Huyu Muajemi ana nia gani kutumia makombora kama hayo!?Yale makombora ya Iran wachambuzi wanasema yana shockwave ya juu sana kuweza kupasua masikio kama upo karibu.. kuvunjamilango au madirisha, pia yanaweza kusababisha uharibifu wa viungo vya ndani hata kama vipande vya kombora havijakugusa..
Tumeona wengi kasi yake linapokwenda kupiga chini ile velocity linavyoshuka likipiga chini unajisaidia pasipo kujua..
Kuna nyumba zimeharibika kwa sababu tu ya blast overpressure.. yaani nyumba haiguswi lakini inaachia nyufa..
Kuna watu Israel wamepata maumivu ya kichwa, wengine wanapoteza fahamu, wengine hadi asubuhi hii wanahisi kizunguzungu mtu anayumba kama amekunywa ulanzi..
Kuna ambao walipata mshtuko na moyo unapiga isivyo kawaida, waliokuwa karibu na yalipokuwa yanatua inasemekana kuna wengine wamepata PTSD..kwa maana yale makombora sauti yake ni zaidi ya dB 140 ambacho ni kikomo kwa masikio ya binadamu kuweza kuhimili... ukiwa kariu kuwa kiziwi ni suala la kawaida..
Baadhi waliokuwa na shinikizo la damu wamekata moto..
Wayahudi mpaka sasa wamechanganyikiwa.. hali ni mbaya sana huko...
Hayasemwi mengi mitandaoni baada ya Israel kuzuia vyombo vya habari kuonyesha casualties...
😂😂😂