😂😂😂😂😂Zipo mbona, saivi zishamishia makazi Iran maana hakuna mfumo wa kuzitungua
Mbona aliyepagawa zaid ni IranIsrael kapagawa huko anarusha sana vifaa hizo ndege miruko yake haijawahi tokea
Iran ipo uchi kwenye intelligence agency vibaya mnoooWanasayansi 14 wanahofiwa kuuawa ndani ya Iran
Kwa mazingira hayo Iran aendelee na uwekezaji wa nguvu wa makombora tu mpaka kielewekeHiyo sio sababu .. kurusha ndege unahitaji ruhusa sasa hebu uone yule dingi pale wa jodan anga yake ameikabidhi israe na usa ndo wanaimiliki unategemea nini
Yahudi la tegeta kwa ndevu Echolima1 lipo busy kufukua vifusi Tel aviv😂😂😂
Upoooooooo!?
Umeadimika sana aisee!
Ilikuwa haipiti siku bila kuchapisha uzi, shida nini mbona umepotea sana!?
Upo busy na kufukua vifusi huko Uyahudini?
Au hauna cha kutujulisha kwa sasa kuhusu Wazayuni na maguvu yao ya kijeshi?
Haya Hongera Muajemi wa Mkuranga na kuwa na siku njema.
🤣🤣🤣🤣Hapo Putin kumwambia tafuta namna umalize hiyo ishu huyo mwamba ana mzigo Hadi sisi hatuelewi dhamira yake. Siunaona wale mashahidi alio tupa yaani katupa Bure kabisa anasema Hana pa kuziweka
Iran ipo uchi kwenye intelligence agency vibaya mnooo
Kwenye vimondo kiukweli nawapongeza vipo spidi sana
Sasa unaacha ukiazi na kuanza kuusema ukweli.Iran ipo uchi kwenye intelligence agency vibaya mnooo
Kwenye vimondo kiukweli nawapongeza vipo spidi sana
Watu wanapaniki utazani sisi wa Tz ndio tupo vitani kumbe nchi ambazo zinatwangana wala hawatujuiAisee mkuu nakuona ulivyo na jazba, Iran inawakilisha vyema huko..
Jomba ana tamani apewe remote ya f35 ili aweke mambo sawa.Aisee mkuu nakuona ulivyo na jazba, Iran inawakilisha vyema huko..
Bengorean airport mchana huuNjia inatengenezwa ili B2 Spirit Bomber iende Fodow ikamalize kazi iliyoanzishwa na Israel.
Mwisho wa siku Iran itakuwa kama Syria na Iraq
Raia wa Iran wameanza ondoka Tehran baada ya Jeshi la Israel kuwaambia waondoke na wasiwe karibu
Hawa wana dharau sana ,kuna watu wao humu kazi ni kutukana hapa ni jino kwa jino.Aisee mkuu nakuona ulivyo na jazba, Iran inawakilisha vyema huko..
Wa Israel walisha ondoka Toka day one.Raia wa Iran wameanza ondoka Tehran baada ya Jeshi la Israel kuwaambia waondoke na wasiwe karibu