SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sababu ya kumshambulia Israel anayo hasa hasa kulipiza uonevu wa wanaGaza.

Sema nimegundua kwamba Israeli, US na West Europe ni Evils. Kila wanayetaka kumshambulia huwa anajizuia sana kuwajibu mpaka inafikia too much. Ayatollah amejitahidi sana kuiasa jamii ya kimataifa kuingilia uchokozi wa Israeli ila Trump kwa kuona kete ziko upande wa Israel, kapotezea na kijembe juu. Kwa sasa mwanaye anapigwa, anaingilia kati wakati Muajemi damu imeanza kuchemka.

#istandwithiran
 
Mkuu hakuna watu wa Hovyo Ambao nao ni zero plus kama Warusi..Tena kama Iran alitegemea msaada toka Urusi ameumia katika hili.Hapo Ayatollah atapambana mwenyewe mpaka watakapomuua.Utabiri Wangu mwisho wa hii ni kumuua ayatollah na kubandika serikali Ya vikaragosi kama Libya walivyofanya.

Urusi ni kubwa jinga zaidi halijitambui Hawa Syria,Yemen,Libya, Iraq na Sasa Iran ni washirika wake je kawalinda?? Wameangushwa mmoja baada ya mwingine sasa Iran atapigwa baadae watapanga kumpa Jina baya Kidyku kule North korea watampiga wakimaliza watapiga Urusi na China. Chukua hii. Hawa ni mashetani wanataka watawale dDunia...

Kama mm ningekua Ayatolah kitendo cha kuamka na Kukuta Mkuu wangu wa majeshi kauwawa Na Top Millitary Generals wote wameuliwa hilo pekee ni Pigo la dharau sana sana kwa nchi ningekimbilia sehemu nikajifie mana lazima watamuua Ayatolah
Mkuu Russia ina wa Israel (Jews) wengi na wana mizizi mpaka Kremlin

Russia ni pro Israel mkubwa but always anajifanya yupo neutral maana Wengi waliingia Ukraine na Russia baada ya Adolf Hitler kuwafyeka Germany
 
Marekani wamejibu ili iingilie kati, basi Iran iwe tayari kucha kabisa mawazo yoyote ya madini ya uranium, kwamba iseme tena mbele ya dunia kuwa haitajaza jaza madini ya uranium tena........
========================

Iran has reached out to Oman and Qatar, requesting that they mediate with Washington in an effort to halt the ongoing Israeli strikes and restart nuclear talks, a source familiar with the matter told The Jerusalem Post.

At the same time, Saudi Arabia is also working behind the scenes to promote a ceasefire framework aimed at resuming talks, the source added.

These Iranian efforts come amid clear messages from Washington: only full Iranian acceptance of the American proposal, which includes a complete halt to uranium enrichment, will lead to an end to Israeli military operations.
 
Machizi wamekutana tofauti yao ni kwamba chizi mmoja anapiga kwenye pressure point mwingine hachagui mahali pa kupiga ana piga mahali popote mladi amepiga.
Hahahaha mbavu zangu jamani hii coment imenichekesha hadi tumbo linauma
 
Marekani wamejibu ili iingilie kati, basi Iran iwe tayari kucha kabisa mawazo yoyote ya madini ya uranium, kwamba iseme tena mbele ya dunia kuwa haitajaza jaza madini ya uranium tena........
========================

Iran has reached out to Oman and Qatar, requesting that they mediate with Washington in an effort to halt the ongoing Israeli strikes and restart nuclear talks, a source familiar with the matter told The Jerusalem Post.

At the same time, Saudi Arabia is also working behind the scenes to promote a ceasefire framework aimed at resuming talks, the source added.

These Iranian efforts come amid clear messages from Washington: only full Iranian acceptance of the American proposal, which includes a complete halt to uranium enrichment, will lead to an end to Israeli military operations.
Marekan ipi mkuu wakati Trump Jana kaomba pande zote ziache vita. Suala la msingi yeyote asisaidiwe Ili mtoto mtukutu kati yao afundishwe adabu na mwenzake atakaepigwa atulie tuli afate maelekezo ya mwenzake.
 
Tangu kuanza SMO kati ya Russia na Ukraine, pamoja na yanayoendelea hapo nyumbani kwa Israeli muda huu, unagundua kuwa West ni mabingwa wa propaganda za kivita. Huyu Israel ukimsoma kwenye hadithi za THE BOLD, utahisi ni watu flani maalum sana kumbe hata tanzania tunaweza mama akitaka
 
Iran imefanya mashumbulizi mengine dhidi ya Israel, huku Televisheni ya taifa ya nchi hiyo ikisema kuwa imeanzisha "mashambulizi makubwa ya ndege zisizo na rubani".

Milipuko mikubwa imesikika katikati mwa Israel.

Video iliyothibitishwa na BBC pia inaonyesha moto ukiwaka karibu na kiwanda cha kusafisha mafuta cha Haifa nchini Israel kufuatia makombora yaliyorushwa kutoka Iran usiku wa kuamkia leo.

Mapema siku hiyo, runinga ya taifa ya Iran ilisema "zaidi ya makombora 100" yalirushwa Israel, yakilenga Haifa na Tel Aviv huku watu watatu wakifariki baada ya Iran kushambulia eneo la Bat Yam, pwani ya Israel, kulingana na huduma za dharura za Israel.

Waliofariki ni mwanamke mwenye umri wa miaka 69, mwanamke mwenye umri wa miaka 80 na mtoto wa miaka 10 wameuawa huko Bat Yam.

BBC haijaweza kuthibitisha hili kwa kujitegemea.

Kitongoji kimoja katika mji wa kaskazini wa Tamra pia kimeshambuliwa, na kuua takriban watu watano, vyombo vya habari vya Israel viliripoti huku hali ikisemekana kuwa bado ni tete.
 
Kumbe wanafikika bila kizuizi kwa makombora ya Iran. Tuendelee kudanganyana kuwa kuna taifa lipo salama hapa duniani
 

Attachments

  • Screenshot_20250615_105110_Chrome.jpg
    Screenshot_20250615_105110_Chrome.jpg
    388.9 KB · Views: 18
Maandalizi yamefanywa ya kutosha kuendelea kutembeza kichapo Iran kwa wiki kadhaa.....hapa bado wanapasha misuli tu, ikumbukwe anga ya Iran peupee....

Israel's Operation Rising Lion against Iran is expected to take “weeks, not days," CNN reported Saturday night, citing White House and Israeli officials.

The operation is moving forward with "implicit US approval," the sources added.

United States President Donald Trump's administration "has not critiqued the weeks-long timeframe in private discussions," an Israeli official told CNN.
 

Attachments

  • ea30d314662d89622ccf0e85c0463a15_1749973960214.mp4
    938.2 KB
Back
Top Bottom