Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Leo mapemaaaaaaa!
Mazayuni hayapewi nafasi ya kupata usingizi!!!
Mazayuni hayapewi nafasi ya kupata usingizi!!!
Acheni uongo Netanyahu yupo Israel na anaongoza mipango ya kumnyoosha Ayatolah Khamenei. Endeleeni tu kujifarijiWayahudi wataelewa kwa nini Netapaka alikimbia tangu juzi na watoto wake wanaishi Miami, Marekani
Wacha wajifurahishe, hata 2023 October walifurahi baadae wakaliaAcheni uongo Netanyahu yupo Israel na anaongoza mipango ya kumnyoosha Ayatolah Khamenei. Endeleeni tu kujifariji
Ila mkuu ukikaa kwa mbali unaona regime change middle East mfano wa Arab spring haiko mbali kwa mataifa ya Saudi Arabia, Kuwait Bahrain na JordanIran wanasema wana makombora ya kupambana na maadui wote wa middle East ambao ni majirani..
Wanasema nchi yeyote ikithubutu kutumika na US kuruhusu ardhi yake itumike na US kuishambulia Iran, basi hio nchi inakuwa imeingia kwenye mgogoro, hivyo base kubwa ipo Qatar ya US, Iran wanasema watapiga hizo nchi hadi familia za kidikteta za nchi hizo ambazo ziaongoza nchi wakimbie..
Watapiga miundombinu, visima vya mafuta n.k, hivi tujiulize, Qatar wapenda bata wapo tayari kwa hilo, Saudia wapo tayari?, Jordan wapo tayari.. kwa sababu Israel hivi sasa ambae ndie mbabe wao au wanaemkubali ni nunda anachapika na ana mitambo ya ulinzi wa anga ya kuaminika...
Sasa ha wala tende na kuvaa vilemba, wanapenda pesa na magari ya kifahari wataweza huo mziki?
Na Iran aliyvyo mshenzi anasema wana makombora mengi zaidi ya kupiga majirani kuliko hata Israel, halafu Iran wakati huo huo naipiga Israel iwe mfano hadi Qatar na wenzake waogope..
Nzuri tukika kurudi kiev tunakuta Russia ameongeza mikoa ya Summy Karkive na LaymanIsrael katangaza hali ya Hatari hadi June 30
Zimeisha ingizeni sasa Elfu 35 mmalize kazi.Mbona katuma chache stock imepungua nini
Yaani seriously unauliza US atampiga Iran akiwa wapi??? Mbona swali la kitoto hiliUS itakuwa inaishambulia Iran ikiwa wapi?
US inaweza kuingia vita na Iran wakati huo huo wapo kwenye vita vya kiuchumi na China?
Nasema hivyo kwa sababu Iran inaweza kupiga kambi zote za US middle east..
USA wakifanya Cost-Benefit Analysis/CBA, hasara na faida za kuingia vitani na Iran na wakafanya risk assessment, unafikiri watataka hio vita?
NB, Kumbuka US haifanyi mambo kwa mihemko kama wanywa gongo..
Umevimbewa amigoHayo matangazo anayatoa akiwa wapi nipe location yake niwaforwadie Mossad
Shida kubwa ni mafuta!Au haipo hivyo kwa mliowahi kutembelea na kuishi huko?!!! Tangu nazaliwa mpaka Sasa nazeeka ni mwendo wa kupigana tu.....miundombinu inalipuliwa Leo, inajengwa kesho; inalipuliwa tena keshokutwa, inajengwa tena mtondogoo!!! Ni hivyo tuuuuu muda wote. Wana shida gani hawa?!!!!!!!!!!!
Hilo swali nimeuliza ni la msingi sana, hizo b2 zilizopo Diego Garcia zipo kwenye range ya makombora ya Iran..Yaani seriously unauliza US atampiga Iran akiwa wapi??? Mbona swali la kitoto hili
Japo mm sioni US akiingia kumpiga Iran direct hii vita haidumu wiki moja itakakua imeisha watakaa mezani wakubwa
Japo akili za Netanyahu anazijua mwenyewe
Na hawatopenda..yah ni kweli hao waliokaribu na Iran moto unaweza kuwawakia, wakae mbali kabisa na hiki kisanga maana kamikaze drones zinaweza kuwafikia kirahisi mno.
😂😂😂Acheni uongo Netanyahu yupo Israel na anaongoza mipango ya kumnyoosha Ayatolah Khamenei. Endeleeni tu kujifariji