Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Aisee sikutegemea hii kufikia mbali hivi.
Nimependa sana inachofanya Iran kupiga maeneo nyeti ya Israel hii ni njia nzuri ya kumpunguza nguvu adui
Aisee sikutegemea hii kufikia mbali hivi.
Sio kweli! Pakistan anajua endapo akipigwa Iran basi ataekaefuta niyeye, so anachofanya kwasasa ni kumsadia Iran kiinjerensia na kijeshi endapo Israel itatumia Nuclear kuishambulia Iran.Wakati Pakistani ukisema Iko tayari kulipuka KWA Nyuklia Israel kama Iran itapigwa KWA Nyuklia, ndege zake za kijasusi zimeonekana mipakania zikikusanya taarifa za Iran KWA ajili ya kuwapa US na Israel. Unafiki ni suala la kidunia
Mawazo ya kitoto sana haya, Pakistan tayari anamzozo na India, juzi Netanyau kamuomba India amsaidie India kakataa, Inakuaje sasa Pakistana amsaidie Israeli?Wakati Pakistani ukisema Iko tayari kulipuka KWA Nyuklia Israel kama Iran itapigwa KWA Nyuklia, ndege zake za kijasusi zimeonekana mipakania zikikusanya taarifa za Iran KWA ajili ya kuwapa US na Israel. Unafiki ni suala la kidunia
Hawa mbwa wa humu wameanza kupoa walijua Iran ni matako yao!!!Vifo vinaongezeka tenaa!?
Kaka tunapenda Israel ishinde lakini ukweli hii vita ni ngumu sana.Maandalizi yamefanywa ya kutosha kuendelea kutembeza kichapo Iran kwa wiki kadhaa.....hapa bado wanapasha misuli tu, ikumbukwe anga ya Iran peupee....
Israel's Operation Rising Lion against Iran is expected to take “weeks, not days," CNN reported Saturday night, citing White House and Israeli officials.
The operation is moving forward with "implicit US approval," the sources added.
United States President Donald Trump's administration "has not critiqued the weeks-long timeframe in private discussions," an Israeli official told CNN.
![]()
Israel, Iran conflict to last 'weeks, not days,' officials tell CNN | The Jerusalem Post
The operation is moving forward with "implicit US approval," the sources added.www.jpost.com
Na wanepooza kweli sio mchezo.Hawa mbwa wa humu wameanza kupoa walijua Iran ni matako yao!!!
Hypersonics zina speed kuliko defence systems ,ndio maana ata pale ukraine wana lia shidaWatu waliipinga hii habari.
Na usikute economic infrastructure zingine zimeguswa ila hawasemi.