SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Makombora yakirushwa mengi kwa wakati mmoja mfumo hauwezi ku intercept yote!
Ingawa % kubwa yanakuwa intercepted.
 
Kweli Iran ni baba lao, wamefanya yaliyoshindikana na yaliyoonekana hayawezekaniki!

Huko Israel umeme umekatwa kama Ukraine tu baada ya kituo cha kuzalishia umeme kufumuliwa vibaya na Iran, na sasa naona Iran wanapiga maeneo nyeti tu.
Sio mchezo.
Nimependa comment yako kichizi umeingia kwenye orodha ya watu walio jishindia soda kutoka kwangu
 
Kweli Iran ni baba lao, wamefanya yaliyoshindikana na yaliyoonekana hayawezekaniki!

Huko Israel umeme umekatwa kama Ukraine tu baada ya kituo cha kuzalishia umeme kufumuliwa vibaya na Iran, na sasa naona Iran wanapiga maeneo nyeti tu.
Sio mchezo.
Muajemi ni akili nyingi sana aise.

Halafu yeye wala hahangaiki sijui kutoka kwenye nchi yake kwenda kuhangaika kuinyuka Israel, badala yake anamtandika Israel huku wakiwa wanapiga story na kuina live vyuma vinavyopiga maeneo nyeri.

Sasa teknolojia kama hii unadhani akiamua kukafuta kale kanchi ka mchongo si dakika sifuri tu anasawazisha kifusi.
 
Kuna tetesi kuwa mifumo ya ulinzi ilidukuliwa jana usiku na mingine iliharibiwa lakini hatuna uhakika kwa sababu vita hii ina propaganda nyingi.
 
Nashukuru kuzaliwa zama hizi ambazo propaganda hazina nafasi mbele ya uhalisia.

Zamani watu walipigwa sana kamba na Ulaya kwamba Israel ni taifa lenye nguvu kweli kweli za kijeshi kumbe mchumba tu mbele ya Muajemi.
 
Makombora yakirushwa mengi kwa wakati mmoja iron dome haiwezi ku intercept yote...machache lazima yapenye!
% kubwa yanafanikiwa kuwa intercepted, sasa jiulize bila iron dome na ule mfumo david nn sijui hali ingekuwaje huko Israel?!

Kingine nimeona kwenye hii vita Israel wako na target zaidi kuliko Iran...hata jana jpili wameua tena ma generali wa3 wa jeshi la Iran na afisa m1 mkubwa wa intelijesia.
Kwahiyo unapendekeza Iran warushe kombora moja moja ili Israel iweze ku intercept kwakua mifumo yao ya Air defence ni dhaifu haiwezi kuzuia makombora mengi kwa wakati mmoja?
 
Mm nimelala natetemeka nikazima na WiFi nisione Israel tunavyo shenyentwa kumbe mmeua vizee vilivyo shindwa kuingia kwenye bunker

Israel kaondoka na kichwa cha chief spy master wa Iran yaani mpaka mkuu wa intelligence Agency anakua Fala fala

Ndio shida ya kuweka watu wasio na weledi kwenye kazi unamuweka Mtu kuongoza Agency Kwa kigezo cha kukalili quran takatifu kweli???? Iran ilikua inajifanya mafia apo middle East but now ni zuchu

Mpaka muda huu Israel ndio ana funguo za kuendeleza vita au visimame
Kwahiyo Iran ni Zuchu ila watu wa Israel wamekimbilia kwenye mahandaki ili kumkwepa Zuchu? Unaamaanisha Israel ni dhaifu kiasi hicho cha kumkimbia zuchu na kujificha chini ya ardhi kama panya?
 
Anajisumbua tuu
Anajisumbua wakati leo amepiga vituo vya kuzalisha umeme na mpaka sasa nusu ya Israel haina umeme,imepiga viwanda vya kusafisha mafuta, na baadhi ya mifumo ya ulinzi inasemekana imeharibiwa .
Hii vita ni ngumu sana tofauti na nyinyi mnavyo fikiri na isipo tulizwa kutalipuka vita kubwa ya kikanda.
 
Kinachoendelea muda huu asubuhi huko Israel.

Yaani miji ya Israel kwasasa haina tofauti na Gaza ni mwendo wa kufukua vifusi tu.

Asante Iran kwa kuiheshimisha dunia maana tulidanganywa sana.
 

Attachments

  • Screenshot_20250616_072534_Chrome.jpg
    Screenshot_20250616_072534_Chrome.jpg
    269.2 KB · Views: 15
  • Screenshot_20250616_072545_Chrome.jpg
    Screenshot_20250616_072545_Chrome.jpg
    255.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20250616_072600_Chrome.jpg
    Screenshot_20250616_072600_Chrome.jpg
    249.4 KB · Views: 16
Moja:. Waneacha makusudi kama ile al aksa flood ili wapate uhalali wa kuifuta na kuipindua kabisa Serikali ya Iran KWA msaada wa marafiki zake kama wanavyojipa uhalali wa kuichakaza Gaza kama wanavyotaka.

aU
Mbili: Uwezo mkubwa wanaojipa ni propaganda za magharibi maana dunia inalishwa taarifa za upande mmoja. Israel hawana uwezo wa kupambana na taifa kubwa, sio tu Israel hata US. Air defence systems ziliandaliwa KWA ajili ya magaidi na prix wa Iran ila sio Iran wenyewe

Wasema mwisiraeli wa kiroho kutokea pande za kwetu Marenumango huku.
 
Vituo vya kusafisha mafuta na baadhi ya mifumo ya ulinzi vya Israel vimepigwa kwenye shambulizi la alfajiri hii la Iran hii vita ni ngumu tofauti na watu wanavyo dhani na vinaweza dumu kwa muda mrefu.
Hadi muda huu zaidi ya majengo 60 ndani ya Israel yameharibiwa vibaya, Israel anaenda kupigwa siku 10 mfululizo baada ya hapo anaachiwa shoga yake USA akazoe majivu.
 
Umeme umekatwa na makombora ya Iran huko Israel ni mwendo wa kiza tu.

Yote wanayopitia Gaza ndicho wanachopitia Israel kwasasa.

Na jeshi la Iran limewaambia raia waondoke maeneo muhimu ambayo Iran ameya target kuendelea kuyamiminia mvua ya makombora.
 
Kinachoendelea muda huu asubuhi huko Israel.

Yaani miji ya Israel kwasasa haina tofauti na Gaza ni mwendo wa kufukua vifusi tu.

Asante Iran kwa kuiheshimisha dunia maana tulidanganywa sana.
Comments nazozipenda yani mwanangu ungekua karibu hadi muda huu gharama ya Supu ingekua juu yangu
 
Sema tu hii vita nayo imejaa propaganda za upande mmoja. Ila ukija kwenye uhalisia, kuna tofauti kubwa tu ya hizo taarifa.
 
Putin Alikuwa anawaambia Nini Khazarians na Marekani kuhusu Mshirika wake Iran ?
 
Hata Hamas waliua wa Israel wengi sana ile oktoba tukaanza kuwaponda MOSSAD nadhani sasa mnajionea Gaza ilivyo
 
Kweli Iran ni baba lao, wamefanya yaliyoshindikana na yaliyoonekana hayawezekaniki!

Huko Israel umeme umekatwa kama Ukraine tu baada ya kituo cha kuzalishia umeme kufumuliwa vibaya na Iran, na sasa naona Iran wanapiga maeneo nyeti tu.
Sio mchezo.
Maeneo gani hayo nyeti ambayo Iran imepiga
Iran anarusha Tu vimondo Kwa sandakarawe mwenye likimpata ata jiju

Wenye target hawa hapa wanang'ata Kama dondora pigo moja Mtu ana vimba
1000602077.jpg


Sasa Kama chief spy master kaliwa kichwa kizembe hivyo ndio shida ya kuweka watu kwenye sekta nyeti kigezo ni kukalili quran takatifu bora hata wa Houth
 
Nichangie kidogo tu,. JAMANI Mimi nipo neutral Sina upande wowote kwenye huu mgogoro,sipo kwa Israel au Iran,kiufupi napenda amani, Esreael kufanya baya kuvamia nchi ya watu na Iran anapambana na anajitahidi sana kupambana, Ila Ninavyoona, Na ndivyo itakavyokuwa ni kwamba Iran inaenda kupoteza pambano pia utawala wa Ayatollah unaenda Kuangaka,,,,,
SABABU kuu ni kwamba ndani ya IRAN Kuna hujuma kubwa sana Tena sana,,kiufupi Israel inajua wapi pa kupiga Ila IRAN inabahatisha sehemu za kupiga, Labda ikiwezekana ili mchezo ugeuke ni kama itatokea rafik mwema amsaidie taarifa sahihi na wapi pa kupiga Israel,,Ila naamini Iran inaenda kupoteza pambano, Israel naona mda mrefu sana Tena sana alipandikiza watu wake ndani ya IRAN.
Mapandikizi huko Iran wanadakwa mmoja baada ya mwingine mkuu.
Unaliona linalotokea Leo basi ndilo lililoanza kutokea vita ya Iran-Iraq war mwaka 1980-1988.
Iran sio nchi nyepesi mkuu.
Ni wabishi sana hawa jamaa.
Na kitendo Cha Iran kulipua hovyo huko Tel Aviv raia wa Israel wameanza kutafuta passport zao za dual citizenship wanakimbia nchi.
 
Back
Top Bottom