Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
Nasoma comment tu kuandika napata tabu,hii tecno hovyo sana,nikigusa herufi"a"inatokea herufi"w"nikigusa W inatokea"TFF.
Mbona unatudanganya wewe.Watu Taarifa mnapataga wapi surely..
Kunawaka moto kunawaka moto.
Mnashabikia vita kama mpira?
Kwa taarifa yako % zaidi ya 90 ya makombora yanayorushwa na Iran yanazuiliwa.
Fuatilieni taarifa kwenye vyombo makini kama BBC wapo live muda wote acheni uzwazwa.
Sio decoy ni missiles hakuna confirmation kwamba kuna decoys zimerushwa hadi sasaDecoy!
Ili kui overwhelmed mifumo ya ulinzi wa anga.
Jamaa baada ya kuona Iran anaguswa matako kapotea kabisakimsboy uzi wako unakusubili huku wadau tunataka updates.
Adhabu mbona inaelewekaIsrael ameshashindwa hii vita!
Tangu nilipoanza kuona anatumia mbinu za kigaidi za vilipuzi nikaona hana tofauti na Ukraine anavyofanya kwa Russia.
Anatumia majasusi wake waliyo ndani ya Iran kufanya mashambulizi ya kutumia drones wakiwa ndani ya Iran na kutega mabomu.
Eneo moja ambalo Iran linamsumbua ni hilo la kupambana na makachero ndani ya nchi yake.
Inabidi wasaliti anaowakamata atoe adhabu ya mfano ndani ya nchi.
Mimi na u pro Israel wangu lakini nimewakubali wa Palestina wa Gaza wale watu ni paka wana mioyo migumu mnooo kuvumilia mwaka mzima mabomu Kama hayo day and night nonstop kila siku khaaaaaVyuma vimeanza kurushwa tena huko tena Israel.
Iran anashambulia tena.
Netanyahu kwanini umeamua kuwafanyia hivi Waisrael!?
View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1934331641499156906
Wewe endelea kubishana jukwaani na uongo wako.Mbona unatudanganya wewe.
Wave ya kwanza ndio huwa yanadunguliwa ila wave ya 2 hakuna yanayodunguliwa sote tunatizama hapa.
kaa kwa kutulia denti, hio habari haujibii mitihaniHao ni captives wale wa gaza soma habari kamili acha uvivu kijana mdogo
Ninafuatilia hiyo mbungi kupitia CBS news kijana.Wewe endelea kubishana jukwaani na uongo wako.
Ila ninachokuambia hapo ndio ukweli wenyewe.
Mpaka sasa Majengo yaliyopigwa yanahesabika na hata miji nitakutajia.So far vifo ni 14 vya raia na majeruhi kwa mamia.
Acheni kubishana uongo uongo tafuteni maisha.
Naam,apigwe tu yahudiUsiku wa leo umethibitisha tena kuwa Israel Air Defense System si lolote si chochote.View attachment 3369143
Iron Dome na THAAD zimetepeta badala ya kuintercept missiles za Iran ndio kwanza Iron Dome na THAAD zinaachia njia vinu vishuke
Hizi missiles za Iran zimepewa jina Shahed Haj Qassem with a range of 1000 miles
Hapa Marekani na washirika wake wakajipange tena kuja na mifumo itakayoweza kuzuia hypersonic missiles za Iran
Iran iendelee na hii consistency Wayahudi lazima wakae.
Myahudi asipewe muda wa kuvuta pumzi iwe ni vinu juu ya vinu
If you can't beat them join them
Mkuu, kama jambo hulielewi basi ujue haukukusudiwa wewe!Sio decoy ni missiles hakuna confirmation kwamba kuna decoys zimerushwa hadi sasa
Acha uongo yaani missiles zote takribani 50 zipenye Israel halafu bado majengo yawe yamesimama huwa yana be intercepted tena mengi yao, tuma video hapa maneno hayavunji mfupaMbona unatudanganya wewe.
Wave ya kwanza ndio huwa yanadunguliwa ila wave ya 2 hakuna yanayodunguliwa sote tunatizama hapa.
Comrade utanipa update asubuhi mlivo kiwasha LeoNetanyahu anadai makombora yameboreshwa kidogo,yanaweza fika marekani