SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Marekani wamejibu ili iingilie kati, basi Iran iwe tayari kucha kabisa mawazo yoyote ya madini ya uranium, kwamba iseme tena mbele ya dunia kuwa haitajaza jaza madini ya uranium tena........
========================

Iran has reached out to Oman and Qatar, requesting that they mediate with Washington in an effort to halt the ongoing Israeli strikes and restart nuclear talks, a source familiar with the matter told The Jerusalem Post.

At the same time, Saudi Arabia is also working behind the scenes to promote a ceasefire framework aimed at resuming talks, the source added.

These Iranian efforts come amid clear messages from Washington: only full Iranian acceptance of the American proposal, which includes a complete halt to uranium enrichment, will lead to an end to Israeli military operations.
Propaganda uchwara kutoka kwa bibi.
 
Naamini Israel ataweza ipige Iran on daily basis kwa precision kuliko Iran
Israel ineshashindwa.

Wanachotumia sasa hivi ndani ya Tehran ni mbinu za kigaidi kama wanazotumia ISIS.

Wanatega mabomu kwenye magari maeneo nyeti na kusababisha milipuko mikubwa.

Wametoka ku detonates 5 car bombs in different areas of Iran

Wametoka kusabotage bwawa muda si mrefu maji yanatiririka uraiani.
 
Mapig

Mapigo ni zamu kwa zamu na israel alichofanikiwa zaidi ni kutumia infiltrator
Sawa ila msisahau kufatilia sura za wazayuni

Haifa now, alafu kunamtu anakwambia yameshushwa yote😂😂😂
 
Attachments

  • FB_IMG_1749995758110.jpg
    FB_IMG_1749995758110.jpg
    159.1 KB · Views: 19
Israel ineshashindwa.

Wanachotumia sasa hivi ndani ya Tehran ni mbinu za kigaidi kama wanazotumia ISIS.

Wanatega mabomu kwenye magari maeneo nyeti na kusababisha milipuko mikubwa.

Wametoka ku detonates 5 car bombs in different areas of Iran

Wametoka kusabotage bwawa muda si mrefu maji yanatiririka uraiani.
Uzuri ayatollah ana rudisha kipimo sawa na wanacho jitekenya.

Sema Kuna usaliti ndani ya Iran explosive zilizo ingiaa zinaonyesha dalili ya ushiriki wa vyombo au maofisa wa ndani. Muda utasema.

Angani wamesha shindwa na inaelekea kutaanza kuwekwa vizuizi vya ukaguzi, na msako mkali
 
Ndani ya Iran wamo wayahudi ambao wamekaa kwa muda mrefu sana.

Kimuonekano hawana tofauti na Wairan wenyewe.

Hivyo, wanatumiwa hao hao!
 
Back
Top Bottom