SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sasa kama unaona unabisha nini?

Kwamba Israel hachapiki muda huu?

Wewe mwenyewe umeweka picha za Haifa ikiwa inawaka moto halafu unajibishia mwenyewe tena.😂
Hakuna kitu km hicho magari mawili matatu tu yalikua yanaungua
 
Umepanic mkuu?

Kipigo bado kinaendelea pengine usiku kucha.

Mazayuni hawajalala siku ya tatu mfululizo na hawatalala kwa siku kadhaa mbele hadi akili iwarudie.

Wanachowafanyia watu wa Gaza ndicho wanachopitia wao kwasasa.
Israel ana onja dawa anayo wanywesha Gaza kila siku

Sometimes kujua Mtu anapitia Hali gani kwenye maisha inabidi na ww upitie kile anacho pitia kiukweli I declare my interest mm ni Pro Israel Ila Kwa Hivi vimondo vya Iran aise Wana Gaza wanamioyo migumu Wale sio watu ni paka
 
Unataka wafe watu wasio na hatia? Kila raia ana haki ya kuishi, awe mtanzania, muiran au muisraeli.

Hawa wapatanishwe na kila mmoja akubali kuwa kila nchi ina haki ya kuwepo, na isiingiliwe. Haya mambo ya kutaka watu au taifa fulani lisiwepo, ni mambo ya kijinga na ndio yamepelekea hizi vita.
Ngoja wachapane kwanza anaeanza kupigwa ndie anaemaliza mchezo subiri utaelewa ninachokwambia kuimba kupokezana ukiimba mchana mwenzio anaimba usiku hivyo yaan ni mwendo wa kuimbiana tu
 
Hey, ebu nielekezeni kama mtu nisiyeelewa kitu kabisa.

Tunaambiwa kuwa Israel inamiliki anga la Iran, yaani Israel anaingia na ndege zake na kushambulia ndani ya anga la Iran vile anavyotaka, yaani hakuna upinzani wowote dhidi ya ndege zake.
Sasa inakuwaje Iran bado inafanikiwa kufanya mashambulizi makubwa dhidi ya Israel?
Hizi ndege za Israel huwa zinashambulia kitu gani zinavyoingia na kutoka ndani ya anga la Iran?
 
Subiri kwanza Ayatollah akishakufa tutakujibu swali lako
 
Back
Top Bottom