startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,756
- 1,955
Thank youđź”´BREAKING: The entire top intelligence command of the IRGC has been eliminated in Tehran.
Thank youđź”´BREAKING: The entire top intelligence command of the IRGC has been eliminated in Tehran.
Unazingua!! Nimekuuliza sababu ya American kuondoa majeshi Yake Vietnam wewe unaleta idadi ya majenerali ! Elewa Swali jibu kama ulivyoulizwa
Wanasema wanajibu mashambulizi kutokana na wanavyo chokozwa, ila wako tayari kusitisha iwapo Israel watafanya hivyo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=f7ixfJ7eNjs
What happened kwa ballistic zilizo tumwa mchana na Iran au zilikua fireworks 🎆🎇🎇
Mkuu upo sawa na ni ukweli ulio wazi US akiingilia hii vita military base zake zote zitafutwa middle East Aircraft carrier itapigwaUSA bado anaishi kwenye status, bado legacy inamsumbua...
Trump anawatishia Iran kwamba "The full strength and might of the U.S. Armed Forces will come down on you at levels never seen before,"
Huyu mzee ni mjinga..
Hivi dunia ya sasa nani utamtishia mikwara mbuzi kama hio, US ilishafeli vita sehemu nyingi tu historia inatuambia...
US ikijitia ujuaji kambi zake zinawashwa zote hapo middle East, hakuna mtu ataamini lakini mtakuja kuamini...
Trump anafikiri hivi sasa anaweza kuwakokota watu na cheap propaganda za early 2000sna late 1990s kushawishi nchi zaidi ya 40 kuivamia Iraq..
F-35 tatu zimepopolewa na Iran, aibu ilioje..
Trump anajitia kwamba US army ikiingia kwenye vita itaipiga Iran kwa siku tatu..
Hakuna aircraft carrier itashindwa kulengwa na Iran, hakuna base middle east itashindwa kufikiwa na hypersonic za Iran...
Hata sasa Iran anapambana na US, EU na Israel, sasa Trump anaposema US army ikiingia, iingie mara ngapi?
Nachotaka kusema ni kwamba vita si rahisi kama Trump anavyoaminisha watu, hii vita hata US akiingia na yeye atakuwa surprised tu.. hakuna cha US wala ushuzi wa US... hizo zama zilipita..
Sa hapo umelewa au unajitoa akili, aliye anzisha vita nani na pia lazima ufahamu jawabu la Iran hawasimamishi vita mpaa aliye anzisha vita ainue mikono.
Punguza mahaba unapoandika mahaba yamekuzid mpaka unaandika pumba
Endelea kubana makende utaumiaSa hapo umelewa au unajitoa akili, aliye anzisha vita nani na pia lazima ufahamu jawabu la Iran hawasimamishi vita mpaa aliye anzisha vita ainue mikono.
Unajua kusoma vizuri hao Iran hali mbaya apo wanaomba poo kwa Israel apunguze moto 🔥 🔥 akiacha nao wanatulia walitaka maongezi ya amani na rais cyphurus Israel ikawakataaSa hapo umelewa au unajitoa akili, aliye anzisha vita nani na pia lazima ufahamu jawabu la Iran hawasimamishi vita mpaa aliye anzisha vita ainue mikono.
Hapo juu si unamkosoa Ayatollah ili mtu abaki katika nafasi yake si lazima amsikilize yeye ata Rais wa Iran? Sasa niambie huyo Waziri wa Ulinzi wa Israel kilichokamtoa nini kama wakisikilizana na Netanyahu? Au Rabin aliuawa sababu gani hapo Israel?Najua sababu. Wewe unayojua ni ipi
Kweli?.....basi hii itakuwa mara ya kwanza kwa F-35 kuangushwa kwenye mission (kama ni kweli lakini).F-35 tatu zimepopolewa na Iran, aibu ilioje..
Nimejibu kwa hoja yangu ya majenerali kufa. Na kuleta ushahidi. Usinipangie cha kujibu kama mimi ni mume wako.Unazingua!! Nimekuuliza sababu ya American kuondoa majeshi Yake Vietnam wewe unaleta idadi ya majenerali ! Elewa Swali jibu kama ulivyoulizwa