SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wazigua wa Dibamba Bwana.😁😁😁😁 Umetumiwa na Ayattoulah nini mkuu?

Kuna mtu amesha order kanzu na mwingine kitambaa cha bwana mkubwa.

Hii vita italeta balaa kubwa sana...wayahudi wameianzisha makusudi ili kufanya kitu kimoja tu.....
 
Wakati milipuko imesikika tel aviv,glider bombs!!?..maamae,leo muajemi kaanza saa kumi mpaka pakuche

hahaha watu mashabiki nyie..

Anyway tuombe busara ichukue mkondo wake suluhu ipatikane watu wawe salama, maana crisis ikiwa kubwa hapo mashariki ya kati Bei ya mafuta itakwenda juu sana na muathirika mkubwa atakuwa Africa.
 
Hakuna busara,wale mbwa jeuri itawaisha, hawana hamu,sioni jirani yeyote wa Iran akitamani vita na Iran
 
Huu mtanange wayahudi wameshadhohofishwa.

Kuna video nimetumiwa link muda huu makombora yalivyochakaza Israel.

Ila kui download siwezi.
Usidawnload we tuma link au taja website tutaifata wenyewe maana source official zote zinasema shambulizi la jioni hii limefeli, tukaangalie kwenye source yako yenye makao yake Tandale kwa mtogole
 
Kuna mtu amesha order kanzu na mwingine kitambaa cha bwana mkubwa.

Hii vita italeta balaa kubwa sana...wayahudi wameianzisha makusudi ili kufanya kitu kimoja tu.....
Haya Hongera Muajemi wa Mkuranga na kuwa na siku njema.
 
Attachments

  • Moments_ago_an_Iranian_drone_struck_TelAviv_🔥🇮🇷Wakati_uliopita_drone_ya_Iran_iligonga_TelAviv_...mp4
    1.2 MB
Back
Top Bottom