SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ila mlitudanganya amekimbia nchi
Nenda flight radar uone ndege yake inasomeka wapi. Hiyo sura inakupa ujumbe gani? Unadhani alikua wapi muda wote huo? Na kwa sasa Yuko wapi? Mbona kapoteza nuru? Mbona hajitapi? Nini kimemkuta? Ni ukweli gani kagundua?.

Je! Ataweza kumalizia alilo lianzisha? Unafikiri Pakistan anavyosema atajiunga navita wengine wakijiunga kwakwe. Vipi hapo mbele unaona kinacho kuja kutokea vipi kuhusiana na kikao Cha waziri mkuu wa Iraq na shi'aa labels?

Vipi hizbullah.

Vipi ni kweli mtawaweza waajemi au mnataka mtangaze operation rising lion imefanikiwa kuwapoza watu wenu.
Mbaya zaidi Mme ifanya Iran sasa ianze kuishi kama nyingi muda wote watu wawe tayali kwa vita. Mifumo itakua on muda wote
 
Kuna taarifa huko inasema Trump kawataka wote Israel na Iran wasitishe vita.

Huyu Mzee jana kaongea taarifa nyengine na leo anaongea nyengine.
Trump aliyesema excellent 😂😂, huyo ni worse kuliko Netanyahu na nina uhakika ndio anaongeza kuni
 
Ila mlitudanganya amekimbia nchi
Screenshot_2025-06-15-14-27-22-14_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg


Siku nyingine jiongeze, ungekuwa karibu ningekupa konzi la kisogo kushtua hiyo medulla yako.
 
Wale jamaa waliofanya ulipuzi nchini Tehran kwa kutumia gari lenye drone, inasemekana strategy waliotumia zote ni sawa na wale waliolipua strategic bombers za Russia, hapa mnafiki tumemfahamu.. huyu ni US bila shaka..
Hapo lazima SVR na GRU na wenzao wa Iran wakae chini wategue hicho kitendawili. Hii game ndio imaanza sasa tunalhdi zama za cold war allies wote wanqkaa standby kwa lolote.

Kuna namna India imehusika katila hili pia Us na Uk. Muda utasema
 
Maajabu ya wa shia wa kimbiji Wana shangilia magorofa kuporomoshwa wakati kwao uko vituo vya kijeshi,
Vinu vya nyuklia
Vituo vya Gas
Vituo vya mafuta ghafi
Nk nk zaidi ya target 720
Vifo 100+
Majeruhi 250+
Mna jifariji kuangushwa kwa magorofa + vifo 10
Mko na shida kwenye mbongo zenu kwa kweli
 
Kaona aibu, wananchi wamechukia, ameingia kimya kimya, haiwezekani unaanzisha vurugu halfu unakimbia nchi.. hapo alipo hayupo sawa..
Hahaha achaneni na speculation za kijinga kitu hukijui unakaza fuvu as if we ni bodyguard wake mlikua kwenye flight wote
 
Maajabu ya wa shia wa kimbiji Wana shangilia magorofa kuporomoshwa wakati kwao uko vituo vya kijeshi,
Vinu vya nyuklia
Vituo vya Gas
Vituo vya mafuta ghafi
Nk nk zaidi ya target 720
Vifo 100+
Majeruhi 250+
Mna jifariji kuangushwa kwa magorofa + vifo 10
Mko na shida kwenye mbongo zenu kwa kweli
Inachekesha sana kwa Mtu unae jua vita na geopolitics ipo wazi Nani kashinda vita mpaka muda huu
 
Back
Top Bottom