SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran wameshindikana aiseee
1000602077.jpg
 
President Donald Trump said he believed it’s possible Israel and Iran could reach an agreement to end their conflict, though the two sides may need to continue fighting before they’re ready to broker a peace deal.
 
Nimesema yamepenya yote?
Pia je hao waandishi wa habari wameruhusiwa kuchukua picha za karibu!?
Embu Israel iruhusu waandishi wachukue matukio ya karibu uone.
kwani iran inaruhusu waandishi wa habari?
 
Wadau hamjamboni nyote, taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, 2hr ago
Iranian media says Israeli drone factory raided inside Iran
Iranian security forces located a three-story Israeli drone factory inside Iran, the semi-official IRGC-linked Tasnim news agency reports.

According to the report, Tehran believes other sites are present in the country, and security forces are operating against them.

In Israel’s initial strikes on Friday, it used explosive-carrying quadcopter drones, rockets, and other sophisticated equipment located inside Iran for precision attacks on Iranian nuclear scientists, military leaders, anti-aircraft batteries, and surface-to-surface missiles.

The Wall Street Journal reported Sunday that they were smuggled into the country, and not manufactured there.
Mbona utangulizi wa huu uzi na hitimisho vinakinzana. Mwanzo ni kuwa kiwanda cha Israel cha drones kimevamiwa, aya ya mwisho inasema drones ziliingizwa Iran kimagendo.
 
Mbona utangulizi wa huu uzi na hitimisho vinakinzana. Mwanzo ni kuwa kiwanda cha Israel cha drones kimevamiwa, aya ya mwisho inasema drones ziliingizwa Iran kimagendo.
Soma tena vizuri neno kwa neno uelewe au omba mkalimani
 
Kweli Iran ni baba lao, wamefanya yaliyoshindikana na yaliyoonekana hayawezekaniki!

Huko Israel umeme umekatwa kama Ukraine tu baada ya kituo cha kuzalishia umeme kufumuliwa vibaya na Iran, na sasa naona Iran wanapiga maeneo nyeti tu.
Sio mchezo.
 
Nichangie kidogo tu,. JAMANI Mimi nipo neutral Sina upande wowote kwenye huu mgogoro,sipo kwa Israel au Iran,kiufupi napenda amani, Esreael kufanya baya kuvamia nchi ya watu na Iran anapambana na anajitahidi sana kupambana, Ila Ninavyoona, Na ndivyo itakavyokuwa ni kwamba Iran inaenda kupoteza pambano pia utawala wa Ayatollah unaenda Kuangaka,,,,,
SABABU kuu ni kwamba ndani ya IRAN Kuna hujuma kubwa sana Tena sana,,kiufupi Israel inajua wapi pa kupiga Ila IRAN inabahatisha sehemu za kupiga, Labda ikiwezekana ili mchezo ugeuke ni kama itatokea rafik mwema amsaidie taarifa sahihi na wapi pa kupiga Israel,,Ila naamini Iran inaenda kupoteza pambano, Israel naona mda mrefu sana Tena sana alipandikiza watu wake ndani ya IRAN.
Huwezi kukosa upande. Hiyo ni nature. Vitu vinakuja kwa pair baba. Jua kwa mvua, usiku na mchana, kulia na kushoto.
Iran hata ikipigwa hiyo respond waliyofanya kwa mazayuni imeonyesha uwezo mkubwa sana. Hata wao israel hawakutegemea majibu ya kiwango hicho.
 
Iranian media says Israeli drone factory raided inside Iran
Iranian security forces located a three-story Israeli drone factory inside Iran, the semi-official IRGC-linked Tasnim news agency reports.

According to the report, Tehran believes other sites are present in the country, and security forces are operating against them.
Basi nchi iko uchi hiyo, mpaka wamejenga dude lote hilo wao walikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom