ShukraniWeka alama ya @ kisha usiache space, ambatisha jina la mwenye uzi kwa kuanza herufi moja moja, Jamii Forum automatically watakuletea jina hilo! Kisha uta click hilo jina na kisha unakuwa umesham-tag unayetaka. Kisha iachie comment yako hewani!
Ukitaka ujue kama umefanikiwa kum-tag, jina lake litaonekana kwa rangi ya blue kwenye comment uliyoiachia hewani.
Mfano, nakutag wewe
gallow bird
Bro mbona unapotosha?Hii vita Nampa Israel point irani kapoteana ndani ya mda mfupi mno
Watu wameua viongozi bado wanasaidia wananchi wenu wanataka only soldier aisee nyie mnalipua ovya bado amuwapati....
It means israel angekuwa katili angeua hao raia wote....
Hujiulizi Kwa nn kila Taifa kubwa hata wale ally wake Russia na China hawataki Iran awe na nuke???Dunia imemuwekea vikwazo Iran kwa zaidi ya miaka 40 na kumuacha Israeli huru kwa zaidi ya hiyo hiyo miaka 40.
Mataifa makubwa yenye nguvu na ushawishi yanasema Israeli ana haki ya kujilinda wakati wakati huo yanawaachia wengine wafe, maana yake Jews ndio wenye haki ya kuwa huru.
Israeli karuhusiwa kuwa na nukes ilihali Iran hatakiwi kuwa nukes sababu ni Israeli ana haki ya kujilinda.
Dunia inapaswa kuwa fair kumaliza mgogoro wa mashariki ya kati, kumdekeza Israeli ni kuendeleza ule mgogoro pale Karne na Karne.
Muda si mrefu wataanza kurusha mabomu ya petroli, tupo hapa..Mshazidiwa tayari.
Israel imeshachakaa,na Iran inajiandaa kwa shambulizi zito zaidi.
Mshageuka magaidi mnatega mabomu kwenye magari.
Mshashindwa vita.
Scud za Saddam 1991, hypersonic halizuiliki mzee,uliliona la jana lililozima umeme mji mzima?Ningepata bahati yakukutana na watalaam wa makombora ya Iran ningewapa idea Moja na hata kuuza hiyo formula kwao.. hii nitafanya biashara na Iran tu..
Hii formula inatoa option ya hatari zaidi ikifanyika interception kwenye ballistic missiles.
Missiles inakuwa attached na several missiles as attachments Incase of any interception to neutralize, the attachments leave the mother and separate to different uncontrolled direction to a certain radius na kuhit hata civilian targets..
Kwa hiyo unakuwa na option kuliacha likapige target au uintercept liende likaue raia wako.
KaribuShukrani
Israel wamelipua bwawa na mabomba ya majitaka kupitia mabomu ya kutegwa,maji yanatiririka mitaani,ila udhibiti unaendelea, wayahudi wameishiwaMuda si mrefu wataanza kurusha mabomu ya petroli, tupo hapa..
Trump na USA hawaaminiki tena. Walimwingiza chaka mzee putin kwa kuandaa mazungumzo ya amani. Russia ikashambuliwa kwa drone na kusababisha hasra kubwa ya ndege kama 40.US President Donald Trump has said Iran and Israel will have peace “soon”.
“Iran and Israel should make a deal, and will make a deal,” Trump said in a post on his Truth Social app.
Leo nimeandaa gomba ili nishuhudie ayatollaah atakavyoisasambua tena Israelhahaha et apewe pisi apige achangamshe damu hahaha
Ayatollah yeye zake ni usiku, mchana kwenye mwanga wa mungu hataki anakujia usiku wa manane maana jana kwenye huu uzi katulaza saa 9
Wasiotaka nuclear kwa Iran ni magharibi tuHujiulizi Kwa nn kila Taifa kubwa hata wale allys wake Russia na China hawataki Iran awe na nuke???
Hivi barabarani kichwa akiwa anatembea na panga mkononi mtamuacha Tu???
Kichaa mmoja analo na unaona anavyo tishia kubonyeza batani kila siku(north Korea)
Russia na Ukraine wanazichapa for almost 2yrs now lakn hakuna hata mmoja anae taka kubonyeza batani ila nauhakika ingekua ni Iran vs Israel batani za nuke zingesha bonyezwa kitambo Sana
Hali inaendaje huko?
Ndiyo maana kamwachia urusiTrump na USA hawaaminiki tena. Walimwingiza chaka mzee putin kwa kuandaa mazungumzo ya amani. Russia ikashambuliwa kwa drone na kusababisha hasra kubwa ya ndege kama 40.
Wamemwingiza tena chaka Iran. Mazungumzo ya Nuc, israel wanaishambulia iran.
Hawezi kuaminiwa tena.