SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hahahaha Bro umeuliza swali la kizembe Sana

Bro Mtu alikua anaongoza mission zote ndani ya situation Room na kabineti yote ya ulinzi na usalama au unazani hao ma pilot waga wanajichukulia fighter jet na kupaa angani bila top officials kutoa green light tena kwa mission ngumu na kubwa kwenda kumshambulia nuclear facilities za nchi kama Iran yenye ulinzi wa anga???

Au tufanye alikimbilia Gaza maana kwenyewe kulikua salama zaid kuliko Tel Aviv

Out of point but itakusaidia check movie ya Top gun maverick itakusaidia kuokota mawili matatu japo ni maigizo
Alikuwa anaongoza nini na wakati vinu vilikuwa vinatua upande wao

Netanyahu ni coward mmoja tu alikuwa mafichoni
​
 
Huyu jamaa inasemekana lengo lake anataka amvute USA aingilie kati wamshughulikie Iran wamuache hoi bin taaban
Iran wanasema wana makombora ya kupambana na maadui wote wa middle East ambao ni majirani..

Wanasema nchi yeyote ikithubutu kutumika na US kuruhusu ardhi yake itumike na US kuishambulia Iran, basi hio nchi inakuwa imeingia kwenye mgogoro, hivyo base kubwa ipo Qatar ya US, Iran wanasema watapiga hizo nchi hadi familia za kidikteta za nchi hizo ambazo ziaongoza nchi wakimbie..

Watapiga miundombinu, visima vya mafuta n.k, hivi tujiulize, Qatar wapenda bata wapo tayari kwa hilo, Saudia wapo tayari?, Jordan wapo tayari.. kwa sababu Israel hivi sasa ambae ndie mbabe wao au wanaemkubali ni nunda anachapika na ana mitambo ya ulinzi wa anga ya kuaminika...

Sasa ha wala tende na kuvaa vilemba, wanapenda pesa na magari ya kifahari wataweza huo mziki?

Na Iran aliyvyo mshenzi anasema wana makombora mengi zaidi ya kupiga majirani kuliko hata Israel, halafu Iran wakati huo huo naipiga Israel iwe mfano hadi Qatar na wenzake waogope..
 
Hii vita Nampa Israel point irani kapoteana ndani ya mda mfupi mno

Watu wameua viongozi bado wanasaidia wananchi wenu wanataka only soldier aisee nyie mnalipua ovya bado amuwapati....

It means israel angekuwa katili angeua hao raia wote....
 
Ndio maana ukaitwa uchambuzi ule sio ubashiri wala ramli, tumia muda huu kufollow account zote za IDF kwenye social media ili uwe updated
 
Huyu jamaa inasemekana lengo lake anataka amvute USA aingilie kati wamshughulikie Iran wamuache hoi bin taaban
Inatafutwa sababu ya kumgeuza Ayatollah Kama alivo pigwa Iraq kile kipindi zilianza hizi hizi taarifa Saddam Hussein ana ICBM apigwe mapema kama mwizi

Naona sababu imepatikana tunacho subili ni false flag Tu military camp moja ya US ipigwe apo middle East US aingilie mchezo wakamvue dera Ayatollah
 
Iran wanasema wana makombora ya kupambana na maadui wote wa middle East ambao ni majirani..

Wanasema nchi yeyote ikithubutu kutumika na US kuruhusu ardhi yake itumike na US kuishambulia Iran, basi hio nchi inakuwa imeingia kwenye mgogoro, hivyo base kubwa ipo Qatar ya US, Iran wanasema watapiga hizo nchi hadi familia za kidikteta za nchi hizo ambazo ziaongoza nchi wakimbie..

Watapiga miundombinu, visima vya mafuta n.k, hivi tujiulize, Qatar wapenda bata wapo tayari kwa hilo, Saudia wapo tayari?, Jordan wapo tayari.. kwa sababu Israel hivi sasa ambae ndie mbabe wao au wanaemkubali ni nunda anachapika na ana mitambo ya ulinzi wa anga ya kuaminika...

Sasa ha wala tende na kuvaa vilemba, wanapenda pesa na magari ya kifahari wataweza huo mziki?

Na Iran aliyvyo mshenzi anasema wana makombora mengi zaidi ya kupiga majirani kuliko hata Israel, halafu Iran wakati huo huo naipiga Israel iwe mfano hadi Qatar na wenzake waogope..
Iran naye maneno mengi, yaani tofauti yake na haya makundi ya kigaidi ni vile tu ana missiles nyingi ila hana akili katika kutumia anapiga ilimradi tu, aongeze kwanza akili ndiyo aongee, ila akijaribu kuatack quatar I can't determine kipi kitampata
 
Udhaifu mkubwa mnooo Kama mossad wameweza pia Ku smuggle kupitisha drone na kufanya shambulio wakiwa ndani ya Iran unategemea kuna ulinzi apo

Kuna footage inawaonesha watu inasadikika mossad wanaenda kuroga mifumo ya ulinzi wa Anga kabla ya lile shambulio la kwanza

Iran anaishi na sleeper agents wa mossad Wengi mno
Kama huzijui duru za usalama sawa. Ila iyo opereshen imefanywa na CIA ngoja muda utasema
 
Inatafutwa sababu ya kumgeuza Ayatollah Kama alivo pigwa Iraq kile kipindi zilianza hizi hizi taarifa Saddam Hussein ana ICBM apigwe mapema kama mwizi

Naona sababu imepatikana tunacho subili ni false flag Tu military camp moja ya US ipigwe apo middle East US aingilie mchezo wakamvue dera Ayatollah
Ndio mpango hata Benjamin kashasema ule uchebe ni mavumbi na mavumbini utarudi
 
Back
Top Bottom