SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hellow Papaa golf
This is tango Victoria redio check up over

This is tango Victoria redio check up over

This is tango Victoria redio check up over


Hellow Vicky Robinson this is papaa golf report over

Rogger
The sneck is rising his head and now already knock some of my goat, Sheffield and some of our ducks. We need coverage our kinyampasila we gonna lost. Do you copy over

Copy and clear. Wait for our assistance immediately. Over and out
 

Attachments

  • Facebook_1749928310429(720p).mp4
    1.8 MB
Yes hii ndio pointi Israel akishagusa makamanda na vinu pamoja vistol vyao maana air defence ashagusa zote anaomba amani kama alivyo wafanya hezboallah
Vinu vya nuclear vipo salama. Iran ilikuwa inajenga vinu vya aina mbili vya juu na chini, kama Natanz walikuwa na kinu, juu wamejenga kama kinu cha kawaida ambacho hata jamii za kimataifa wakitaka kufanya ukaguzi wanafika, yaani waliweka kama gheresha kuonyesha projects zao za nuclear ni kwa matumizi ya kiraia..

Lakini huko underground ndipo kuna vitu vinapikwa..

Vinu vya Iran vipo salama na wamesema urutubishaji unaendelea kama kawaida..
 
Hao jamaa hata ukisoma historia ya dini sio wanyonge kabisa.

Ni watabe sana wa vita.

Kwenye vita vya Khandak Salman al farsi(muirani)alimpa mbinu mtume ya kuchimba mahandaki kwa ajiri ya kujilinda na makureishi mbinu amabyo mtume na waislamu hawakuitambua kabla.

Kwahiyo waajemi ni watu wa vita pia akili zipo sio kama warabu.



Allah amridhie Swahaba mtukufu Salman Al Farsi na Maswahaba wengine wote wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake). Maswahaba walitoa Mali zao na nafsi zao kupigania Dini hii tukufu; waarabu na wasio waarabu.

Wote walitoa mchango wao katika kuipigania Dini ya Allah.

Swahaba mtukufu Hubaab Ibn Mundhir alitoa ushauri wenye umuhimu mkubwa kistratejia katika vita vya Badr.

Hatusahau Ushujaa wa Maswahaba watukufu kama Abu Bakr as-Siddeeq, 'Umar ibn Khattab al Farooq, 'Uthmaan ibn 'Affan Dhun-Nuurayn, 'Ali ibn Abi Talib al-Haydar, Hamza ibn 'Abdul Muttalib, Zubayr Ibn 'Awwam, Khalid Ibn Walid, Usama Bin Zayd, Amr Ibn Al 'As, Mu'awiya Ibn Abi Sufyan, Ikrima Ibn Abi Jahl, Wahshy Ibn Harb (Abu Dusmah), na wengine wengi mno ambao waliipigania Dini hii tukufu, Allah awaridhie wote.

Maswahaba; Waarabu kwa wasio Waarabu. Wote waliipigania Dini ya Allah na Allah akawanusuru na akawapa utukufu na nguvu.


Na ni Allah ndiye Aliwanusuru Maswahaba, baada ya wao kuinusuru Dini yake (kwa kusimama sawa sawa katika Dini wakasimamisha Tawheed katika maisha yao na kumfuata Mtume wake), naye Allah akawapa nguvu dhidi ya adui zake na adui zao. Wakawashinda adui.

Sio kwa sababu ya akili zao peke yake au wingi wao.


Sisi tuko wengi zaidi (karibu bilioni 2), lakini tumeshindwa kuwatoa watu wasiozidi milioni 10 katika ardhi tukufu (Palestine). Sio kwa sababu ni wajinga sana au hatuna ushujaa wowote au hatuna akili kabisa, ni kwa sababu ya udhaifu wetu katika Dini (collectively). Tumekuwa kama mapovu na uchafu unaosukumwa na mafuriko, Allahul Musta'aan!

Salaf wetu (Maswahaba) walikuwa na Imani kubwa na walisimama madhubuti katika Dini na Allah akawapa nguvu na ushindi licha ya uchache wao, wakawaangusha maadui zao katika washirikina wa kiquraish na wengineo katika washirikina wa kiarabu, ,mayahudi (Banu Nadhir, Banu Qaynuqa, Banu Quraydha na wengineo), warumi (Byzantine Empire) na majusi waabudu moto katika waajemi/persians (Sassanid Empire) waliangushwa.


Na vizazi vilivyokuja katika Waislam, jamii tofauti waliipigania Dini hii na Allah aliwapa nusra yake, waarabu (Umayyad Empire, Abbasid, Umayyad wa Hispania), Waturuki (Seljuk, Ottoman na kadhalika), wahindi/waajemi waliochanganyika na wamongolia (Mughals), wazungu (Mamluks), weusi (Songhai na Mali Empire na kadhalika), Berbers wa Afrika kaskazini (akina Murabituun/al Moravids, Muwahhiduun/Al Mohads), mashujaa kama Tariq Ibn Ziyad (M berber), Salahuddin (Mkurdi), Nur Din Zangi (Turkoman wa dola ya Seljuk), Alp Arslan (Mturuki wa Seljuk Empire), Baybars (Mzungu wa Mamluk Empire), Muhammad al Fatih (Mturuki wa Ottoman Empire), Aurangzeb (Wa Dola ya Mughal), Uthman Dan Fodio (Muafrika Mweusi wa Dola ya Sokoto) na wengine wengi mno.


Ila Maswahaba ndio watu bora zaidi katika Ummah huu (Allah awaridhie) baada ya Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake).

Allah auunganishe Ummah katika Tawheed na Sunnah. Allah aupe nguvu Ummah. Allah aupe nguvu Uislam na awape nguvu Waislam, na audhalilishe ushirikina na washirikina, Aamiin.
 
Hellow Papaa golf
This is tango Victoria redio check up over

This is tango Victoria redio check up over

This is tango Victoria redio check up over


Hellow Vicky Robinson this is papaa golf report over

Rogger
The sneck is rising his head and now already knock some of my goat, Sheffield and some of our ducks. We need coverage our kinyampasila we gonna lost. Do you copy over

Copy and clear. Wait for our assistance immediately. Over and out
Hii inaonekana mchana, Israel si tupo nao timezone moja, ina maana huu mchana bado wanashambuliwa?
 
AP25166211242031-1749981613.jpg

Gaza, sorry hapa ni Israel..
 
Hii inaonekana mchana, Israel si tupo nao timezone moja, ina maana huu mchana bado wanashambuliwa?
Ayatollah Katia mchanga kwenye ubwabwa. Marubani hawataki kusogekea anga ya Iran wanasema huenda ukiisogelea hiyo anga ndege Zina taarifu welcome to the hell please send to your family last word dear gay





Ya Jana jioni
 
Mbona mlitudanganya huyu mtu amekimbia nchi?
 

Attachments

  • 1749986226079.jpg
    1749986226079.jpg
    391.1 KB · Views: 21
Wakuu yahudi anamwaga mvua muda huu tehran

Karibu na ikulu

Km hawajamuhamisha ayatollah mtaa sidhan atabam hai moja ya nyumba zake zipo hapo
 
Kutana na sura ya MAJUTO.
Mamaeeee!!!
Usicheze na Muajemi.

Wamemuita kusaidiana kupekua vifusi.

View attachment 3369632
Hapo Putin kumwambia tafuta namna umalize hiyo ishu huyo mwamba ana mzigo Hadi sisi hatuelewi dhamira yake. Siunaona wale mashahidi alio tupa yaani katupa Bure kabisa anasema Hana pa kuziweka
 
Wayahudi wataelewa kwa nini Netapaka alikimbia tangu juzi na watoto wake wanaishi Miami, Marekani​
😆😆😆😆
Kula chuma icho hivi uongo waga mnajifunzia wapi

Acha kufanya vitu kwa hisia itakusaidi kua mwanaume maana mnafanya Mambo kwa emotional kama wana wake
Screenshot_20250615-141648.png


Mwamba huyo apo muda huu
 
Back
Top Bottom