Chuma Kimerudi,Kimsboy a.k.a Hayatollah jr.Kwishaaaa
Yanatofautiana speed sababu anarusha missiles za aina tofauti, wewe hapa ndio uniletee uthibitisho wa hizo decoys na sio speed kutofautianaTaarifa official!?..yaani yenye muhuri na sahihi ya ayatollah?..we huoni hayo makombora hupishana speed,yenye speed ndogo hutangulizwa yakifuatiwa na vyuma vya uhakika,lile lililozima umeme Jana hukuliona?
Halikuwa bomu ni tetemeko kweli🚨Iran
4.3 magnitude earthquake occurred in Sistan Baluchistan province. Local sources say that there is a high probability of a nuclear test ☢️🇮🇷
Sio kichwa maji tunahitaji facts ili kuelimishana iwe rahisi so uje na story uliambiwa na bibi yako kijijini eti decoys zimerushwa!Usipoteze mda kubishana na mtu bichwa maji(hydrocephalus).
Mkuu king, amini Iran inaenda kupoteza pambano muda si mrefuIla watu wanasifa aisee nimeingia you tube kucheki missiles za iran zilivyopiga Israel. Nikaona nipitie comment za watu aisee nimecheka kuona mtu kaandika
"That iron dome looks more like a dome full of holes".
Vita ni kitu kibaya sana, kwakweli sababu wanakufa watu wasio na hatia. Lakini kusema nani anashinda bado ni mapema mno. Lakini mpaka sasa iran ni mwanaume yaani jeshi la mtu mmoja huku fake Jewish wakipewa sapoti na western na puppets zao kama Jordan.Mkuu king, amini Iran inaenda kupoteza pambano muda si mrefu
Hizo salamu tu bado show haijaanza mpaka ayatollah aliwe kichwa![]()
Trump cuts short G7 trip over Middle East tensions as Israel and Iran exchange fire
Blasts have been heard in Tehran and sirens have sounded in Israel as US president convenes National Security Council.www.bbc.co.uk
Watu zaidi ya 224 washatangulizwa kufaidi bikira sabini na ushehe
Iran atatupa taulo Chini, muda ni MwalimuVita ni kitu kibaya sana, kwakweli sababu wanakufa watu wasio na hatia. Lakini kusema nani anashinda bado ni mapema mno. Lakini mpaka sasa iran ni mwanaume yaani jeshi la mtu mmoja huku fake Jewish wakipewa sapoti na western na puppets zao kama Jordan.