Ila wabongo bwana😀 kwamba ikimalizika vita vya Iran wanakuja China na Russia?
Niambie ni nchi gani hizi zenye ubavu wakusema tunaenda kumtandika China ama Russia ?
Umeona makobora anayo rusha Iran asiye na Nyuklia hapo Israel sasa Russia wanayo ya kutosha, China ndio usiseme huyu anaweza zalisha zaidi ya makombora 1000 kwa siku kwa kiwanda chake kimoja mind you ni automated factory na China ni manufacturing power house.
Mpuuzi yoyote atakaye jaribu kukifanya hiki anachofanya Israel katika nchi ya Iran na majirani zake kwa China atakuwa amawewatoa kafara watu wake.
Ni kwamba China hapendi vita na hataki vita ila haimaanishi ni mdhaifu ana fahamu katika vita hakuna mshindi bali hasara tu.
Huyo Israel baada ya kuishambulia Iran anapata faida gani zaidi ya yale ya Gaza kutokea kwake na Iran sina hakika kama kamaliza kazi Netanyahu ni kiongozi mjinga sana
RimotiHawa wapumbavu wanagombania kitu gani
Vita ya kizamani imepiga military target 150 na kuondoka na Top officials pamoja na nuclear scientist???Israeli ana vita ya kizamani, kamata kubwa yao
Unachokoza nyuki wakati huohuo huna mavazi ya kujikinga na nyuki 🤣🤣Ushauri wa Bure chukua au tupilia mbali mzayuni kuwapa wazayuni wenzie
🇮🇷🇮🇷❌🇮🇱🗣Israeli security expert Yossi Melman: Shiites have historically been willing to suffer. I mentioned their willingness to sacrifice.
▪️Yossi: I advise cutting our losses and approaching Trump to stop this madness with a reasonable agreement. Otherwise, we will be forced to beg for a ceasefire, and Iran will refuse...
⚜️@TheSimurgh313
Vita ya kizamani imepiga military target 150 na kuondoka na Top officials pamoja na nuclear scientist???
Vita sio kurusha hundreds of ballistic zilizo weza ku kwepa mifumo ya ulinzi ni 20 to 30 na kupiga civilian building few zimepiga gas station cha haifa na jana ilipigwa pentagon yao (makao makuu ya wizara ya ulinzi)
But the rest zimepiga majumba matupu maana raia Wengi wapo kwenye mahandaki
Nani apo anae pigana Vita ya kizamani Mtu anae lenga moja kwa moja nuclear facilities na Top officials au anae rusha hundreds of ballistic zitakipo piga popote sawa???
Aliyepiga Targets 150 ni Iran sio IsraelVita ya kizamani imepiga military target 150 na kuondoka na Top officials pamoja na nuclear scientist???
Vita sio kurusha hundreds of ballistic zilizo weza ku kwepa mifumo ya ulinzi ni 20 to 30 na kupiga civilian building few zimepiga gas station cha haifa na jana ilipigwa pentagon yao (makao makuu ya wizara ya ulinzi)
But the rest zimepiga majumba matupu maana raia Wengi wapo kwenye mahandaki
Nani apo anae pigana Vita ya kizamani Mtu anae lenga moja kwa moja nuclear facilities na Top officials au anae rusha hundreds of ballistic zitakipo piga popote sawa???
Sio raia wote wapo kwenye mahandaki mbona ipo wazi kuna vifo vya raia karibu 10 mpaka sasa lakn wengi wapo kwenye mahandaki ndio maana number ya vifo ni ndogoKama people zipo kwenye mahandaki kwa nini vikosi vya uokoaji viko busy kufukua vifusi ili kuokoa?
Na video zinazosambaa kwenye nitandao zikionyesha magofu ya Israel ni za akina nani kama raia wote wamejificha kwenye mahandaki?
Umelewa auW
Aliyepiga Targets 150 ni Iran sio Israel