SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ndani ya Iran wamo wayahudi ambao wamekaa kwa muda mrefu sana.

Kimuonekano hawana tofauti na Wairan wenyewe.

Hivyo, wanatumiwa hao hao!
Nafikiri baada ya hapa hiyo Jamie itapitia kipindi kigumu sana. Wale washilazi watu wa visasi na malipozi hata baada ya miaka buku. Same na kile kisa Cha rubani mkristo Iraq air force aliye toroshea mig21 israel
 
Hii technology anayoitumia Israel naanza kuifanyia research...naweza toboa
 
US President Donald Trump has said Iran and Israel will have peace “soon”.

“Iran and Israel should make a deal, and will make a deal,” Trump said in a post on his Truth Social app.
 
Jamani kwa hakika Ukubwa wa eneo au wingi wa Watu siyo kigezo cha kuwa na nguvu kiakili, maarifa na kimisuli

Kwa sasa nchi ndogo ya Israel inawashughulikia kwa kipigo Hezbollah, Hamas, Yemen na baba yao Iran

Ahsanteni sana
Israel ni nchi dogo kwa jina tu.
 
Iran ilikamata wahindi 72 wakiitumikia mossad ndani ya Iran (drones)
Yeah uzuri kwenye matukio kama hayo ukikamata mmoja inakua vyepesi kuubaini mtandao.

Ndio maana Pakistan inaiunga mkono Iran Kuna uwezekano wa kuvuna taarifa zenye maslahi pande zote.

Pia wahindi wajiandae kuishi kwa taabumaana Iran inajulikana kwa ushawishi kutengeneza proxy
 
Nafikiri baada ya hapa hiyo Jamie itapitia kipindi kigumu sana. Wale washilazi watu wa visasi na malipozi hata baada ya miaka buku. Same na kile kisa Cha rubani mkristo Iraq air force aliye toroshea mig21 israel
Huu mtanange wayahudi wameshadhohofishwa.

Kuna video nimetumiwa link muda huu makombora yalivyochakaza Israel.

Ila kui download siwezi.
 
Uzuri ayatollah ana rudisha kipimo sawa na wanacho jitekenya.




Sema Kuna usaliti ndani ya Iran explosive zilizo ingiaa zinaonyesha dalili ya ushiriki wa vyombo au maofisa wa ndani. Muda utasema.

Angani wamesha shindwa na inaelekea kutaanza kuwekwa vizuizi vya ukaguzi, na msako mkali
Yeah,kuna kiongozi wa juu walimdaka akisaidiana na mossad
 
Back
Top Bottom