HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Wanavizia usikuVipi uko Tel Aviv hapajaanza kuwaka tu
Wanavizia usikuVipi uko Tel Aviv hapajaanza kuwaka tu
Hali inatisha Israel, hio sehemu inasemekana ni ngumu sana kulengwa na inalindwa, sijajua kwanini itakuwa kuna officials wanaishi hapo, Iran kwa ushenzi imewaonyesha hakuna mkate mgumu mbele ya chai..We broo hapo sio bakhmut kweli hapo?.
Hee siku mbili tu hivyo je baada ya mwezi
Ule uchebe wa ayatoulah unafaa kama mbolea kwenye kilimo cha matikiti, nipewe nimeuwahiKuna mtu amesha order kanzu na mwingine kitambaa cha bwana mkubwa.
Hii vita italeta balaa kubwa sana...wayahudi wameianzisha makusudi ili kufanya kitu kimoja tu.....
Jina la kifurushi ni bila kikomoVipi uko Tel Aviv hapajaanza kuwaka tu
Inapendeza sana... Kombora linakua limezungukwa na misukuleMakombora ya Iran wachambuzi wanasema yana decoy, kombora linakuwa na msafara wa kombora la bandia, yanafanana muonekano, uzito na mwendo..
Hizo picha tunazoona hayo makombora yanapita angani kama unaona yote yanaenda kwenye target moja ujue yote si makombora , huwa yana msafara kama rais, decoy zinakuwa mbele, air defense inalenga decoy halafu lenyewe linatua..
Hizi decoy hazina mlipuko, ndio maana air defense za Israel, USA, EU na maaifa ya kiarabu kwa pamoja wanashindwa kuyazuia.. ukiachilia yanasafiri katika msafara na decoy, hayomadude ni ballistic, yanaweza ku maneuver.. kwa kasi ya ajabu..
Hivyo hizo picha unaona kama AIr defense zinazuia makombora ya Iran , ni decoy zinalengwa...
Ndio maana wayahudi toka Namtumbo wanasema Iran missiles zake ziakuwa intercepted, aisee, ku intercept makombora ya Iran ni kazi.. chuma moja linatembea na decoys kama 10, halafu decoy zina kiherehere zipo mbele...
Israel bado haijaona maajabu..
Kwa ugaidi Israel inatisha maana Ina wadondosha wapinzani sio mchezo.Wanasayansi 14 wanahofiwa kuuawa ndani ya Iran
We shetani unapata wapi hisia wakatihuu upo kwenye handakiNa ujue yalitumwa 50,
Pia mjitahidi kuleta data toka kwenye source official mwishowe mtakujaga tuletea video za John sin
Na kama ni mafuta BASI tatizo ni mzungu akiongozwa na marekani Kwa sasa.Shida kubwa ni mafuta!
Shida kubwa ni mafuta!
Shida kubwa ni mafuta!
Kuna sababu nyingi (za kihistoria, kidini, kitamaduni, kijamii, kisiasa, kijiografia) lakini zote ukizichimbua kwa undani, nyingi zitakufikisha kwenye mafuta (uchumi)🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
Kwenye anga gani?Israel kapagawa huko anarusha sana vifaa hizo ndege miruko yake haijawahi tokea
Mbona unatangazz taarifa nusu nusu?Wanasayansi 14 wanahofiwa kuuawa ndani ya Iran
Zipo mbona, saivi zishamishia makazi Iran maana hakuna mfumo wa kuzitunguaKwa ugaidi Israel inatisha maana Ina wadondosha wapinzani sio mchezo.
Ila vipi jesricho na grid bomb?. Vipi Elfu 15/6 na 35 sizi sikii zikielea Tehran
Huyo jamaa ni tapeli wa taarifa.Kwenye anga gani?
Mbona aliyepagawa zaid ni IranIsrael kapagawa huko anarusha sana vifaa hizo ndege miruko yake haijawahi tokea
Kwenye anga ganiIsrael kapagawa huko anarusha sana vifaa hizo ndege miruko yake haijawahi tokea
Kombora linatembea na chawa wake 😂 😂 😂 😂Inapendeza sana... Kombora linakua limezungukwa na misukule