SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Tuliposema Iran alikuwa anaitaka hii vita tulimaanisha kwamba alishamsoma Israel anapigika kila eneo la ardhi yake.

Ona sasa Iran anavyojipigia kila eneo la Israel anavyochagua yeye.

Akitaka kumla kichwa Netapaka ni suala la kuamua tu.😂
Mjinga ni tenyahu anaenda kuanzisha vita mpya huku jeshi likiwa limechoka na resource zimeisha unategemea wakubwa wakusaidie
 
Inatafutwa sababu ya kumgeuza Ayatollah Kama alivo pigwa Iraq kile kipindi zilianza hizi hizi taarifa Saddam Hussein ana ICBM apigwe mapema kama mwizi

Naona sababu imepatikana tunacho subili ni false flag Tu military camp moja ya US ipigwe apo middle East US aingilie mchezo wakamvue dera Ayatollah
US itakuwa inaishambulia Iran ikiwa wapi?
US inaweza kuingia vita na Iran wakati huo huo wapo kwenye vita vya kiuchumi na China?
Nasema hivyo kwa sababu Iran inaweza kupiga kambi zote za US middle east..

USA wakifanya Cost-Benefit Analysis/CBA, hasara na faida za kuingia vitani na Iran na wakafanya risk assessment, unafikiri watataka hio vita?

NB, Kumbuka US haifanyi mambo kwa mihemko kama wanywa gongo..
 
Huko Haifa, Israel kiwanda cha kusafisha mafuta kimekung'utwa vibaya na makombora kinawaka moto.

Iran uwezo wa kupigana vita vya muda mrefu anao shida Israel plus mabwana zake hawana pumzi ya kupigana muda mrefu.

Pale Gaza tu mwaka wa pili huu anahangaika na wanamgambo ambao wanatengeneza magobole kienyeji na bado hajawapata mateka.

Halafu ndiyo upambane na Iran mwenye teknolojia ya juu kabisa ya zana za kivita?
Mjinga ni tenyahu anaenda kuanzisha vita mpya huku jeshi likiwa limechoka na resource zimeisha unategemea wakubwa wakusaidie na bado vita ya ukrain inaendele na nato wameparangangikana unategeme miujiza gani
 
Zaidi ya 50 zimerushwa uelekeo Israel
Naye Israel yupo ndani ya Iran akiendelea haribu
 
Inavyoonekana Iran hajawekeza sana kwenye ndege vita.

Anajua adui anayedili nae yuko vizuri kwenye AD akisema apeleke ndege au helicopter zikashambulie atakula hasara.

Yeye kawekeza sana kwenye drones na makombora ya masafa marefu anajua akiyatumia yatakuwa effective kuliko kupeleka ndege vita.
Hiyo sio sababu .. kurusha ndege unahitaji ruhusa sasa hebu uone yule dingi pale wa jodan anga yake ameikabidhi israe na usa ndo wanaimiliki unategemea nini
 
Au haipo hivyo kwa mliowahi kutembelea na kuishi huko?!!! Tangu nazaliwa mpaka Sasa nazeeka ni mwendo wa kupigana tu.....miundombinu inalipuliwa Leo, inajengwa kesho; inalipuliwa tena keshokutwa, inajengwa tena mtondogoo!!! Ni hivyo tuuuuu muda wote. Wana shida gani hawa?!!!!!!!!!!!
 
Ayatollah ana umri mkubwa kuliko taifa feki la israel,na ni mwanazuoni wa kiislam, mwenyewe alishasema duniani hatuishi bali tupo safarini
Tupo safari ila anaogopa kusafiri anajificha kwenye bunker chezea uhai wewe
 
Zaidi ya 50 zimerushwa uelekeo Israel
Naye Israel yupo ndani ya Iran akiendelea haribu
Israel inarusha mawe kwa mbali eti yupo ndani ya Iran unafikiri hizo missile vinavyo shushwa Kuna ndege itasogea ivi unaelewa tangazo la vita linavyo fanana lakini?

Missile na ndege kipi kigumu kuintercept rudi kwenye utimamu wako amigo
 
Iran wanasema wana makombora ya kupambana na maadui wote wa middle East ambao ni majirani..

Wanasema nchi yeyote ikithubutu kutumika na US kuruhusu ardhi yake itumike na US kuishambulia Iran, basi hio nchi inakuwa imeingia kwenye mgogoro, hivyo base kubwa ipo Qatar ya US, Iran wanasema watapiga hizo nchi hadi familia za kidikteta za nchi hizo ambazo ziaongoza nchi wakimbie..

Watapiga miundombinu, visima vya mafuta n.k, hivi tujiulize, Qatar wapenda bata wapo tayari kwa hilo, Saudia wapo tayari?, Jordan wapo tayari.. kwa sababu Israel hivi sasa ambae ndie mbabe wao au wanaemkubali ni nunda anachapika na ana mitambo ya ulinzi wa anga ya kuaminika...

Sasa ha wala tende na kuvaa vilemba, wanapenda pesa na magari ya kifahari wataweza huo mziki?

Na Iran aliyvyo mshenzi anasema wana makombora mengi zaidi ya kupiga majirani kuliko hata Israel, halafu Iran wakati huo huo naipiga Israel iwe mfano hadi Qatar na wenzake waogope..

yah ni kweli hao waliokaribu na Iran moto unaweza kuwawakia, wakae mbali kabisa na hiki kisanga maana kamikaze drones zinaweza kuwafikia kirahisi mno.
 
Back
Top Bottom