Salamaleko shee tulikubaliana mwamba muda huu amejifungia ndani uko ugirikiDuuuuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3369646
Acha ujinga..Maajabu ya wa shia wa kimbiji Wana shangilia magorofa kuporomoshwa wakati kwao uko vituo vya kijeshi,
Vinu vya nyuklia
Vituo vya Gas
Vituo vya mafuta ghafi
Nk nk zaidi ya target 720
Vifo 100+
Majeruhi 250+
Mna jifariji kuangushwa kwa magorofa + vifo 10
Mko na shida kwenye mbongo zenu kwa kweli
Uangalie bajeti ya ulinzi wakati karibu nusu ya watu wako wanaishi chini ya dola moja kwa siku na shule nyingi hata hazina vyoo watoto wanajisaidia hovyo porini.Tanzania twaweza kabisa kufikia hapo hata leo tukiamua.
Bajeti ya Ulinzi ni muhimu ikaangaliwa kwa weledi na utaalam na si kwa kutumia darubini.
Tupo live muda huu Iran keshaanza kazi.
Huu uzi utakua na updates za kila kinachoendelea muda huu.
Update:Makombora ya Iran yameanza kutua
#BREAKING
[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]
Channel 10 Hebrew:
Pakistan informed America that any nuclear attack on Iran would be met with a Pakistani nuclear attack on Israel.
Pakistan informed France and America that if any country intervenes directly in the war against Iran and Israel, the Pakistani army will enter the war with Iran against Israel.
Update:
#BREAKING
Direct hits on refineries/facilities in Haifa. Fires break out following strikes.
BREAKING: IRAN MAJOR SUCCESS IN ISRAEL BOMBING
This is the largest and most successful Iranian missile operation on Israel
✅ Great success for the Iranian missile strike on economic facilities in occupied Haifa
✅ Iranian missiles defeat Israeli air defenses
✅ Iran uses hundreds of military bases in various cities and provinces
Haifa's most important chemical and petrochemical plants:
✅ Bazan Group
✅ The largest oil refinery in Israel, with a refining capacity of approximately 9.8 million tons per year, and includes subsidiaries such as Carmel Olefins and Gadiv Petrochemical.
UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.
Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa
UPDATES⚡⚡
#BREAKING
The head of the Shin Bet has resigned.
UPDATES:⚡⚡⚡⚡⚡
WIMBI LA PILI LA MAKOMBORA LINATARAJIWA DAKIKA CHACHE TENA NOW
⚡️ Hebrew media: The second wave of ballistic missiles has been launched from Iran and we will witness early warning sirens within 15 minutes.??
UPDATES:Wimbi la pili la makombora ya Iran limeanza kuwasili.
⚡️At least 4 buildings hit by Iranian missiles in Tel Aviv, at least 15 casualties
UPDATE:
View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1934039364566241286?t=a2y0BTLONIXuSj4VHe_Z-w&s=19
UPDATE: hadi sasa Vifo ni vingi sana kwa upande wa Israel uharibifu ni mkubwa sana na itaichukua Israel muda mrefu kidogo kuweza kurudi kama zamani
UPDATES:
⚡️‼️🚨🇮🇷 BREAKING: Iran has officially established Air Superiority over Tel Aviv and northern Israel.
All Iranian air assets operate freely over the country.
Kwa Israel ilivyozoeleka hakuna mtu ataamini Israel imepigwa hivyo..Asa gaza pako hivyo, kule taifa teule lishapafanya vifusi vitupu
Tayari umeshalainishwaAcha kunidhalilisha mimi nipo naangalia kichapo anachokipata mfadhili mkuu wa magaidi duniani!! Kwa kweli wanavyopigwa mpaka Iran hawaamini kinachowapata. Makamanda wao wakuu zaidi ya 30 wameuwawa kijinga sana!!
😁😅😂🤣😀shule nyingi hata hazina vyoo watoto wanajisaidia hovyo porini.
Usiangile sura za wapakistan, angalia uwezo wao, nchi ikiweza kumiliki silaha za nuclear sio ya kubeza, ww hufahamu chochote, hiyo nchi ishapigana vita miaka nenda miaka rudi tofauti na hao mayahudi wanaoomba msaada wa silaha siku zote toka USPakistani maponjoro tupu, tokea lini maponjoro wanajua vita, hata historia hujui, wale sio wanapigana, bali wanatishiana tishiana tu na kurusha vikombora but akili hakuna wala hawana latest modern tech ya vifaa na vita, najua huamini hili, fuatilia historia, vile vibomu vyao au kupigiana kelele na India isikutishe, ukitaka kujua vita angalia Russia, USA, Israel, hao ndio watu wa vita haswa.. Nchi zingine ni kelele kelele tu..!!
Usiangile sura za wapakistan, angalia uwezo wao, nchi ikiweza kumiliki silaha za nuclear sio ya kubeza, ww hufahamu chochote, hiyo nchi ishapigana vita miaka nenda miaka rudi tofauti na hao mayahudi wanaoomba msaada wa silaha siku zote toka US
Kwa mfano mayhudi mashambulizi waliyofanya Iran juzi sasa wanahitaji msaada mwengine kuendelea na vita na Iran
Nasikia kuna kishindo kikubwa huko Tehran, ila tunasubiri taarifa zaidi🤣🤣🤣🤣🤣 Mta nena kwa lugha soon
Pale kwenye kushuka nimekubali maana yalikua yanashuka kwa kasi mnoYale makombora ya Iran wachambuzi wanasema yana shockwave ya juu sana kuweza kupasua masikio kama upo karibu.. kuvunjamilango au madirisha, pia yanaweza kusababisha uharibifu wa viungo vya ndani hata kama vipande vya kombora havijakugusa..
Tumeona wengi kasi yake linapokwenda kupiga chini ile velocity linavyoshuka likipiga chini unajisaidia pasipo kujua..
Kuna nyumba zimeharibika kwa sababu tu ya blast overpressure.. yaani nyumba haiguswi lakini inaachia nyufa..
Kuna watu Israel wamepata maumivu ya kichwa, wengine wanapoteza fahamu, wengine hadi asubuhi hii wanahisi kizunguzungu mtu anayumba kama amekunywa ulanzi..
Kuna ambao walipata mshtuko na moyo unapiga isivyo kawaida, waliokuwa karibu na yalipokuwa yanatua inasemekana kuna wengine wamepata PTSD..kwa maana yale makombora sauti yake ni zaidi ya dB 140 ambacho ni kikomo kwa masikio ya binadamu kuweza kuhimili... ukiwa kariu kuwa kiziwi ni suala la kawaida..
Baadhi waliokuwa na shinikizo la damu wamekata moto..
Wayahudi mpaka sasa wamechanganyikiwa.. hali ni mbaya sana huko...
Hayasemwi mengi mitandaoni baada ya Israel kuzuia vyombo vya habari kuonyesha casualties...
Jana na juzi alikuwa wapi?😆😆😆😆
Kula chuma icho hivi uongo waga mnajifunzia wapi
Acha kufanya vitu kwa hisia itakusaidi kua mwanaume maana mnafanya Mambo kwa emotional kama wana wakeView attachment 3369634
Mwamba huyo apo muda huu
Sasa kama ni zero nadhani wameshuhudia mifumo yao ya ulinzi ilivyochakazwa, wanaendelea kulizana huko iron domUS na Israel ni damu moja, kwa taarifa yako US inaongozwa na wayahudi, kasome AIPCC ujue ni nani dunia hii huko USA, so wayahudi ndio wanaongoza dunia hii kama hujui, so Iran utaona imepigwa na kutoa utawala wa Ayatollaah wiki 2 au 3 zijazo na Utawala mwingine kuingia.
Pakistan can do nothing, amini hilo, zero kabisa hana impact yoyote mbele ya US wala Israel
Aloo waache wayavagae
Eti eeeh!Hii vita haida faida yeyote kwa sisi iran aikiamua kifunga njia za bahari basi soko la mafuta dunia nzima litakuwa hatari
Uzuri hata kwa Hezbollah na Hamas ilianza hivi hivi baada ya wiki tukaongea mengine. Wacha tuone