SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Naomba unisadie Iran kapiga na nchi ngapi mpaka sasa na Israel kapigana na nchi ngapi mpaka sasa?
Wazee wa kutafuta sababu wakishindwa vita hawakosi visingizio!!

Ili na wewe upate faraja basi tufanye Israel inasaidiwa na nchi za Marekani,Ulaya na Afrika na Iran yeye anapigana peke yake. Naona hapo unafurahia sana sana!!!
 
#BREAKING Pakistan has closed its border with Iran
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu.
Anaongea ndoto ambayo ngumu kutimia.
Acha tuone wakina Netanyahu ni wehu hawashindwi kufanya jambo kama hilo.

Ila Iran sijui niseme ipo uchi ama imevurugika ama imeingilika vibaya mno na Mossad aloo Iran ina hitaji usafishwaji mkubwa hasa kwenye jeshi na vitengo vya usalama maana ina ingilika mno na Israel.

Pia Iran ina hitaji msimamo thabiti utakao eleweka wanataka mazungumzo ama wanataka Nyuklia japo mimi naona wanapaswa kuwa nazo kinyume na hapo kufikiri marekani na washirika wake wa magharibi wana mchekea atakuwa anakosea.

Usalama wa utawala wa kiimani wa Iran kwa sasa jukumu ni kuimarisha jeshi kwa vyovyote vile watakavyo weza na kwa silaha zote zile ambazo maadui zake wanazo na hata wasizo kuwa nazo sometimes namuelewa Kim na North Korea yake
 
Baada ya mashambulizi ya awali yaliyolenga safu ya juu ya uongozi wa kijeshi wa Iran — yakiwemo kuuawa kwa Mkuu wa Majeshi pamoja na wanasayansi wakuu wa mpango wa nyuklia — serikali ya Tehran imekuwa ikichukua hatua za tahadhari kwa kuhamisha baadhi ya viongozi waliobaki katika maeneo ya siri yenye ulinzi wa hali ya juu.

Katika mwendelezo wa mashambulizi yenye usahihi wa hali ya juu, vikosi vya Israel leo vimetekeleza oparesheni iliyolenga chumba maalum cha siri ndani ya jengo la Wizara ya Intelijensia, ambapo viongozi wawili waandamizi wa ujasusi wa Iran walikuwa wakijificha: Waziri wa Intelijensia, Brigedia Jenerali Mohammad Kazemi na Naibu wake, Jenerali Hassan Mohaqiq.

Hili linachukuliwa kama pigo jingine kubwa kwa mifumo ya ulinzi na ujasusi ya Iran, na linaashiria kuendelea kwa mkakati wa Israel wa kuondoa vipengele muhimu vya uwezo wa kiusalama na nyuklia wa Tehran, huku ikiepuka maangamizi makubwa ya raia au uharibifu mpana wa miundombinu.
 
Huyu mkuu wa Usalama wa Iran ni ng'ombe kabisa. Ni livivu na lijinga tena lilikuwa na msaidizi wake.

Hapa sasa ndio tunaona ubaya wa kutumia machawa kwenye nafasi nyeti. Sasa mkuu wa Intelligence wakati wa vita unakaa ofisini na msaidizi wako hujui hiyo ni legitimate target?

Mkuu huyohuyo ndio kashindwa kutambua mamluki wa Kiyahudi ndani ya Iran, kashindwa kulinda viongozi wa kinyuklia na kijeshi wanarundikana sehemu moja kama kumbikumbi.

Iran wanazidiwa na Hamas, bora maafisa wa Hamas walianzisha fujo wakajificha kwenye mahandaki na kwanza hawakuwa na ofisi rasmi kabla hata ya vita. Utawapata ila kwa mbinde bora wamejaribu wakaishiwa uwezo. Sasa hawa Iran unakuta ofisa anazurula kama mfugaji. Ina maana hawana fortified bunkers, bora uuliwe kwenye bunker tuseme Israel katumia bunker buster imezidi hardened reinforced concrete ya Iran ambayo ni one of the best in the world. Sasa mnakaa kwenye ofisi inajulikana kabisa ina bendera na mabango kisa ni Jumapili sio siku ya kazi.

Very useless chawa wa Ayatollah. Ukute kuna maofisa wanajua ila chawa kawekwa hapoView attachment 3370258
Huu ndio udhaifu wao, mossad imeigeuza Iran kama choo cha stendi ambapo tu yeyote anaweza kuingia, cha ajabu zaidi haya matukio yanajirudia na hakuna siku intelligence ya Iran wamefanikiwa kukamata hata mamluki mmoja wa mossad achilia mbali kuuvunja huo mtandao.
 
Ukiona vita inaanza viongozi wote wa jeshi ndio wanatangulia kuuliwa basi jua hata hao wadogo watafyekwa tu

Siku zote vita huwa ushindi ni morali na wakubwa namna wanavyoongoza wadogo kupambana sasa leo unaambiwa mkuu wa ujasusi wa Iran na Naibu wake wameuliwa katika jengo la ujasusi walilokuwepo leo

Yaani mnajua kwa nini Iran ni wajinga, huwezi kuwa upo vitani alafu watu wazito wanakaa sehemu zile zile maofisini mwoa wakati unajua mda wowote mnaweza kulengwa

Kitu nachokiona israel analenga watu wazito na sehem nzito kila siku anauwa watu wazito sana jeshini ila Iran anamwaga makombora pasio target ya muhim

Nimejiuliza kama watu wazito kwenye system ya iran wameuliwa kwa vifo vya kikatili je hao wanajeshi wadogo wana.hali gani
Ulifuatilia wakati vita vya Urusi na Ukraine vinaanza ? Target ya majeshi ya Ukraine kwa Urusi ilikuwa nini ? Na je walifanikiwa au wamefanikiwa kipi mpaka sasa kuwatoa Urusi katika nchi yao ?
 
Baada ya viongozi wengi wa majeshi ya Iran akiwemo mkuu wa jeshi pamoja na wanasansi wakuu wa Nuclear kuuawa, viongozi waliobaki wamekuwa wakitekeleza majukumu yao kwenye vyumba vya siri.

Siku ya leo Jeshi la Israel limefanikiwa kushambulia chumba cha siri walichojificha waziri wa intelejensia wa Iran na naibu wake.

Hawajalipua jengo zima, Target ilikuwa ni chumba walichojificha waziri wa Intelensia wa Iran na msaidizi wake
Naendelea kusema watakuwa wajinga sana kuingia ofisini kwenye vyumba vyao vya Siri kwenye mazingira ambayo wanawindwa.

Kwamba walishindwa kufanya kazi kutoka maeneo tofauti Hadi waende ofisini?

Kiufupi Israel itawamaliza maana inaonesha wanajua Kila kitu na Kila mahala.
 
Acha tuone wakina Netanyahu ni wehu hawashindwi kufanya jambo kama hilo.


Ila Iran sijui niseme ipo uchi ama imevurugika ama imeingilika vibaya mno na Mossad aloo Iran ina hitaji usafishwaji mkubwa hasa kwenye jeshi na vitengo vya usalama maana ina ingilika mno na Israel.

Pia Iran ina hitaji msimamo thabiti utakao eleweka wanataka mazungumzo ama wanataka Nyuklia jambo mimi naona wanapaswa kuwa nalo kinyume na hapo kufikiri marekani na washirika wake wa magharibi wana mchekea atakuwa anakosea.

Usalama wa utawala kiimani kwa sasa Iran ni kuimarisha jeshi kwa yoyote ile watakayo weza na kwa silaha zote zile ambazo maadui zake wanazo na hata wasizo kuwa nazo sometimes namuelewa Kim na North Korea yake
Iran alitegemea yale mazungumzo na Marekani kununua muda,Israel kamfanyia surprise.
 
Hii vita mkuu imeshaingiliwa na propaganda.
Walidai kuwa Foreign ministry ya Iran iliifuata Qatar kuomba mediation,Iran foreign minister akakanusha hiyo taarifa.
Propaganda zishakua nyingi kwenye hii vita.
Vita yoyote unayo ijua lazima inatumia propaganda mfano videos clips za ballistic missile za Iran tunazoziona kwenye media au ukubwa anao pewa Israel na mossad ni Propaganda

Propaganda ina deals na kuharibu au kutengeneza psychology ya watu kuhusu jambo frani

Propaganda zinatumika kutengeneza molari Kwa Askari huwez kupigana vita ukiwa na akili timamu inatakiwa tukutoe fyuzi kichwani ndio maana unaona watu wanashangilia vitoto vidogo vinauawawa Gaza na watu Wana shangilia

Check this hili ni gazeti enzi hizo inawatayalisha watu kwenda front kupiga joka jeusi nduli idd Amini
Screenshot_20250615-202422.png
 
Bado kwa Kiduku
Ni nani atamfunga paka kengele ?

Nitajie taifa moja tu lenye guts za kurusha makombora Pyongyang ?

Mind you kuishambulia North Korea ni kuishambulia China maana China ina mkataba na nchi moja tu duniani kuilinda pale ikivamiwa kijeshi sasa sijui ni nani huyo kichaa yupo tayari kupigana na China na North Korea kwa wakati mmoja kwa faida zipi pia hao wawili ni nuclear power countries
 
Bro mbona unapotosha?
Israel imegeuka Gaza totally.
Makao makuu ya IDF yamelipuliwa.
Oil refinery ya ndege vita imelipuliwa.
Hata mayor wa miji wanasadiki kuwa hawakuwahi kushambuliwa kama hivi.
Safari hii Israel imeumiza sana raia wake.
Israel imegeuka kuwa magaidi inatega mabomu kwenye magari huko Iran.
Ishashindwa Israel
Kunywa soda tukasikilize mawaidha!!!
 
Iran alitegemea yake mazungumzo na Marekani kununua muda,Israel kamfanyia surprise.
Kuna namna Iran ilirudisha imani kwa marekani rafiki wa kufa na kuzikana na Israel lilikuwa ni kosa.

Inapaswa pia kupiga marufuku vinu vyake kuchunguzwa kutoa uhuru kuchunguzwa hili ni kosa pia naona wanafanya maana mifumo ya kidunia haipo upande wao ila wao wana iamini.

Jambo lengine nalo ona siasa za Iran zimegawanyika kiasi fulani kati ya moderate na hard-core sidhani kama ni nzuri sana ndani ya serikali kuwe na mgawanyiko huo ukizingatia adui anaye mkabili atatumia udhaifu huo huo
 
Back
Top Bottom