Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Aliwe kichwa mapema sanaHata me ndio kitu natamani ona hizi nyingine ni mbwembwe, uchebe ule usifike sabasaba
Aliwe kichwa mapema sanaHata me ndio kitu natamani ona hizi nyingine ni mbwembwe, uchebe ule usifike sabasaba
Sie tunaangalia damage.Japo umebisha ulichokisema ila makombora yanayopita na yanayozuiwa huwa tunayaona uzuri ni angani haihitaji hata usogelee, na kama waandishi hawaruhusiwi we umejuaje kwamba huwa hayazuiwi,
Atoe location yake au hotuba mengine tuwaachie IDFOya nimeshasema Ayatollah wiki hii hatoboi wanamfyeka
Lamsingi tagert iliyo kusudiwa ipingwe maana hata ya Israel hayapenyi yote mengine yana dunguliwa.Kupenya yanapenya ila machache, hasa sisi tunatumia BBC news or Al Jazeera tunayaona ila so mengi
#Tupewe location ya ayatolah Mossad tunashida nayo
Kipi kinadungua na mmedungua lini wakati nyie kule anawafata na ndege kabisaLamsingi tagert iliyo kusudiwa ipingwe maana hata ya Israel hayapenyi yote mengine yana dunguliwa.
Naelewa ila nipe taarifa official ilionyesha matumizi ya decoys hukoHujui maana ya decoy, kwenye mpira, decoy ni yule mchezaji anayezuga kupewa pasi anakimbia kuelekea golini,nyi mnaweka mtego wa offside,pass anachomoka nayo mwingine ambaye hayupo offside,mnagongwa chuma
Jamaa anaota huyo na alivyo hana hata aibu anasema habari makini unapata BBC.Ninafuatilia hiyo mbungi kupitia CBS news kijana.
Yapo makombora yanayopenya.
Habari hufuatilii peke yako.
Hahaha dah mkuu umejua kunichekesha kwamba jamaa amepuliza pande zote
Huku anataka kumaliza vita
Hapo hapo anataka kulinda uhai wake
BBC hakuna kituJamaa anaota huyo na alivyo hana hata aibu anasema habari makini unapata BBC.
Vita ndio nzuri wewe hujui tu labda.Vita haifai kabisa!
Taarifa official!?..yaani yenye muhuri na sahihi ya ayatollah?..we huoni hayo makombora hupishana speed,yenye speed ndogo hutangulizwa yakifuatiwa na vyuma vya uhakika,lile lililozima umeme Jana hukuliona?Naelewa ila nipe taarifa official ilionyesha matumizi ya decoys huko
Jaza taksima shavuni kabisa handas ikipanda na midude inaanza kushuka.Mbona hamna amshaamsha au bado muda? Nimenunua gomba ya afutatu eti
Ongeza ya afutano kisha saga mgomba mpaka kukucheMbona hamna amshaamsha au bado muda? Nimenunua gomba ya afutatu eti
Wamemshindwa Hamas kikundi cha mgambo mwaka wa 3 huu unasema Iran hatoboi sio?Iran atoboi j5,atakata pumzi muda si mrefu
We umeonaje?bbc waongo sana hawa na meno yao yanjano rangi ya blue band.