SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Uangalie bajeti ya ulinzi wakati karibu nusu ya watu wako wanaishi chini ya dola moja kwa siku na shule nyingi hata hazina vyoo watoto wanajisaidia hovyo porini.

Hiyo ndoto haipo kabisa na kumbuka vyombo vyetu nyeti vya usalama vimekuwa na umaarufu wa kuteka wananchi kwenda kuwatesa na kuwaua.

Very hopeless and shameful.
Naelewa ndugu.
 
Jamani kwa hakika Ukubwa wa eneo au wingi wa Watu siyo kigezo cha kuwa na nguvu kiakili, maarifa na kimisuli

Kwa sasa nchi ndogo ya Israel inawashughulikia kwa kipigo Hezbollah, Hamas, Yemen na baba yao Iran

Ahsanteni sana
 
Ila mkuu ukikaa kwa mbali unaona regime change middle East mfano wa Arab spring haiko mbali kwa mataifa ya Saudi Arabia, Kuwait Bahrain na Jordan
Wakiingilia huu mgogoro hakika unakuwa mwisho, Iran allies wata deal nao vizuri sana.. Iran wanakataa kuwaita Hezbollah na Houthis kama proxies, wanasema ni allies..
 
Wakiingilia huu mgogoro hakika unakuwa mwisho, Iran allies wata deal nao vizuri sana.. Iran wanakataa kuwaita Hezbollah na Houthis kama proxies, wanasema ni allies..
Iraq imeshatoa tamko rasmi ni wanasubiri tu waingilie wengine na wao waliamshe na vita ya sasa ni kulenga raia wa Israel. Walicho kufanya Gaza watu wamekihifadhi
 
Mzee wa MAGA anakuja na mpango wa kuwapatanisha Iran na Israel na kauli mbiu yake ya MAKE MIDDLE EAST GREAT AGAIN.

Huyu mzee anataka kutolewa roho na Netanyahu!!!


View: https://x.com/BRICSinfo/status/1934246724039491993

JUST IN: 🇺🇸🇮🇷 President Trump says "Iran and Israel should make a deal, and will make a deal."

"MAKE THE MIDDLE EAST GREAT AGAIN!"
 
Back
Top Bottom