Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,103
- 7,102
Mbona picha tumeziona mkuu mbona video za vimondo vya Iran vinavyo tua kwa spidi ya mwanga tumeonaSio kwamba wana report habari za upande mmoja..
Aljazeera hawana unafiki kama CNN, BBC, VoA DW na n.k..
Israel hata waandishi wa habari wa kujitolea wanafukuzwa na hawaruhusiwi kupigs picha..
Israel imechakazwa vibaya sana..
Israel haijawai kupigwa Kama alivo pigwa safari hii Kwa mala ya Kwanza ana experience maumivu ya kufukua vifusi ndani ya ardhi yake
But kivita mpaka muda huu kwa mapigo aliyo pigwa Iran, . Israel Bado anaongoza kama ni football ni 10 kwa 1