SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

bado napata shida na ubora wa Israeli ninapoanza kuona mataifa makubwa yanapoanza kujisogeza kumsaidia.
Uwezo wake tunaoambiwa tunashindwa kuuona sasa ilihali Iran ameishi na vikwazo vikali toka miaka ya 1970 huko.

Waarabu wanapaswa sasa kuacha unafiki na kusimamia kitu kimoja ili hawa jamaa waache kuharibu mataifa yao kwa kulazimisha wanachokiamini.
Iraq, Libya, Syria, Lebanon nk zimeharibiwa sana na kuachwa taabani na hakuna amani tena ilihali huko kwao hawa jamaa wanaishi kwa utulivu na kuendelea.
 
Chuma ndio kimeamka kinakula fegi kwanza kuweka akili sawa na yeye aanzie wapi.
👇
images (5).jpeg
 
Hyoe
Hotuba yake ndefu na yenye masikitiko makubwa aliyoitoa kuhusu birthday ya Trump. Ametumia muda mwingi kulalamika, na kujitilisha huruma ili Marekani, washirika wake na jumuiya nzima ya kimataifa waongeze juhudi za kumsaidia kuilinda Israel kutokana na kimbunga kikubwa cha makombora yalioshindwa kuzuiliwa na mitambo yao yote ya kuzuia makombora.

Jordan imejitahidi kufunga anga lake ili kuzuia vyuma visipite, lakini wapi wamechemsha na kujificha pasipojulikana, kuhofia mzigo usipotee njia na kitwanga ikulu ya mfalme wao.

Halikadhalika Marekani, UK, Ufaransa na wengineo wanashindwa kujua wazuie juu au chini. Maana mitambo yao ya kuzuia makombora inaonekana mdebwedo tu mbele ya vyuma vya waajemi.

Mpaka sasa anaeomba msaada wa kijeshi kutoka nje ni Israel ambayo haina vikwazo vyovyote vya kutengeneza, kupewa wala kununua silaha. Iran haijaomba usaidizi kutoka kwa yoyote, maana game ni dogo mno, watalimaliza wenyewe kimya kimya.

Mi nafikiri Netanyahu angeacha kulalamika kuhusu kinachoendelea nchini kwake, bali aendelee nacho mwenyewe kile alichokianzisha.

Inamaana Netanyahu alipoanza kuomba chai, hakujua kwamba huko mbeleni utamuunguza kama sio kumbabua kabisa!
Btw: Vita sio nzuri ni bora Mungu aingilie kati ili kunusuru vifo na uharibifu zaidi.
Hypersonic zina speed kuliko defence systems ,ndio maana Iran ana tuma hizo na normal missiles.
 
Doh! Hypersonic si mchezo!

Vyuma vina speed hatari!

Israel kakalia kaa la moto!
Mbona hapo mkuu bado watu hawajaona maajabu... hii ni rasha rasha... wanatoa yale makombora ya kizamani yana vumbi kusafisha store...

Kuna yale makombora yanabebwa na lori , yaani kombora moja inabebwa na lori moja lina matairi zaidi 20, bado hajaanza kuingia, lile likipigwa kama kuna mwanamke ana ujauzito miezi 7 ama 6 anajifungua..

Acha wayahudi wa Namtumbo wajionee sasa miaka nenda rudi humu kwanini tulikuwa tunapiga kelele kuhusu uwezo wa jeshi wa Iran... acha wajionee kwa macho..
Iran-missile.jpg

1380514622_4.jpg
 
bado napata shida na ubora wa Israeli ninapoanza kuona mataifa makubwa yanapoanza kujisogeza kumsaidia.
Uwezo wake tunaoambiwa tunashindwa kuuona sasa ilihali Iran ameishi na vikwazo vikali toka miaka ya 1970 huko.

Waarabu wanapaswa sasa kuacha unafiki na kusimamia kitu kimoja ili hawa jamaa waache kuharibu mataifa yao kwa kulazimisha wanachokiamini.
Iraq, Libya, Syria, Lebanon nk zimeharibiwa sana na kuachwa taabani na hakuna amani tena ilihali huko kwao hawa jamaa wanaishi kwa utulivu na kuendelea.
Na Israel waliamini kuwa Marekani angeingia kwenye vita na haijawa hivyo ndo maana Israel wameanza kupiga kila mahala wakati lengo lilikuwa ni vinu vya nyuklia.

Huko ni kuchanganyikiwa wani si UK France wala Marekani walo tayari kushiriki vita hivyo, ingawa mambo yaweza kubadilika kulingana na majibu ya Iran na msaada ataopata endapo Russia nayo itaingia kusaidia.

Russia wamesema wapo tayari kutoa msaada na ikumbukwe kuwa Russia wana mitambo yao nchini humo na wana mkataba wa kistratejia.

UK nao leo watuma ndege za kivita za RAF ambazp ni kwa ajili ya kusaidia kuzuia makombora (ingawa sio Hypersonic) kuisaidia Israel.

Walokifanya Israel kuanza kushambulia vituo vya mafuta na miundombnu yake ni hatari sana kwa mstakabali mzima wa eneo la ghuba.
 
Tupo live muda huu Iran keshaanza kazi.

Huu uzi utakua na updates za kila kinachoendelea muda huu.

Update:Makombora ya Iran yameanza kutua

#BREAKING

[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]

Channel 10 Hebrew:

Pakistan informed America that any nuclear attack on Iran would be met with a Pakistani nuclear attack on Israel.

Pakistan informed France and America that if any country intervenes directly in the war against Iran and Israel, the Pakistani army will enter the war with Iran against Israel.

Update:
#BREAKING
Direct hits on refineries/facilities in Haifa. Fires break out following strikes.
BREAKING: IRAN MAJOR SUCCESS IN ISRAEL BOMBING

This is the largest and most successful Iranian missile operation on Israel

✅ Great success for the Iranian missile strike on economic facilities in occupied Haifa
✅ Iranian missiles defeat Israeli air defenses
✅ Iran uses hundreds of military bases in various cities and provinces

Haifa's most important chemical and petrochemical plants:

✅ Bazan Group
✅ The largest oil refinery in Israel, with a refining capacity of approximately 9.8 million tons per year, and includes subsidiaries such as Carmel Olefins and Gadiv Petrochemical.

UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.

Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa

UPDATES⚡⚡

#BREAKING
The head of the Shin Bet has resigned.
UPDATES:⚡⚡⚡⚡⚡
WIMBI LA PILI LA MAKOMBORA LINATARAJIWA DAKIKA CHACHE TENA NOW

⚡️ Hebrew media: The second wave of ballistic missiles has been launched from Iran and we will witness early warning sirens within 15 minutes.??

UPDATES:Wimbi la pili la makombora ya Iran limeanza kuwasili.
⚡️At least 4 buildings hit by Iranian missiles in Tel Aviv, at least 15 casualties
UPDATE:
View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1934039364566241286?t=a2y0BTLONIXuSj4VHe_Z-w&s=19
UPDATE: hadi sasa Vifo ni vingi sana kwa upande wa Israel uharibifu ni mkubwa sana na itaichukua Israel muda mrefu kidogo kuweza kurudi kama zamani

UPDATES:
⚡️‼️🚨🇮🇷 BREAKING: Iran has officially established Air Superiority over Tel Aviv and northern Israel.
All Iranian air assets operate freely over the country.

Nashauri kila update unayo weka uweke na muda na tarehe
 
Usiku wa leo umethibitisha tena kuwa Israel Air Defense System si lolote si chochote.

Iron Dome na THAAD zimetepeta badala ya kuintercept missiles za Iran ndio kwanza Iron Dome na THAAD zinaachia njia vinu vishuke

Hizi missiles za Iran zimepewa jina Shahed Haj Qassem with a range of 1000 miles

Hapa Marekani na washirika wake wakajipange tena kuja na mifumo itakayoweza kuzuia hypersonic missiles za Iran

Iran iendelee na hii consistency Wayahudi lazima wakae.

Myahudi asipewe muda wa kuvuta pumzi iwe ni vinu juu ya vinu

​
View attachment 3369143
If you can't beat them join them
Mh! Hivi hapo kulikuwa na Air defence kweli...!?
 
Iran yatungua ndege 2 za kivita za Israel za F-35, yamkamata rubani


Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimefanikiwa kutungua na kuteketeza ndege mbili za kivita za Israel aina ya F-35, na idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani. Iran imekuwa nchi ya kwanza duniani kuweza kutungua ndege ya kijeshi ya F-35.

Ndege hizo za kisasa na zenye thamani kubwa za Israel zilitunguliwa usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Kwa mujibu wa ripoti, rubani wa mojawapo ya ndege hizo za kivita ambaye ni mwanamke amekamatwa.

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeapa kuendelea kutoa majibu makali na mazito kwa vitendo vya uchokozi vya utawala haramu wa Israel.

Utawala wa Israel ulishambulia vitongoji kadhaa vya makazi ya watu mjini Tehran na katika maeneo mengine ya Iran usiku wa kuamkia jana Ijumaa.

Vikosi vya ulinzi wa anga vimefanikiwa kutungua makombora ya maadui yaliyorushwa na utawala wa Kizayuni katika anga ya mji mkuu wa Iran, Tehran.

Wakati wa operesheni hiyo iliyotokea katika maeneo ya kati na kusini mwa Tehran, vikosi vya ulinzi wa anga vya Jamhuri ya Kiislamu vilifanikiwa kuzima makombora yote ya Wazayuni kabla ya kupiga shabaha zilizokusudiwa.

Usiku wa kuamkia leo, Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vilianza kutekeleza wimbi la mashambulizi ya makombora dhidi ya Israel, ili kulipiza kisasi kufuatia hujuma za utawala huo wa Kizayuni dhidi ya ardhi ya Iran.

4c96607afe13d12m8d2_800C450.jpeg


Updates:Mpaka sasa ni ndege zaidi ya 3
 
Back
Top Bottom