SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wapo walodhani Israel ni taifa lisiloshindwa

Ukiwa unatekeleza mpango wa pamoja na Marekani chini ya taa ya kijani ya Washington, baada ya vitisho vya mara kwa mara vya kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran, hatimaye utawala wa Kizayuni umeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya shabaha mbalimbali nchini Iran alfajiri ya Ijumaa, Juni 13, ambayo yamepelekea kuuawa shahidi idadi kadhaa ya makamanda wakuu wa kijeshi na raia wa kawaida, wakiwemo wanawake na watoto.

Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel amedai katika taarifa baada ya kuanza mashambulizi hayo kuwa lengo ni kuharibu miundombinu ya nyuklia na makombora ya Iran.

Iran imesisitiza mara kwa mara katika kujibu vitisho vya Tel Aviv kwamba itatoa jibu kali na la kuumiza kwa chokochoko zozote za Israel.

Hili linaweza kutoa pigo kali kwa Israel, kwa kuzingatia uwezo mkubwa wa makombora na ndege zisizo na rubani za Iran, pamoja na mbinu bora za kivita ambazo majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu yamekuwa yakizitumia katika uwanja huu kwa miaka mingi.

Baada ya utawala wa Kizayuni kuishambulia Iran, Ayatullah Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza katika ujumbe kwamba, utawala wa Kizayuni utarajie adhabu kali.

Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pia imetangaza katika taarifa yake kwamba, jibu la Iran kwa utawala wa Kizayuni litakuwa kali na la kujutisha.

Iran sasa iko katika kiwango cha juu zaidi cha utayari wa kijeshi, na jibu lake kwa hakika litaishtua Israel. Wakati huo huo, kufichuliwa matokeo ya operesheni kuu ya kiintelijensia ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni kumeipa Iran fursa kubwa ya kijasusi kuhusu shabaha za Marekani na Kizayuni, na Iran hivi sasa inaweza kuwashangaza maadui zake kwa kutoa mapigo ya kuhilikisha kabla ya maadui kuchukua hatua yoyote.

Kwa kuzingatia eneo dogo la utawala wa Kizayuni, kasoro za kimkakati na msongamano mkubwa wa watu, bandari, vituo vya umma, viwanda, vya uzalishaji, kambi za kijeshi na vituo vya anga, pamoja na vifaa vya nyuklia, utawala huu kwa kawaida una shabaha nyingi zinazoweza kulengwa kirahisi na jeshi la Iran. Ni wazi kuwa maeneo hayo yanaweza kulengwa na kuisababishia Israel mapigo mazito na makali ya kijeshi kwa kutumia ndege zisizo na rubani za kujitoa mhanga zenye uwezo wa kuruka umbali wa kilomita 2,000 na aina mbalimbali za makombora ya balistiki ambayo yanaweza kufika Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, alitangaza tarehe 11 Juni kwamba katika mafanikio ya hivi karibuni ya Iran ni kombora la kichwa chenye uzito wa tani 2, ambalo lilifanyiwa majaribio wiki moja iliyopita.

Kombora hili ni toleo la hivi karibuni zaidi la familia ya kombora la Khorramshahr na ni aina ya kombora lisilohitaji kuongozwa hatua kwa hatua katika awamu yake ya mwisho ya kulenga shabaha.

Khorramshahr-4 (Khyber) ni kombora la masafa marefu ya kilomita 2,000. Kichwa chake cha kivita kina uzito wa zaidi ya kilo 1,800, na kasi yake ndani ya angahewa ni takriban Mach 8 na nje ya angahewa ni hadi Mach 16.

Kichwa cha kombora hili, chenye urefu wa takriban mita 4, ni mojawapo ya vichwa vya kivita vikubwa na bora zaidi kuwahi kutengenezwa, vyenye uwezo wa kubeba zaidi ya tani moja ya mabomu.

Kombora la Khyber-Shakan, lenye masafa ya kilomita 1,450, lina usanidi wa vichwa vitatu vya vita, ambavyo hutumika kudumisha uthabiti wa vichwa vya vita wakati wa maneva nzito.

Suala jingine katika kuchunguza kombora la Khyber-Shakan ni aina ya mlipuko wa vichwa vya vita. Kulingana na picha zilizochapishwa, kichwa cha vita kina aina ya mlipuko wa hali ya juu, lakini kwa mujibu wa kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, nyenzo zimetumika katika vichwa vya vita vya Khyber-Shakan ambavyo vimeongeza nguvu zake za kulipuka hadi mara kadhaa za TNT.

Kombora la "Fattah 1" la hypersonic limetengenezwa na wataalamu wa Jeshi la Wanaanga la IRGC.

Kombora hili pamoja na uwezo wake wa kimbinu, lina uwezo wa kufikia kasi ya juu sana na kufanya harakati mbalimbali ndani na nje ya angahewa ya dunia ili kukwepa mifumo mbalimbali ya ulinzi wa anga ya adui kutokana na hatua yake ya pili ya kutumia mafuta na kuhamishika.

Sifa zingine za kombora hili ni pamoja na: mafuta ya hatua ya 2, umbali wa kilomita 1,400, harakati zisizotabirika ndani na nje ya angahewa ya dunia, kasi ya juu ya Mach 25 nje ya angahewa na kasi ya papo kwa hapo ya Mach 13 hadi 15, matumizi ya misombo ya aloi ambayo hunyonya safu ya chini ya ulinzi wa rada.

Sifa bainifu za kombora la Fatah 1 hypersonic ni pamoja na kuongezeka kwa usahihi wa kulenga shabaha, kasi ya juu sana, harakati za kushangaza za kukwepa adui na uwezo wa kujificha na kupita mifumo ya rada.

Kombora la Fatah 2 la hypersonic lina uwezo wa kuruka na kusafiri kwa kasi kubwa, na limeainishwa katika kitengo cha glider za hypersonic (HGV).

Ni nchi nne pekee duniani, ikiwa ni pamoja na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ndizo zinamiliki teknolojia ya aina hii ya silaha za hypersonic.

Badala ya kupata mwinuko kama makombora ya balestiki, makombora ya HGV kama vile Fatah 2 husafiri kwa mwinuko wa chini zaidi kukiwa na uwezekano wa kubadilisha mkondo kuelekea lengo, na kufanya iwe vigumu kwa rada za tahadhari za adui kuyagundua.

Makombora mengine ya kisasa ya Iran ni pamoja na "Emad" lenye masafa ya kilomita 1,700, "Qadr H" lenye masafa ya kilomita 1,650, "Qadr F" lenye masafa ya kilomita 1,950, "Qiyam" lenye masafa ya kilomita 800, Haj Qassem lenye masafa ya kilomita 1,400, "Sijjil" lenye umbali wa kilomita 2,000, na kombora la "Paveh" lenye masafa ya kilomita 1,650.

Nukta ya mwisho ni kwamba, uwezo wa kiulinzi na uzuiaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran una vipengele kadhaa, mojawapo ikiwa ni uwezo wa makombora yake, kiasi kwamba Iran ni miongoni mwa nchi zinazoongoza duniani katika uwanja huu.

Kwa upande mwingine, ndege zisizo na rubani za Iran zenye uwezo wa kuruka katika miinuko ya juu, kukaa angani kwa muda mrefu, na kubeba aina mbalimbali za silaha, zina nafasi muhimu katika kuliongezea jeshi hilo uwezo wa kiupelelezi na kioperesheni.

Maendeleo haya, pamoja na ustawi wa mifumo ya ulinzi na teknolojia mpya za kivita vya kielektroniki, yameifanya Iran itambulike kama mojawapo ya wadhamini wakuu wa usalama na masuala ya kijeshi katika Asia Magharibi na hivyo kubuni kizuizi kikubwa dhidi ya vitisho vya kieneo na kimataifa. Jamhuri ya Kiislamu hivi karibuni pia imeonyesha nguvu kubwa katika masuala ya usalama na intelijensia. Uhamisho usio na mfano wake wa idadi kubwa ya nyaraka za siri kutoka utawala wa Kizayuni katika nyanja za nyuklia, kijeshi, kiusalama n.k, unaashiria uimarikaji mkubwa wa shughuli za intelijensia za Iran, jambo ambalo linaonyesha kuwa mbali na uga wa makombora, Iran pia ndiyo nchi inayoongoza katika eneo hili katika masuala ya intelijensia.

images (25).jpeg
 
View attachment 3369475
Propaganda at work
 
Meya wa Israel: Nimeona mengi, lakini mashambulizi yaliyofanywa na Iran sijawahi kuyaona

[https://media]

Meya wa mji wa Israel wa Rishon Letzion wa kusini mwa Tel Aviv ameeleza kupigwa mshangao na kushtushwa na kiwango kikubwa cha uharibifu uliosababishwa na mashambulizi ya makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema: Sijawahi kuona uharibifu mkubwa kama huu.

Leo Jumamosi, shirika la habari la IRNA limenukuu duru za habari za Kizayuni zikitangaza kuwa, meya wa mji wa Rishon Letzion ulioko kusini mwa Tel Aviv alisema jana Ijumaa kwa njia ya video kwamba: "Hii ni siku ngumu na yenye uchungu sana kwetu. Nilikuwa nimeona vitu vingi sana lakini sijawahi kuona uharibifu mkubwa kama huuu; matukio haya yanauma sana."

Licha ya kwamba utawala wa Kizayuni unachuja mno habari na unamtia mbaroni mtu yeyote anayepiga picha athari za mashambulizi ya Iran, lakini pamoja na hayo jana Israel ilikiri kwamba katika siku ya kwanza ya mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran, Wazayuni 80 wameangamizwa na kujeruhiwa huku hali ya baadhi ya majeruhi ikiwa mbaya sana.

Jana usiku vyombo vya habari vya Kizayuni viliripoti kuanza wimbi la tano la mashambulizi ya makombora ya Iran na kutangaza kuwa, wimbi la tano la makombora ya Iran limepiga maeneo yote ya Israel.

Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kuwa, wimbi la tano la makombora ya Iran limepiga maeneo ya Tiberias, Miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni pamoja na Galilaya ya Chini. Ving'ora vya tahadhari vilisikika katika maeneo hayo vikifuatiwa na sauti za miripuko mikubwa. Vyombo vya habari vya Kizayuni vilitangaza kuwa kutokana na udhibiti mkali, picha za vipigo vya makombora ya Iran kwenye maeneo hayo ni marufuku kuchapishwa na kusambazwa.

Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa, wakati wimbi la nne la makombora ya Iran limepiga maeneo ya kaskazini mwa Israel, wimbi la tano la makombora hayo limepiga maeneo yote ya Israel hata yale ambayo hayajawahi kushambuliwa, tena kwa usahihi mkubwa.

View attachment 3369476
20250614_195131.jpeg
 
Tupo live muda huu Iran keshaanza kazi.

Huu uzi utakua na updates za kila kinachoendelea muda huu.

Update:Makombora ya Iran yameanza kutua

#BREAKING

[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]

Channel 10 Hebrew:

Pakistan informed America that any nuclear attack on Iran would be met with a Pakistani nuclear attack on Israel.

Pakistan informed France and America that if any country intervenes directly in the war against Iran and Israel, the Pakistani army will enter the war with Iran against Israel.

Update:
#BREAKING
Direct hits on refineries/facilities in Haifa. Fires break out following strikes.
BREAKING: IRAN MAJOR SUCCESS IN ISRAEL BOMBING

This is the largest and most successful Iranian missile operation on Israel

✅ Great success for the Iranian missile strike on economic facilities in occupied Haifa
✅ Iranian missiles defeat Israeli air defenses
✅ Iran uses hundreds of military bases in various cities and provinces

Haifa's most important chemical and petrochemical plants:

✅ Bazan Group
✅ The largest oil refinery in Israel, with a refining capacity of approximately 9.8 million tons per year, and includes subsidiaries such as Carmel Olefins and Gadiv Petrochemical.

UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.

Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa

UPDATES⚡⚡

#BREAKING
The head of the Shin Bet has resigned.
UPDATES:⚡⚡⚡⚡⚡
WIMBI LA PILI LA MAKOMBORA LINATARAJIWA DAKIKA CHACHE TENA NOW

⚡️ Hebrew media: The second wave of ballistic missiles has been launched from Iran and we will witness early warning sirens within 15 minutes.??

UPDATES:Wimbi la pili la makombora ya Iran limeanza kuwasili.
⚡️At least 4 buildings hit by Iranian missiles in Tel Aviv, at least 15 casualties
UPDATE:
View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1934039364566241286?t=a2y0BTLONIXuSj4VHe_Z-w&s=19
UPDATE: hadi sasa Vifo ni vingi sana kwa upande wa Israel uharibifu ni mkubwa sana na itaichukua Israel muda mrefu kidogo kuweza kurudi kama zamani

UPDATES:
⚡️‼️🚨🇮🇷 BREAKING: Iran has officially established Air Superiority over Tel Aviv and northern Israel.
All Iranian air assets operate freely over the country.

Parkstan ni kama jeshi la Malawi na Angola hawana kitu ISRAEL inaweza kuzifinya nchi mbili hizo pasipo shida
 
Na Israel waliamini kuwa Marekani angeingia kwenye vita na haijawa hivyo ndo maana Israel wameanza kupiga kila mahala wakati lengo lilikuwa ni vinu vya nyuklia.

Huko ni kuchanganyikiwa wani si UK France wala Marekani walo tayari kushiriki vita hivyo, ingawa mambo yaweza kubadilika kulingana na majibu ya Iran na msaada ataopata endapo Russia nayo itaingia kusaidia.

Russia wamesema wapo tayari kutoa msaada na ikumbukwe kuwa Russia wana mitambo yao nchini humo na wana mkataba wa kistratejia.

UK nao leo watuma ndege za kivita za RAF ambazp ni kwa ajili ya kusaidia kuzuia makombora (ingawa sio Hypersonic) kuisaidia Israel.

Walokifanya Israel kuanza kushambulia vituo vya mafuta na miundombnu yake ni hatari sana kwa mstakabali mzima wa eneo la ghuba.
Mtoto kautaka na Iran wanatuma Hypersonic kwenye target zao , target ikiwa ni sehemu 3 wanatuma Hypersonic 3 kwenye hizo target alafu makombora 97 ya geresha nayo yanarushwa , Ndo hapo tunaona Air defence ya Israel inachanganyikiwa vyuma vinatua tu ndani ya Tel Aviv kama havina akili nzuri
 
Wale waliocheza ngumi nafikiri wanafahamu maana ya "fake punch" naona Iran anajaribu kutumia hii technic kwenye urushaji wa makombora yake.

Kuna hatari akawa anarusha makombora meengi feki kuzifake ADS huku zikija hypersonic chache kuhit target.
Inaonekana hii ni strategy yake ya muda mrefu ili kupambana na hizi ADS za Israeli na USA.

Bado najiuliza sana, hivi Iran asingekuwa na vikwazo kwa zaidi ya 40yrs naye angekuwa huru kama Israeli kwasasa angekuwa level gani?.
 
Usiku wa leo umethibitisha tena kuwa Israel Air Defense System si lolote si chochote.

Iron Dome na THAAD zimetepeta badala ya kuintercept missiles za Iran ndio kwanza Iron Dome na THAAD zinaachia njia vinu vishuke

Hizi missiles za Iran zimepewa jina Shahed Haj Qassem with a range of 1000 miles

Hapa Marekani na washirika wake wakajipange tena kuja na mifumo itakayoweza kuzuia hypersonic missiles za Iran

Iran iendelee na hii consistency Wayahudi lazima wakae.

Myahudi asipewe muda wa kuvuta pumzi iwe ni vinu juu ya vinu

​
View attachment 3369143
If you can't beat them join them
Vita vya kike hivyo inatakiwa waingie ana kwa ana tuone utamu
 
Mgogoro kati ya Iran na Israel umechukua sura mpya ya hatari mwezi huu wa Juni 2025, ukibeba historia ya chuki ya muda mrefu, mashambulizi ya kivuli, na sasa mashambulizi ya moja kwa moja.

Chanzo chake ni cha muda mrefu, lakini hali ya sasa imechochewa na mfululizo wa matukio makubwa yaliyoanza rasmi kufumuka upya mnamo Aprili 13, 2024, wakati Iran ilirusha makombora na ndege zisizo na rubani zaidi ya 300 dhidi ya Israel ikiwa ni mara ya kwanza kwa Iran kuishambulia Israel moja kwa moja kutoka ardhi yake. Israel ilijibu kwa shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya miundombinu ya kijeshi ya Iran katika mji wa Isfahan, ikieleza kuwa ni kulinda mamlaka yake na kuzuia mashambulizi ya baadaye.

Mwezi huu, tarehe 9 Juni 2025, shambulizi kubwa la anga lilitokea karibu na mji wa Kermanshah, magharibi mwa Iran, likielekezwa kwenye kituo cha kijeshi cha Kikosi cha Quds cha Jeshi la Mapinduzi la Iran (IRGC). Katika shambulizi hilo, maafisa waandamizi watano wa IRGC waliuawa, akiwemo Kamanda wa operesheni za nje Brigedia Jenerali Hassan Rahimi. Ingawa Israel haijathibitisha rasmi kuhusika, vyombo vya habari vya kimataifa na wachambuzi wa usalama wamehusisha Israel moja kwa moja na shambulizi hilo, wakilitaja kuwa moja ya mashambulizi ya "kisasa, cha kimkakati na chenye athari kubwa zaidi" kufanywa dhidi ya Iran mwaka huu.

Baada ya tukio hilo, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, alitoa kauli kali tarehe 10 Juni 2025, akisema:

Hadi sasa, Iran inaendelea kujiandaa kwa kile inachokiita “jibu la kimkakati”, huku mashirika ya Iran kama Hizbullah, wanamgambo wa Iraq, na vikundi vya Syria vikionekana kuongeza ujasiri wa mashambulizi dhidi ya Israel na washirika wake. Nayo Israel inaendelea kufanya mashambulizi ya kijeshi nchini Syria na kuimarisha mfumo wake wa ulinzi wa angani kwa kuungwa mkono na Marekani.

Kwa mujibu wa wachambuzi wa usalama wa Mashariki ya Kati, hatma ya mgogoro huu inabaki kuwa tete sana. Ikiwa mashambulizi kama haya yataendelea, kuna uwezekano wa kuingia katika vita ya wazi baina ya Iran na Israel, ambavyo vinaweza kuvuruga usalama wa kanda nzima na hata kuvuta mataifa makubwa kama Marekani, Urusi, na Saudi Arabia katika mzozo huo.

wewe muanzisha uzi ni kenge modz, naona unatumia madaraka yako kishenzi, tunajua mpo humu majukwaani
Watu wengi wameanzisha nyuzi za updates, wewe ndio unaamua kujiwekea
 
Iran yatungua ndege 2 za kivita za Israel za F-35, yamkamata rubani

Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimefanikiwa kutungua na kuteketeza ndege mbili za kivita za Israel aina ya F-35, na idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani. Iran imekuwa nchi ya kwanza duniani kuweza kutungua ndege ya kijeshi ya F-35.

Ndege hizo za kisasa na zenye thamani kubwa za Israel zilitunguliwa usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Kwa mujibu wa ripoti, rubani wa mojawapo ya ndege hizo za kivita ambaye ni mwanamke amekamatwa.

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeapa kuendelea kutoa majibu makali na mazito kwa vitendo vya uchokozi vya utawala haramu wa Israel.

Utawala wa Israel ulishambulia vitongoji kadhaa vya makazi ya watu mjini Tehran na katika maeneo mengine ya Iran usiku wa kuamkia jana Ijumaa.

Vikosi vya ulinzi wa anga vimefanikiwa kutungua makombora ya maadui yaliyorushwa na utawala wa Kizayuni katika anga ya mji mkuu wa Iran, Tehran.

Wakati wa operesheni hiyo iliyotokea katika maeneo ya kati na kusini mwa Tehran, vikosi vya ulinzi wa anga vya Jamhuri ya Kiislamu vilifanikiwa kuzima makombora yote ya Wazayuni kabla ya kupiga shabaha zilizokusudiwa.

Usiku wa kuamkia leo, Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vilianza kutekeleza wimbi la mashambulizi ya makombora dhidi ya Israel, ili kulipiza kisasi kufuatia hujuma za utawala huo wa Kizayuni dhidi ya ardhi ya Iran.

View attachment 3369471

Updates:Mpaka sasa ni ndege zaidi ya 3
Hii ndo ile unarusha ngumi unadakwa mkono alafu unatiwa ngumi nzito ya koromeo ndo anachokutana nacho Israel, na huyo Rubani ambae Iran wamemkamata anatakiwa achunwe ngozi hadharani akiwa hai na irushwe kwenye televisheni ya Taifa
 
Kuna haja Dunia kuwa fair na kuanza kutatua hii migogoro ya mashariki ya kati kwanamna yenye usawa vinginevyo hakuna siku mashariki ya kati itakuwa na amani mpaka mwisho wa Dunia.
 
Wakuu kama una jicho la tatu utagundua haya, kwanza, hakuna Air defence system ambayo ina efficiency ya 100%. Pili, Ikija kwa upande wa Iran Air defence system zao zilichukuliwa poa sana na kubezwa kwamba si lolote na si chochote kwa Air Power ya Israel ila cha kushangaza Ushahidi wa video ume prove otherwise.
Iran wana Ingenious System yao na S300 systems za Russia.

Baada ya kichapo cha Retaliation ilichopokea Israel baada ya ku attack Iran Nuclear sites kila system ilwekwa ON na video hii hapa chini itakuonesha how far Persians tech have come.

View: https://youtu.be/bZcLt4hO5JA

Hili liwe wazi kila upande umepigika vyema si Iran wala Israel.
NB: Nimecheki video nyingi sana ambazo zina circurate online zikionesha jinsi Bases mbalimbali za Israel zikiwa On flames same to Iranian Bases.
 
Mbona hapo mkuu bado watu hawajaona maajabu... hii ni rasha rasha... wanatoa yale makombora ya kizamani yana vumbi kusafisha store...

Kuna yale makombora yanabebwa na lori , yaani kombora moja inabebwa na lori moja lina matairi zaidi 20, bado hajaanza kuingia, lile likipigwa kama kuna mwanamke ana ujauzito miezi 7 ama 6 anajifungua..

Acha wayahudi wa Namtumbo wajionee sasa miaka nenda rudi humu kwanini tulikuwa tunapiga kelele kuhusu uwezo wa jeshi wa Iran... acha wajionee kwa macho..
Iran-missile.jpg

1380514622_4.jpg
Unaongea kama upo iran
 
Taarifa kamili utapata wakishafukua vifusi kutoa miili ya Mazayuni
Ipo wazi wakifukua vifusi probably kuna maiti zitapatikana but for now number ni 10

Haya wewe tuambie wamekufa wangapi maana umejitapa kua una akili sana eheee mwenzetu tujuze na sie
 
Back
Top Bottom