100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Inatisha sana, imagine waliokuwepo eneo la tukio..Pale kwenye kushuka nimekubali maana yalikua yanashuka kwa kasi mno
Inatisha sana, imagine waliokuwepo eneo la tukio..Pale kwenye kushuka nimekubali maana yalikua yanashuka kwa kasi mno
Hahahaha Bro umeuliza swali la kizembe SanaJana na juzi alikuwa wapi?
Mchicha Pori Embu tulia kwanza leta evidence inayo onyesha military infrastructure iliyo lengwa?Acha ujinga..
Iran haitaki kuua raia, ikitaka inawezekana..
Iran inalenga infrastructure, sehemu za kimkakati, vituo vya kijeshi, maghala ya silaha n.k.. ukiona raia wamekufa ujue haikupangwa..
Iran wameiomba na Cyprus pia ijaribu kuongea na Israel wasitishe mashambulizi. Kumbuka Israel wameondoa ndege zao karibu zote pale Ben Gurion airport wamezipeleka Cyprus na mataifa mengine ya ulaya kwa usalamaLeo majira ya saa 4 za asubuhi, Jeshi la Israel limeamuru raia wa Iran wanaoishi karibu na vituo vyovyote vya zana za kijeshi kuhama, kama moto haujashuka.
Wakati huo huo Iran imeanza jitahada za kuomba cease fire.
View attachment 3369555
HEeeee aangalie muvi tena😂😂Hahahaha Bro umeuliza swali la kizembe Sana
Bro Mtu alikua anaongoza mission zote ndani ya situation Room na kabineti yote ya ulinzi na usalama au unazani hao ma pilot waga wanajichukulia fighter jet na kupaa angani bila top officials kutoa green light tena kwa mission ngumu na kubwa kwenda kumshambulia nuclear facilities za nchi kama Iran yenye ulinzi wa anga???
Au tufanye alikimbilia Gaza maana kwenyewe kulikua salama zaid kuliko Tel Aviv
Out of point but itakusaidia check movie ya Top gun maverick itakusaidia kuokota mawili matatu japo ni maigizo
Hahaha Yaap atajifunza kituHEeeee aangalie muvi tena😂😂
Vyombo vya dola vya Israel vinapiga marufuku na kukamata waandishi wanaopiga picha kuonyesha damage hasa kwenye military bases, lakini tutaona hapo mbele..Mchicha Pori Embu tulia kwanza leta evidence inayo onyesha military infrastructure iliyo lengwa?
Acha tantalila Mzee kichapo mlicho tembezewa safari hii mtahitaji miaka 15 mbele kuweza kurejesha infrastructure zote zilizo chapwa kipindi ikiVyombo vya dola vya Israel vinapiga marufuku na kukamata waandishi wanaopiga picha kuonyesha damage hasa kwenye military bases, lakini tutaona hapo mbele..
Aljazeera wamefukuzwa sasa hivi wana report kutokea Jordan, hata raia wanopiga picha za uharibifu haswa maeneo kimkakati wanatafutwa na polisi na kukamatwa..
Kutesa kwa zamu!Kuna vichekesho vingi. Wenzako wanapigwa huko muda huu
Bro mbona Al Jazeera ishafukuzwa tangu mwaka juzi baada ya kua biased kila habari wako upande mmoja wa Hamas wakatimuliwa kwamba ndio umejua leo????Vyombo vya dola vya Israel vinapiga marufuku na kukamata waandishi wanaopiga picha kuonyesha damage hasa kwenye military bases, lakini tutaona hapo mbele..
Aljazeera wamefukuzwa sasa hivi wana report kutokea Jordan, hata raia wanopiga picha za uharibifu haswa maeneo kimkakati wanatafutwa na polisi na kukamatwa..
Na hata wakiona hawatosadiki.Ndio nilikuwa nawaambia wazayuni kutoka Bunda na Maswa kwamba hawajaona missiles mpya..
Sio kwamba wana report habari za upande mmoja..Bro mbona Al Jazeera ishafukuzwa tangu mwaka juzi baada ya kua biased kila habari wako upande mmoja wa Hamas wakatimuliwa kwamba ndio umejua leo????
Una ubishani wa kifala ambao hauna hata maana.Acha tantalila Mzee kichapo mlicho tembezewa safari hii mtahitaji miaka 15 mbele kuweza kurejesha infrastructure zote zilizo chapwa kipindi iki