SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Haifa inateketea kwa moto wakuu.

Iran kafanya maangamizi yakutisha huko Haifa maana mji unawaka moto kila kona.

Muda huu vyuma vingine vinaendelea kushuka Occupied West Bank.

Aise Iran ni mbabe tuache propaganda za mashog,a kutuaminisha kwamba Israel ana mifumo imara ya ulinzi wa anga.

Imagine kama sio kukua kwa teknolojia maana yake tungekuwa bado tunapigwa kamba na propaganda za maghribi.
Usifikiri hatuoni na mbaya zaidi Iran hawaonyeshi kulivyochakazwa wanaonyesha Israel tu

Screenshot_20250615_215231.jpg
 
Maelezo ya huyu waziri kwa namna moja ama nyingine anahitaji sana mazungumzo yafanyike ya kusitisha hiyo vita; kwa sababu na yeye anaogopa kufa kama hao viongozi wengine.

Ameongea kwa lugha ya kiungwana sana bila kumkwaza yeyote.​
Hahaha dah mkuu umejua kunichekesha kwamba jamaa amepuliza pande zote

Huku anataka kumaliza vita
Hapo hapo anataka kulinda uhai wake
 
Usifikiri hatuoni na mbaya zaidi Iran hawaonyeshi kulivyochakazwa wanaonyesha Israel tu

View attachment 3370440
Nadhani umejionea mwenyewe hali halisi ya mji wa Haifa ilivyo hivi sasa halafu unanibishia tena.

Wewe kama una picha za Iran unaweza kuweka hapa maana BBC na CNN lazima wazioneshe.

Mimi nazungumzia ninachokiona muda huu pale Israel.
 
Mimi pia nipo natazama hapa usione unasimulia mazuzu wenzio
 
Unajua ila unajifanya hujui- Ni kusambaratisha uwezo wa waarabu WOTE KIVITA hapo mashariki ya kati.
 
Umepanic mkuu?

Kipigo bado kinaendelea pengine usiku kucha.

Mazayuni hawajalala siku ya tatu mfululizo na hawatalala kwa siku kadhaa mbele hadi akili iwarudie.

Wanachowafanyia watu wa Gaza ndicho wanachopitia wao kwasasa.
Mkianza kupigwa msije kusema anawaua Watoto na michozi mfululizo kulia kupokezana endelea
 
Israel idondoshe kipande cha Nuclear hapo Iran ili moyo wangu usuuzike.
Unataka wafe watu wasio na hatia? Kila raia ana haki ya kuishi, awe mtanzania, muiran au muisraeli.

Hawa wapatanishwe na kila mmoja akubali kuwa kila nchi ina haki ya kuwepo, na isiingiliwe. Haya mambo ya kutaka watu au taifa fulani lisiwepo, ni mambo ya kijinga na ndio yamepelekea hizi vita.
 
Back
Top Bottom