea au ya kipa imaraTatizo Kobaaz mabusha mna uelewa duni sana ishu ni matokeo
Nyie ndo wale mlipokuwa shule mlikuwa mnaona fahari kukesha matokeo ya mtihani yakija wa mwisho