SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

bado napata shida na ubora wa Israeli ninapoanza kuona mataifa makubwa yanapoanza kujisogeza kumsaidia.
Uwezo wake tunaoambiwa tunashindwa kuuona sasa ilihali Iran ameishi na vikwazo vikali toka miaka ya 1970 huko.

Waarabu wanapaswa sasa kuacha unafiki na kusimamia kitu kimoja ili hawa jamaa waache kuharibu mataifa yao kwa kulazimisha wanachokiamini.
Iraq, Libya, Syria, Lebanon nk zimeharibiwa sana na kuachwa taabani na hakuna amani tena ilihali huko kwao hawa jamaa wanaishi kwa utulivu na kuendelea.
Israel hana uwezo wowote ...ni uongo mtupu
 
Africa ni nchi chache sana zinaogopeka hasa SOUTH AFRICA,TUNISIA,na Egypt.
Bongo kufika huko labda miaka 3000 ijayo,wenzetu watakuwa wamehama dunia hii!
Elimu yetu haituwezeshi sisi kufika huko mkuu!
Tanzania twaweza kabisa kufikia hapo hata leo tukiamua.

Bajeti ya Ulinzi ni muhimu ikaangaliwa kwa weledi na utaalam na si kwa kutumia darubini.
 
Makombora ya Iran wachambuzi wanasema yana decoy, kombora linakuwa na msafara wa kombora la bandia, yanafanana muonekano, uzito na mwendo..

Hizo picha tunazoona hayo makombora yanapita angani kama unaona yote yanaenda kwenye target moja ujue yote si makombora , huwa yana msafara kama rais, decoy zinakuwa mbele, air defense inalenga decoy halafu lenyewe linatua..

Hizi decoy hazina mlipuko, ndio maana air defense za Israel, USA, EU na maaifa ya kiarabu kwa pamoja wanashindwa kuyazuia.. ukiachilia yanasafiri katika msafara na decoy, hayomadude ni ballistic, yanaweza ku maneuver.. kwa kasi ya ajabu..

Hivyo hizo picha unaona kama AIr defense zinazuia makombora ya Iran , ni decoy zinalengwa...
Ndio maana wayahudi toka Namtumbo wanasema Iran missiles zake ziakuwa intercepted, aisee, ku intercept makombora ya Iran ni kazi.. chuma moja linatembea na decoys kama 10, halafu decoy zina kiherehere zipo mbele...

Israel bado haijaona maajabu..
 
Safari hii wataona kilicho mtoa nyani gilabu
 
Lizee hili Halina akili kabisa unalisifia bure kabisa!!! Hebu sikiliza UHARO linaoutoa!!! Bora waliue tu likapate wale mabikira 72 na sijui kama litaweza hata bikira mmoja!!
Mzee mstaarabu sana huyu, Mungu amtunze, hadi kuona anazungumza hayo ujue amekasirika, lakini naamini huyu mzee akifariki, Iran kuna vichaa ambao hamtpenda watakachofanya..
 
Israel ameingia cha kike mwaka huu *****🤣🤣🤣🤣
ira.jpg
is.jpg
 
Israel anafanya vizuri sana, ni wazi ilikuwa inajulikana Iran ana missiles nyingi na hata US kuna wakati aliingia woga. Huwezi kuua top cream ya jeshi, wanasayansi na kushambulia vinu vya nuclear afu utarajie majibu mepesi. Israel wamalizie vinu vilivyobaki vya nuclear afu waanze ku de escalate.
Yes hii ndio pointi Israel akishagusa makamanda na vinu pamoja vistol vyao maana air defence ashagusa zote anaomba amani kama alivyo wafanya hezboallah
 
Tanzania twaweza kabisa kufikia hapo hata leo tukiamua.

Bajeti ya Ulinzi ni muhimu ikaangaliwa kwa weledi na utaalam na si kwa kutumia darubini.

Kwa elimu yetu hii na namna tunavyoajili wataalamu wetu,Tanzania itatuchukua miaka mingi sana kuwa kama hao jamaa,hayo mataifa yana kiwango cha juu kabisa cha uzalendo kwa nchi zao
 
Kwahiyo Iran anasaidiwa na Hamas, Yemen, wahuni hapo Syria na Hizbollah.

Huku Israeli ikisaidiwa na USA, UK, France na Germany.
Iran inasaidiwa kwa kuishambulia Israel, mfano Yemen imerusha Makombora ya Masafa marefu inchini Israel.
While Frank na Uk inamsaidia Israel kupunguza makombora yanayo toka Iran.
 
Kwa elimu yetu hii na namna tunavyoajili wataalamu wetu,Tanzania itatuchukua miaka mingi sana kuwa kama hao jamaa,hayo mataifa yana kiwango cha juu kabisa cha uzalendo kwa nchi zao
Wataalam wapo lakini kwa yale yanotokea nchini Tanzania kwa sasa yakatisha tamaa sana.

Huku nje wataalam wapo wachache lakini ni kazi ya Idara kutafuta wataalam hao na kuwatumia kiuweledi.

Kwa mfano Tanzania tuna chuo kimoja tu cha masuala ya Ulinzi na Usalama lakini Marekani hapa nilipo vyuo karibu vyote vyatoa shahada ya kwanza na ya uzamili katika masuala ya ujasusi, ulinzi na usalama na leo hii kuna shahada nyingi za cyber security, AI na nyinginezo kama hizo lakini sisi vyuo vyetu vingi ni shahada nyingi zisizo na tija kwa sasa kwani idadi ya walosoma kozi hizo wengi wapo mitaani.
 
Back
Top Bottom